Search results

  1. Maziku-Winston Smith

    Nafasi ya kazi: Business Manager

    Habari zenu, Natafuta mtu anayeweza kufanya kazi ya business manager mwenye uzoefu usiopungua miaka 2 About business: The business deals with workshop tools, maintenance tools including construction materials, safety wears, cutting disc and the like. Qualifications: (1) Bachelor's and...
  2. Maziku-Winston Smith

    Msaada kuhusu scholarships za Sweden

    Habari zenu wanajamvi. Nina ndoto za kusoma nchini Sweden kupitia taasisi inayotoa masomo ya ufadhili nchini humo. Kwa wale ambao mmewahi kusoma au bado mnaendelea kusoma mnaweza kunisaidia/kutusaidia namna mchakato wa ku-apply unavyofanyika? Ninafahamu kwamba utaratibu wa ku-apply unafanyika...
  3. Maziku-Winston Smith

    Debate: James Baldwin debating William F. Buckley at Cambridge Union, 1965

    Habari zenu wana-JamiiForums, Leo napenda kushare nanyi moja kati ya mjadala ambao umenivutia sana kati ya manguli wawili waliowahi kupata kuishi nchini Marekani, James Baldwin na William Buckley. Kilichonivutia haswa katika mjadala huu ni umahiri wa James Baldwin katika kueleza mambo kwa...
  4. Maziku-Winston Smith

    Hii ya msemaji wa polisi kutetea uvunjaji wa sheria imekaaje

    Habari za humu wanajamvi. Ni takribani siku nne sasa zimepita tokea tushuhudie tukio la mwandishi wa habari akishushiwa kipigo pale uwanja wa Taifa na askari wa jeshi la polisi. Haikuchukua muda mrefu kabla ya wapenda haki wote wa Tanzania kulaani kitendo kile cha unyama kilichofanywa na...
  5. Maziku-Winston Smith

    Wapi wanauza Checkerboard za kuchezea draft Dar?

    Habari za humu wanajamvi. Anayefahamu ni maeneo gani hapa Dar wanauza zile board za kuchezea mchezo wa draught na chess pamoja na bei zake naomba anijulishe nahitaji kununua.
  6. Maziku-Winston Smith

    Gödel's Incompleteness theory inamaanisha nini?

    Habari za humu ndani. Miongoni mwa vitu ambavyo nimewahi kuvisikia na kushindwa kuvielewa ni hii iitwayo "Gödel's incompleteness theory" ambayo licha ya kupitia sehemu mbalimbali kama Youtube na Wikipedia nimeshindwa kuielewa. Nahitaji msaada wa kueleweshwa kwa kina zaidi kwa yeyote yule...
  7. Maziku-Winston Smith

    Is it right for a woman to have more than one husband?

    According to demographic studies, the phenomenon of "missing women" will cause destabilization in the marriage market and also raises one interesting ethical question, can woman have more than one husband? What says you? Post sent using JamiiForums mobile app
  8. Maziku-Winston Smith

    UNESCO fails to acknowledge Jewish ties to Mount Temple

    Je uamuzi uliochukuliwa na hilo shirika la Umoja wa Mataifa ni sawa? The proposal "strongly condemns the Israeli escalating aggressions and illegal measures against the Waqf Department and its personnel, and against the freedom of worship and Muslims’ access to their Holy Site Al-Aqsa...
  9. Maziku-Winston Smith

    Bakora hazimjengi mtoto kinidhamu

    Habari zenu wanajamvi, Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama bakora zinamjenga mtoto kinidhamu. Badala ya kutumia bakora kumtia mtoto nidhamu jiulize kwanza je...
  10. Maziku-Winston Smith

    Wataalamu wa uchumi naombeni mnisaidie

    Kulingana na matatizo ya kiuchumi yanayotukabili kama taifa ikiwemo kiwango duni cha sayansi na teknolojia, uhaba wa miundombinu bora ya maji safi na maji taka, shule duni za serikali. Je nini kianze kufanyika ili kuweza kuweka msingi imara wa kuondokana na umasikini huu?
  11. Maziku-Winston Smith

    Kwanini taasisi za kidini zisilipe kodi?

    Kwa nini makanisa, misikiti pamoja na taasisi nyingine za kidini huwa hazilipi kodi? Mbona taasisi nyingine kama vilabu vya mpira na taasisi zisizo za kiserikali zinalipa kodi
Back
Top Bottom