Search results

  1. Digitalman1tz

    My Story..

    Naomba nikufanyiw MSE kidogo maana nimesoma storry zijaelewa kabisa naona kuna umuhimu wa MSE
  2. Digitalman1tz

    Mwanaume Kama Una Roho Ndogo, Usishuhudie Mke wako Akipimwa Njia Ya Mtoto wakati anakaribia kujifungua.

    Bongo tabu sana sasa hutaki mkeo apimwe njia ikitokea la kutokea hao unao wakataa wasi mpime njia watakuwa msaada kwa mke wako. . Kama utaki nenda VIP tu
  3. Digitalman1tz

    Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

    Tumefikiwa sasa [emoji1316]
  4. Digitalman1tz

    Vyuo vya NACTE vinafungwa lini?

    Ratiba ipo nenda kwa H.O.D wako atakupa
  5. Digitalman1tz

    Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Jamaa kwaiyo umeamua kuleta huku mambo yangu na kuku amini kote kule [emoji24] Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
  6. Digitalman1tz

    Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma ili niyafute haya...

    Dam! Good story nimeipenda sana ila tafuta mtu wa mental health akuweke vzr
  7. Digitalman1tz

    Ni safari gani "very risky" umewahi fanya kwa ajili ya mpenzi wako na bado ikaishia na machozi?

    Nishawahi toka nyumbani kwetu saa kumi usiku baada ya kupigiwa na mpenzi wangu kwamba kuna wezi wameingia kwao nikasaidia....Nimbali kidogo afu kuna eneo lazima ukatishe ni la wahuni nikapita kufika nikakamatwa tena kidogo nipigwe risasi kwamba mm ni mwizi na demu kasema hanijui sitasahau Halima
  8. Digitalman1tz

    Ni maamuzi gani ya ajabu uliyowahi kuyafanya sababu ya mapenzi?

    Mapenzi ni kitu cha ajabu sana Nakumbuka nishawahi panga na demu kwamba mm naacha chuo ww endelea kusoma ukimaliza ntakuachia michongo nayo fanya na mm nije nimalize ...Aisee unazani ata semister iliisha wiki moja sipo chuo demu kapata bwana mpya wala Hani hitaji tena na shule nishaacha...
  9. Digitalman1tz

    Historia ya kweli: Tuliowahi 'kula' walimu wetu tujuane hapa

    Sema safi mwanangu unakula maisha saiz fresh ila code umeuza ila ngoja nikaushe
  10. Digitalman1tz

    Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

    Bro Mwanamke akikucheat hatakiwa kudamehewa na ukimsamehe atakuzalau zaidi Pili chuo hawez pata mwanamke wa kumuoa wachache sana pole nakuomba tu umove on japo utaumia ila ndo unajenga misingi hapo
  11. Digitalman1tz

    Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

    Mkuu pole kwa kilicho kupata.Vp lakini bafo unaendelea mahusiano na femu wako wa malta Vipi tena una mpango wa kumu alika aje bongo na yeye au utaenda tena malta
  12. Digitalman1tz

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyo dada aliupiga mwingi sana [emoji39][emoji39]
  13. Digitalman1tz

    Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Kwanini uone noma akati kila mtu anafanya
  14. Digitalman1tz

    Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

    Mdogo angu move on tu hayo mambo yalishawahi Nikuta bro ako [emoji23][emoji23] hapa naona unataka kuteseka zaidi ukimrudia mwanamke aliyeshindwa kukueshimu wanini afu unakubalije kushea huku anakuambia izo no zarau trust me huyo mtu hawezi change
  15. Digitalman1tz

    Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

    Daah naona mwanangu bado anateseka pole Sana bro mapenzi ndo yalivyo njoo bhas utumalizie [emoji22]
Back
Top Bottom