Search results

  1. K

    Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma

    Malkia wa Peramiho haina kupoa mitano mingine inamsubiri.
  2. K

    Wawania Ubunge Rukwa waanza kampeni huku viongozi wakiwa kimya

    Hii tabia inaongozwa na viongozi walioteuliwa kuwa ma dc na ma rc wengi wanarudi kwenye majimbo yao kutengeneza mazingira ya kugombea ubunge 2025
  3. K

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Mwamba umejiunga jf March 13 na tarehe 15 March umeshusha uzi wa wazee wa Kahawa.. karibu sana .. . Uzi toka 15 March hadi leo.. 0 comments inaonesha wakulima wa kahawa hawapo jf
  4. K

    New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Hata huko songea huyo superfeo Ana kero zaidi ya huyo newforce...... kuhusu parcel feo ni 0.
  5. K

    Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Pale Iringa kulikuwa na mtu anaitwa Mwakipagate ... kuna Likopola Na Nyimbo walioteka Zainab Kitonga enzi za Kamanda Alfred Gewe.
  6. K

    Wanawake hamnaga shukrani kabisa

    Nilimkuta kajifungua mapacha aliyempa mimba kasepa mtoto mmoja akafariki .. aliyebakia akagundulika ana shida ya moyo hela ya matibabu alikuwa hana nikawa nagharimia na baadae nikamkatia Bima... .. miaka mitatu mtoto katengamaa kakuwa kilichonikuta .... duu hawa wanawake acheni tu
  7. K

    Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

    Kumbukumbu zangu zinaonesha Badra Masoud siyo msemaji wa Tanesco ... ni msemaji wa wizara ya Nishati na Madini.. aliteuliwa kwenda wizarani akitokea Tanesco
  8. K

    Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Superfeo wako juu Omar Msigwa Baba lao
  9. K

    Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

    Nawaza kimya kimya makomando wa jeshi waliofukuzwa kazi wanapoajiliwa na kiongozi mkuu wa upinzani siri za serikali zinakuwa salama? hatuna haja ya kujiuliza akina kigogo wanapata wapi taarifa
  10. K

    Magari yamegongana Iwambi Mbalizi Mbeya, moja imewaka moto

    HII AJALI HAIJASABABISHWA NA HALI YA MLIMA ULIOKO PALE ......KUMBUKA GARI IMETOKEA TUNDUMA UELEKEO WA DAR MEANS THAT IMETOKEA SONGWE IFISI HUKO MBALIZI TOWN NA KUJA KUPANDA MLIMA .... KAMA ILIGONGA MAGARI MENGINE HUKO NYUMA MAANAAKE KUANZIA KULE MBALIZI AMBAKO HAMNA MLIMA NDIPO IMEKUJA KUPANDA...
  11. K

    Simulizi: Nilivyomfumania Mume Wangu Nikaapa Kulipiza

    duu nimesahau hadi kula aise ... yaani leo umetuweza
  12. K

    Mama J, shabiki wa Yanga

    ile ni kama alivyosema mjumbe aliyepita inaonesha walikuwa kwenye show pale ilikuwa ni mapumziko wanaresume new round
  13. K

    Mama J, shabiki wa Yanga

    yaaa ni kweli nako kwenye mikesha ya misiba ni balaa jingine ...kuna shemeji yangu alifiwa na mume wa rafiki yake wakawa wameleta msiba mkoa ambao nafanyia kazi ...bro akaniomba nikampe kampani shemeji ksb yeye haji kwa hiyo nikatoka kijijini ninakofanyia kazi nikaenda msibani mjini nikajoin nao...
  14. K

    Mama J, shabiki wa Yanga

    swali hapa yule mwanaume ndiye baba j? na kama siyo mme wake yuko wapi? maana mke wa jamaa tumeshamuona akilalamika
  15. K

    Mama J, shabiki wa Yanga

    walijirekodiwaoenyewe .. means that hata kusambaza wamesambaza wao wenyewe ,,,,, tuanzie hapa
  16. K

    Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

    uko sahihi Mbeya ligi ya mabasi ni long time enzi za kina matema beach safina luck star hekima ...
  17. K

    Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi, Fanya muziki acha majungu badilika muda unaenda haurudi nyuma

    tungi bishoo dharau...kila anachokitaka anataka atumie jina la nick mbishi kukipata akitaka demu anamtaka kwa lazima yaani kila kitu yeye apewe priority ..of coz nilimuona mshambamshamba fulani
Back
Top Bottom