Search results

  1. R

    nahitaji kujifunza kupiga keyboard

    habari wana JF? naomba mwenye kufahamu ni chuo gani au mtu gani naweza kwenda na kujifunza kupiga kinanda? imekuwa interest yangu mda mrefu but sijui wapi ntapata. pia ningefurahi kama utanitajia na gharama pia nione km ni affordable. then km kuna mtu anayo key board nzuri/piano anaiuza tuwasiliane
  2. R

    Elections 2010 morogoro waipoteza fomu ya matokeo iliyosainiwa,

    habari z ahivi punde toka moro ni kuwa ccm wameiba fomu ya matokeo, wakala walipochachamaa ikapatikana, ila imegoma kuingia ktk machine,(hapa sijui ni machine gani). may be kuna machine ya kugundua feki. habari ndo hiyo ccm wakiangushwa wanafanya kila mbinu kuiba
  3. R

    Elections 2010 ccm wamesaidia sensa muhimu tanzania

    kwa matokeo ya mwka huu percent watayopata ccm dio exactly idadi ya wajinga wa tz, wasiojua kusoma, kuandika, na kuchambua mambo. ukitaka kuniprove sahihi just angalia maeneo ccm walioshinda uone maendeleo yake, raia wake, hao ndo wanaifanya tz iwe kumi bora ktk umaskini kwa miaka yote...
  4. R

    Elections 2010 Ngawaiya kuhama nchi akishinda Dr laa

    hapa wahujumu wameanza kuitoa mmoja baada ya mwingine baada ya Mwenyekitiwa Jumuia ya wazazi Kilimanjaro Thomas Ngawaiya kutamka kwamba atahama nchi kama Dr W.Slaa akishinda uraisi, hii inaashiria huyu jamaa ni fisadi, mhujumu, why aogope kushi nchini chini ya Chadema? ana lake jambo!
Back
Top Bottom