Search results

  1. Chakwale

    Kweli Vyama vya Upinzani wamelamba asali

    Nilikuwa siamini Ile kauli ya Vyama vya Upinzani kulambishwa Asali Ili wakae Kimya, lakini kwa namna mambo yanavyoenda naamini kabisa kuwa Wamelamba. Haiwezekani Umeme ukatike hovyo hovyo bila sababu za msingi,yaani wanakata kata tu wanavyojisikia.Mwanzoni walikuwa wanasema Maji yamepungua...
  2. Chakwale

    Naota nakula Chakula Ndotoni

    Wakuu habari.. Kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, karibu mwezi mzima sasa nimekuwa nikiota nakula chakula ndotoni na watu mbalimbali ninao wafahamu na nisiowafahamu. Hali hiyo inanikera sana mana ukiamka asubuhi tumbo linakuwa limejaa then linakuwa kama MTU mwenye gas tumboni hata...
  3. Chakwale

    Nape ana hoja ya msingi ila shida ni yeye

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mbunge wa jimbo LA Mtama Mh Nape Moses Nnauye,ameibua mjadala mitandaoni kwa hoja yake aliyoitoa bungeni hivi karibuni ya kutaka kuwepo kwa uchunguzi wa kina kuhusu hoja iliyoibuka ya kuwepo kwa deni kubwa LA taifa. Mh Nape...
  4. Chakwale

    Rais Samia weka mkazo kwenye Kilimo

    Serikali ya awamu ya tano chini ya Hayati JPM suala la Ajira lilikuwa si kipaumbele chake. Ndio maana katika kipindi chake chote cha miaka mitano na miezi kadhaa,kitakwimu ajira zilizotolewa ni chache mnoo ukilinganisha na idadi ya Maelfu ya vijana wanaomaliza vyuo vikuu, vyuo vya ufundi stadi/...
  5. Chakwale

    Rais Samia ongeza magari/mitambo ya kuchimbia visima

    Katika pesa zilizotolewa na Rais Samia ktk miradi mbalimbali Nchini ikiwemo ya Elimu, Afya, Miundombinu nk kupitia IMF naunga mkono zaidi mradi wa Uchimbaji Visima. Kuna pesa imetengwa kwa ajili ya ununuzi wa gari za Uchimbaji Visima ila idadi yake iliyotolewa ni ndogo ukilinganisha na mahitaji...
  6. Chakwale

    Napendekeza SGR isifike Rwanda

    Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kila mmoja anao huru wa kutoa maoni ili mradi havunji sheria za nchi,sikumbuki vizuri ila nadhani ni ibara ya 18 nadhani Wanasheria wajuzi mtanikumbusha. Kupitia ibara hio kama Mtanzania,nashauri or napendekeza kuwa hii reli Mpya ya kisasa...
  7. Chakwale

    Ombi La kuonana na Rais Mstaafu Kikwete

    Wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika.Mm ni Kijana Mzalendo wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 35 sasa ninae vutiwa na Rais wetu Mstaafu wa awamu ya NNE Jakaya Mrisho Kikwete. Nina Mapenzi makubwa na Rais huyu tangu nipate akili ya kujua siasa za Nchi hii mnamo mwaka 2002 na tangu nianze...
  8. Chakwale

    Hatma yako ipo miikononi mwako

    Kila kitu unachokiona iwe ni taasisi mbalimbali, sayansi, teknolojia, gunduzi na vumbuzi mbalimbali kama ndege, magari, meli, simu, mavazi, fedha nk nk katika dunia hii kwanza kilikuwa wazo la mtu fulani baada ya kufanyiwa kazi ndipo kikawa hivyo kilivyo leo. Kiasili karibu vitu vyote duniani...
  9. Chakwale

    Unashauri nini kifanyike kuliboresha Jiji la Dodoma?

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Kama tujuavyo kuwa Dodoma sasa ndio Makao Makuu ya nchi yetu na Serikali kwa ujumla na ndiyo inayobeba taswira ya Tanzania yetu. Kama nchi, kama wananchi na walipa kodi, tunalo jukumu la kuisadia na kuishauri serikali yetu namna gani Jiji letu liwe katika...
  10. Chakwale

    Nimegundua kuna hatari ya ongezeko la chuki nchini Tanzania

    Habari kwenu Wakuu wote Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza Mimi si muanzishaji wa thread humu ndani bali nimejijengea tabia ya kuwa msomaji na mchangiaji wa Mada mbalimbali pale inapobidi. Katika uzoefu wangu humu nimegundua ongezeko kubwa la chuki miongoni mwa Wachangiaji katika sehemu...
Back
Top Bottom