Search results

  1. kanali mstaafu

    Let us base on facts and figures about this; ipi nchi yenye kiwango bora cha elimu kwa Africa Mashariki?

    Kwa kuzingatia vigezo anuwai vya kuchambua ubora wa elimu, naomba tujadili nchi ipi kwa Africa mashariki ina elimu bora kuliko zote. I have to declare my interest on this, am not allied to any country.
  2. kanali mstaafu

    Nahitaji lotion ya Keri. Nitaipata duka gani Mwanza?

    Nimeenda SH AMON sijaipata... mwenye kujua sehemu nyingine wanapouza anielekeze.
  3. kanali mstaafu

    Naomba kujuzwa Babershop yenye huduma nzuri zaidi jijini Mwanza

    Nahitaji kupata huduma ya kunyoa na scrub hapa jijini Mwanza. Naomba kujua Babershop yenye huduma nzuri zaidi.
  4. kanali mstaafu

    MWAUWASA ni taasisi ya kijinga na inawadharau sana Wananchi wa jiji la Mwanza

    Naandika hii mada kwa uchungu sana. Mamlaka za juu ikiwemo wizara na ikibidi Raisi waingilie kati matatizo ya taasisi hii kwa kunyanyasa wananchi.. hizi ni baadhi tu ya kero kubwa za taasisi hii kwa wananchi; 1. Kuanzia nameneja wa kanda (HASA KANDA YA NYAKATO) mpaka wasoma mita wamejawa na...
  5. kanali mstaafu

    Kesho napanda ndege

    Eeeh ndiyo, nitakuwa kati ya wale Watanzania asilimia moja (1%) wanaotumia usafiri wa anga. Yaani ukikuta Watanzania mia ni mmoja tu aliyewahi kutumia huu usafiri wa anga.
  6. kanali mstaafu

    Usioe usioe usioe

    Ni maneno yanayotazamiwa kutindikiwa utashi na idadi maradufu ya waja . Lau athari za kupuuzwa kwa mshororo kolezo zingaliweza kuhisabiwa kwa uzito zingetimu makumi alfu ya ratili alfu kumi milioni na kwa uwingi zingalikuwa mara alfu ya vichanga vya mwambao.
  7. kanali mstaafu

    Mwanza: Askari Jeshi wanapiga raia hovyo maeneo ya Buzuruga shule

    Nilikuwa nasikia tu huu upuuzi ila leo nimejionea kwa macho yangu. Jana tarehe 05 kuanzia mida ya jioni askari jeshi wawili waliokuwa wamevalia sare na wengine wanne waliovaa kawaida walikuwa wanapiga raia ovyo maeneo ya buzuruga shule. Si watoto, wanawake, wazee na wanaume walikuwa wanapigwa...
  8. kanali mstaafu

    Air hostess kanipa namba

    Baada ya kugegeda yule dada anayemiliki HALIYA TAKO LA NYANI nimeendelea kupambania ndoto zangu ikiwemo kuja kugegeza hawa madada wahudumu wa kwenye ndege. K wanza katika ukoo wetu wa LUHAHULA BAHILYA NDALAWA ni mimi tu na waziri mmoja ambaye ni baba yangu mdogo ndiyo huwa tunapanda ndege kwa...
  9. kanali mstaafu

    Wimbi la wadada kwenda mjini asubuhi

    Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini...
  10. kanali mstaafu

    Hii sio haki

    Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi...
  11. kanali mstaafu

    Tanzania General Hip Hop Awards

    Zifuatazo ni tuzo za vipengele mbalimbali vya muziki wa Hip hop Tanzania. Naombeni tupige kura baada ya wiki moja tutatoa tuzo. MSANII BORA WA HIP HOP WA MUDA WOTE 1. Professor jay 2. Afande selle 3. FID Q 4. Mwana FA 5. Jay moe 6. Roho saba 7. Nikki mbishi 8. Joh Makini 9. Chid benz 10...
  12. kanali mstaafu

    Joh Makini, The Tanzania hip hop giant anayepita njia inayomfanya aonekane wa kawaida sana

    Miaka ya 2008 mpaka 2012 ukisikia jina JOH MAKINI unapata picha ya nguli wa Hip hop ambaye alipendwa na wagumu pamoja na mademu at the same time. Joh makini ni msanii wa hip hop ambaye ana vitu vifuatavyo; Flow za aina nyingi halafu zinabamba Ana sauti nzuri Anaweza kurap ktk mdundo wowote Ni...
  13. kanali mstaafu

    Msanii Malaika wa rarua rarua

    Nimechoka kumpigia puli.. nifanyeje ili nimpate??
  14. kanali mstaafu

    Ndugu na jamaa wa Suzy wa EATV mpelekeni haraka mtu wenu kwa psychiatrist

    Naona kama amedata mara anaacha kunyoa nywele za kwapa huku akizionyesha hadharani. Mara anataja wanaume waliomsokota na vimbwanga kibao..Fanyeni hima Mumnusuru ndugu yenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kanali mstaafu

    Judith Wambura (Lady Jay Dee).

    Nilikuwa napitapita youtube mara nikakutana na audio ya wimbo wake inaitwa I DONT CARE...nimegundua huyu dada ana kipaji kikubwa sana kwa hii Afrika mashariki hata Afrika nzima Kwanza ana sauti nzuri Ana uandishi mzuri Anaweza kuimba aina nyingi sana za muziki Kwa kweli huyu kwangu ni msanii...
  16. kanali mstaafu

    Naona kila dalili ya kupigwa mzinga, nijibu vipi kwenye hii conversation?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kanali mstaafu

    Mgegedano hadharani kiwanja cha Bundesliga

    Uwe mwenyeji au mgeni katika jiji la miamba a.k.a jiji lawiza lazima utasikia umaarufu wa kiwanja hiki kilichopo mitaa ya nyasaka... kuna katabia nimekaona si mara moja wala mara mbili naona kameshika kasi sana.... jmoc moja nikiwa naangalia band nilienda chooni kujisaidia ile nakaribia chooni...
  18. kanali mstaafu

    Nimepitiliza kituo kwa ajili ya demu...

    Tuombeane wakuu. Badala ya kushuka ustawi saiv nimepitilizwa mpaka kijeleshe naitafuta igoma...dua zenu wananzengo Sent using Jamii Forums mobile app
  19. kanali mstaafu

    ILANI

    Kuna mtu anamtumia sms mpenzi wangu anamwambia “ndege wafananao huruka pamoja”... kama uko humu mtumie na nyingine umwambie jinsi mtakapaa pamoja kwenda ahera siku tego langu nililoandaa likikunasa” Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom