Search results

  1. solvent

    Wanaume wenye umri chini ya miaka 28 hawafai kimapenzi

    Yeah ni ukweli, Then wakipata mkwanja wanaanza kuwagonga mademu , kuwachezea then kuwapiga chini mpaka wachoke.
  2. solvent

    Tabia za ajabu kwa wanaume

    Kama ni nadharia nenda kaoe mwanamke niliyemzalisha kaka, Then uangalie nature ya mahusiano ambayo nitayajenga, unachosema ww ndio nadharia, ninachosema mm kinaonekana na kinaushahidi out there kwamba mwanamke aliyezalishwa hafai kuoa, Majuto ni mjukuu brother. Its painful brother kuona wenzio...
  3. solvent

    Tabia za ajabu kwa wanaume

    Mimi syo mwanamke , soo i don know the perception of women kuhusu hilo, but naona wanawake wengi hawajali sana hilo. Mwaamke na mwanamme ni vitu viwili kabisa , they don need the same.
  4. solvent

    Tabia za ajabu kwa wanaume

    1.Mwanamke aliyezaa ameshakuwa na familia tayari, 2.Mwanamke akishazaa kuna vitu vitu vingi anapoteza kimwili, 3.Mwanamke akishazaa anapoteza ule ubichi kuanzia papuchi mpaka mtindi unashuka grade, 4.Mwanamke aliyezaa anaingia kwenye familia mpya huku akiwa na majukumu ya kimalezi katika...
  5. solvent

    Tabia za ajabu kwa wanaume

    Mwanaume kuoa single mother ni kujishushia hadhi, Mwanaume kuoa mwanamke ambaye amezalishwa ni kujishushia hadhi. Its the same principles. Mwanaume aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke ambaye amekwishazalishwa,
  6. solvent

    Wimbi la vijana kuishi pamoja kati ya mwanamke na mwanaume bila ndoa linazidi kuongezeka

    Ndoa ilishafungwa pale ulipokwisha kumposa binti. Kinachoendelea sasa ni kupata baraka kanisani.
  7. solvent

    Wimbi la vijana kuishi pamoja kati ya mwanamke na mwanaume bila ndoa linazidi kuongezeka

    Utaratibu huo haupo popote katika maandiko matakatifu, Recall " Mwanamke na mwanamume watawaacha wazazi wao na kua mwili mmoja". Huo ni utamaduni wa kikristo and hence sio dhambi kuacha kufatisha utamaduni huo, Biblia haisemi ndoa ifungwe kanisani bali ni kujiongeza tu kwa wakristo.
  8. solvent

    Wimbi la vijana kuishi pamoja kati ya mwanamke na mwanaume bila ndoa linazidi kuongezeka

    Katika ukristo inapotokea umetoa mahari au pande mbili zimekubaliana basi ndoa hyo ni halalali machoni pa mungu, Kanisani hatuendi kufunga ndo bali tunaenda kubariki ndoa, soo wanaoishi bila kubariki ndoa ni wanandoa, Heshimuni ndoa zao.
  9. solvent

    Huyu mwanaume ananichanganya sana

    Huyo mwanaume hajakuoa bado soo anakuja kwako kama mgen but mara nne ni nyingi sana jaribu kumcontroll. *swala kugharimikia wanawake ambao hujaoa ni ushamba na ujinga, Tafuta zako mama usitarajie kupokea hela ya mwanaume na wala usipigie hesabu mshahara wa mwanaume asie mume wako. Swala la huyo...
  10. solvent

    Mama mwenye nyumba anataka kuniozesha mwanae kwa kinguvu nguvu

    Unatakiwa uwe unamleta mwanamke wako hapo nyumban mara kwa mara na ikiwezekana awe analala ,akiamka wanamuona then hyo Tabia itakoma. Kwa kweli ni ngumu sana mwanaume kukataa gemu ya bure.
  11. solvent

    Si kwamba wasichana visu/warembo hatupo tupo, tatizo wanaume ni bahili hawajui kuhonga

    Bribing- kuhonga persuade (someone) to act in one's favor, typically illegally or dishonestly, by a gift of money or other inducem ent.
  12. solvent

    Funzo: Usahili wa TRA kwa graduate walioko JamiiForums

    Interview syo kitu chepesi.inategemea umejiandaaje before interview na interview imeelekea direction ip.
  13. solvent

    Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Syo account ya zitto hyo
  14. solvent

    Kosa kubwa walilolifanya Tanganyika Law Society (TLS)

    Yr argument is right. Rais TLS hastahili kuwa na cheo cha kisiasa
  15. solvent

    Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

    Sometimes mtu alijiskia kukutongoza tu but hakuwa na malengo na ww. Sometimes huwa tunatongoza accidentally, upo kwenye safar pemben kuna mtoto mkali vuu bin vuu umesomesha mtoto kaingia line kinachofata ni kumega tu na kupotezea bcz hakuna muda uliotengwa for her.
  16. solvent

    Kwa yaliyonikuta...

    Mm huku demu kanichukia ,hataki hata kunisikia kutokana na mimba nliyompa. Yan ww waokota dodo kwenye mwembe waja kuomba advice.
  17. solvent

    Wanaume wanaowachukia single mothers wana matatizo makubwa ya kisaikolojia

    The problem is.... Vijana tunamalengo ya kuwa na familia zetu na hatuvutiwi na mtawanyiko wa watoto. Ukioa single mother familia yako inakuwa mara mbili . Tunapendelea familia moja yenye umoja inayojengwa na wazaz wawili. Ni vigumu kuchagua kitu used instead of the new one. A Single mother cant...
  18. solvent

    Kashfa: Mradi wa nyumba 73 za ndugu Masamaki wa TRA

    Kwan mtumishi wa uma hapaswi kuwa bilionare?. Nyumba 73 ni chache sana bcz hata masikini wanazo kazaa.
Back
Top Bottom