Search results

  1. Zamazangu

    Hili la mishahara ya Wabunge kupanda lina ukweli wowote?

    Leo asubuhi nikiwa katika pitapita yangu nikakutana na mjuba mmoja ambaye ni chawa wa mheshimiwa mmoja ninamfahamu kwa sehemu. Akaniuliza kwa kunitania, kaka una habari mjengoni kitu kimepanda? Nikamwambia mimi sijasikia. Akaniambia mimi nimepata nyeti kutoka chini kabisa ya kapeti...
  2. Zamazangu

    DOKEZO Kuna kiongozi mmoja idara ya Elimu Sekondari halmashauri Masasi DC hana utu

    Katika pitapita yangu nimekuta walimu wa Sekondari halmashauri ya wilaya ya Masasi wakibadilishana mawazo lakini katika hali ya kulalamika kuwa kuna kiongozi mmoja ndani ya idara ya Elimu Sekondari hana utu. Nilitamani sana kujua ana matatizo gani hasa, yafuatayo yalibainishwa kuwa ndiyo...
  3. Zamazangu

    Changamoto ya kiwango cha elimu Tanzania

    Nchi yetu ya TANZANIA kwa muda mrefu sasa imekuwa ikionesha kuwa elimu inayotolewa katika taasisi zake Ina shida. Haiwapatii wahitinu wake kila ngazi kinachostahili. Sababu za changamoto hiyo zimetajwa kuwa ni pamoja na: 1. Kiwango Cha baadhi ya watoa elimu kuwa chini hivyo kuathiri uwezo wao...
  4. Zamazangu

    Mpango wa kuanzisha Chama kipya cha Siasa

    Kwa kadiri ninavyoliona sakata la akina Mdee naanza kuelewa kuwa lengo kuu ni kuua Upinzani. Baada ya uchaguzi inaonekana bado katika mioyo ya watu bado Kuna Upinzani tatizo ni aina ya watu wazito waoga na wagumu kufanya maamuzi hatarishi. Wenye Nia ya kuua Upinzani wanahisi bado malengo...
  5. Zamazangu

    Kila jambo na majira yake, mwandishi mmoja wa miaka mingi Kabla ya Kristu aliwahi kuandika maneno haya kuwa kila jambo lina wakati wake

    Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kung'oa yaliyopandwa. Kuna wakati wa kipenda na wakati wa kuchukia. Kwa ufupi ni kuwa kwa wakati chanya uujuao wewe una wakati hasi wake yaani Kucheka na kulia, Kufurahi na kuhuzunika, Kupata na kukosa nk. Kwa msingi huu Mungu atupe nyakati hizo ili tupate...
  6. Zamazangu

    Makinikia yamekamatwa mbona dhahabu bado inapanda ndege kwenda Ulaya?

    Za asbh wadau. Naomba mnisaidie kuliweka sawa hili jambo kuhusu rasolimali zetu. Mara baada ya kupitishwa sheria mpya jee 1. Yale makinikia ni yetu au yao? 2. Ile dhahabu inayosafishiwa machimboni kama north Mara Buzwagi na kwingineko inakuwaje. 3. Ile mikataba tuliyoambiwa ni ya kinyonyaji...
  7. Zamazangu

    Mambo yanayowakatisha tamaa Watanzania na Serikali yao waliyoamini ni ya wanyonge

    Wana jf wenzangu Idd Mubarak Awali ya yote ninamshuru mwwnyezi Mungu kwa kunipa afya njema Leo tena. kuna mambo kadhaa ambayo kama mkulu asipokuwa makini na kuyarekebisha atajikuta anafanya kazi kubwa sana kuliko ile ya 2015 kurudi madarakani 2020. naomba niyataje machache hapa;- 1. Kauli za...
  8. Zamazangu

    Rais azingatie methali hii; Mshika mawili moja humponyoka

    Wapendwa wangu hapa jf. Naomba niwakumbishe msemo wa wahenga kuwa mshika mawili moja humponyoka. Mkuu wetu wa kaya ana mambo mawili makubwa anahangaika nayo kila kukicha. muda unaonekana kutokuwa rafiki kwake maana unakimbia bila huruma. 1. Anajitahidi sana kujenga uchumi jambo ambalo ni...
  9. Zamazangu

    Ziara ya Mbunge wa Ndanda Jimboni Kwake 10 na 11/06/2017

    Mbunge wa Jimbo lla Ndanda Chadema. Cecil David Mwambe, ametembelea kata za Lukuledi na Chiwata ambako alishirikiana na wananchi ktk Ujenzi wa Zahanati. ziara hii imekuwa na mafanikio makubwa ktk kutekeleza ahadi zake kwa wananchi huku akishiriki yy mwenyewe ktk shughuli hizo. kata zingine...
  10. Zamazangu

    Ziara ya Mbunge wa Ndanda Jimboni Kwake 10 na 11/06/2017

    Mbunge wa Jimbo la Ndanda Chadema Cecil David Mwambe, ametembelea kata za Lukuledi na Chiwata ambako alishirikiana na wananchi ktk Ujenzi wa Zahanati. Ziara hii imekuwa na mafanikio makubwa ktk kutekeleza ahadi zake kwa wananchi huku akishiriki yy mwenyewe ktk shughuli hizo. Kata zingine...
  11. Zamazangu

    Tetesi: Suala la NECTA kuwakopa wasimamizi wa mitihani posho zao za usimamizi likoje.?

    Kuna taarifa za kuaminika kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika kuwa. Walimu ambao ndio wasimamizi wakuu wa mitihani ya taifa wamekuwa wakikopwa posho zao za usimamizi kwa miaka miwili sasa yaani 2015 na 2016. Hali hii so mzuri kabisa kwani inavunja moyo wa kujitolea walionao walimu. Tunaomba...
  12. Zamazangu

    Baraza la Mitihani Tanzania, walipeni wasimamizi wa mitihani ya taifa

    Kumekuwa na tatizo jipya la wasimamizi wa mitihani ya taifa ambao ni walimu kukopwa posho zao za usimamizi wa mitihani hiyo ya taifa kidato cha Pili na cha Nne. Utaratibu huo umefanyika kwa miaka miwili mfululizo kwa baadhi ya Halmashairi hapa nchini. Mwaka 2015 malipo yalifanywa kwa 75% na...
  13. Zamazangu

    Jimbo la Ndanda kazi ipo

    Taarifa zilizopo hapa ndanda ni kuwa baada ya sintofahamu ya jana, kufuatia wagombea, makada na wafuasi wa chama tawala kusambaza uvumi kuwa mgombea wa jimbo hilo DAVID C. MWAMBE Amekatwa na kusoma barua yenye taarifa hiyo iliyo rainiwa na salim mwalimu. chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA...
  14. Zamazangu

    Jimbo la Ndanda hali si shwari

    Katika hali isiyo ya kawaida imebainika kuwa anguko la CCM litakuwa kubwa mno mwaka huu. Katika mkutano wa kampeni za udiwani kata ya ndanda uliofanyika jana 19/10 mgombea wa CCM alidiriki kutamka hadharani kuwa mgombea wa UKAWA/CHADEMA amekatwa jina lake na tume ya taifa ya uchaguzi akidai kuwa...
Back
Top Bottom