Search results

  1. N

    Moyo wangu umevunjika sana, hakika Magufuli alikuwa chaguo la Mungu

    Ukibishana na mnjinga na wewe utaitwa hivyo, time will tell but you can't deny the truth. Continue to believe kuwa wewe si mnafiki....
  2. N

    Moyo wangu umevunjika sana, hakika Magufuli alikuwa chaguo la Mungu

    You don't know what you are talking about, lakini nikuache tu. Endelea kueleza uovu wa marehemu. Time will tell, pita kwenye kila post sema kabisa....utazawadiwa vyema.
  3. N

    Moyo wangu umevunjika sana, hakika Magufuli alikuwa chaguo la Mungu

    Frank, unapata faida gani for this smear campaign against the deceased. Unapita hapa kwenye kila post kuoppose those who genuinly moan for our beloved president. I know you know the truth, Magufuli was one of the best leaders. And I strongly disagree with your statements and your sentiments...
  4. N

    Kusitishwa kwa huduma za kifedha na kibenki toka Falme za Kiarabu kuja Tanzania

    Ndio kaka, inawezekana. Mara nyingi mimi nimekuwa nikituma mwenyewe kwenye namba yangu ya bongo halafu naingia kwenye APP na gawa navyotaka.
  5. N

    Kusitishwa kwa huduma za kifedha na kibenki toka Falme za Kiarabu kuja Tanzania

    Mkuu Yonga, hata huku UAE as long as unayo app ya MPESA tumekuwa tukitumia bila Shida. Ni Siku chache tu zilizo pita huduma hizi zimesitishwa. Na siyo Mpesa tu, any kind of money transfer unless kama unamtu akusaidie lakini legal transfer zinazopita central bank...wameweka ban until further...
  6. N

    Kusitishwa kwa huduma za kifedha na kibenki toka Falme za Kiarabu kuja Tanzania

    Habari za mchana ndugu zangu, Jana kumekuwa na shida kuanzia saa nane mchana saa za Dubai/UAE kuhusu kutuma pesa Tanzania kwa njia zote: Western Union, Mpesa, Instant Cash, na bank transfers. Mashirika haya yanadai kumekuwa na memo toka Central Bank ya Tanzania kuhusu utumwaji wa pesa Tanzania...
  7. N

    African languages: Swahili is the most spoken on the continent with over 100 million speakers

    Sio kweli, Wakenya hawaongei Kiswahili sanifu. Wamekitilia mkazo lakini hawawezi kamwe kushindana na huku kwetu. Ukweli utabaki kuwa wengi wa Wakenya wnaishi nje na idadi yao imezidi ya kwetu kwahiyo by default wanainteraction kubwa na foreigners ambao hawaijui Tanzania. Kuhusu wao kufundisha...
  8. N

    Yabainika: Mjane wa Tanga aliyemlilia Rais Magufuli si tapeli. Nyaraka nyeti zaibuliwa

    Ndugu yangu wacha kupotosha, Raisi hajaingilia mahakama. Alichofanya ni kuruhusu mama aseme yake moyoni. Which is really great I could say, lakini aliomba jaji mkuu na wahusika wafuatilie kesi ile ili haki itendeke. Sasa kosa la Magu ni lipi? Baniani mbaya lakini haki yake mpeni.
  9. N

    Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

    No wonder unaitwa Ziro, unajua faida za ndege kwenye ulimwengu wa utalii??? Please kama hamjui si mkae kimya tu.....
  10. N

    Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

    Wacha kuwa na mawazo ya hovyo, hakuna sanaa hapa. This guy is doing great job, lakini ufahamu wa watanzania wengi unawalakini. Msipende tu kuandika kwasababu mnaweza....
  11. N

    DAR: Ujenzi wa Daraja la Salender kuanza 2017 na kukamilika mwaka 2020

    Wacha kukariri flyovers, serikali ilishafanya yote hayo mnayo fikiria sasa. Atleast appreciate for the great job Mr. President is doing rather than complaining kila wakati. Hawawezi wakaamka tu na kujenga daraja, necessary studies were made, we are just waiting for implementation
  12. N

    Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    Kwa mawazo haya kweli unatoka Moshi vijijini!!
  13. N

    Nafsi ni kitu gani?

    Wadau naomba tafadhali na mimi nitoe mawazo yangu, Mtu nI Roho ana kaa katika Mwili na anayo Nafsi. Kama Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. SisI tumeumbwa tukawa Triune being (1Thesalonike 5:23). Nafsi inajengwa na element tatu za Mind as a leading part of the Soul (Nafsi) Will (Nia) and...
  14. N

    The Economist on Magufuli: A President who looks good but governs impulsively

    Any how, wakishaongea na investors wenzao...then wewe unapata nini????? Slave mentality kabisa!!!
  15. N

    MeTL wakanusha kukamatwa kwa sukari iliyofichwa

    Bro Ben, watch out what you are saying maana siku moja utakuja kukosa cha kuchangia kuhusu mkuu wa kaya. JPM akiongea na viongozi wa polisi alierezea juu la sakata la samaki na namna mwendesha mashitaka alivyo mchezea faulo.....na hii ilikuwa public tafuta hiyo clip. Kwa hili sakata la...
  16. N

    MeTL wakanusha kukamatwa kwa sukari iliyofichwa

    Msemakweli, I like your critical thinking!! Wengi wameshikwa pabaya....walizoea kufanya press release na watu wakawaamini pasipo kuhoji. Lakini kwa hili la MeTL linazua maswali mengi kuliko majibu??? Logic inakataa!!!
  17. N

    Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Bidhaa ipo Lakini walionayo wanaichezea serikali hawataki kuuza. Matamko yanalenga kuvunja monopoly inayoletwa na rushwa kwa hawa wafanyabiashara. Usilolijua ni usiku wa giza....
  18. N

    Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Kaka mimi nafikiri unashida ya kufikiri, sio kilakitu cha kulaumu. Hivi kweli wewe waweza kuuliza eti TRA ama TFDA wako wapi? Umeshasahau namna ambavyo TRA mekuwa ikitumbuliwa!! Do they have any credibility ama ndio JPM anajaribu kutengeneza credibility ya Hivi vyombo. Watu wanakwamisha juhudi...
Back
Top Bottom