Search results

  1. raybse

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hiyo NOTE 4 bado unayo? nicheki kupitia 0713966623 tuongee,nahitaji hiyo simu!
  2. raybse

    MSAADA: SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA

    Sawa nitajaribu kufanya hivyo ndugu yangu.
  3. raybse

    MSAADA: SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA

    NATAFUTA SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA.POPOTE NINAPOWEZA PATA TAFADHALI NIJULISHE. NATANGULIZA SHUKRANI.
  4. raybse

    Natafuta Spare key ya BMW 3 Series ya 2002, 318i

    Habari wandugu! wapi hapa Tanzania naweza pata programmed spare key ya BMW,318i ya mwaka 2002 kwa bei reasonable? Natangauliza shukrani. Mwenye taarifa yoyote anaweza nicheki kupitia 075996662 . Natanguliza Shukrani.
  5. raybse

    Toyota ist inauzwa 8,500,000tzs

    Sawa ndugu yangu fanya hivyo!!
  6. raybse

    Toyota ist inauzwa 8,500,000tzs

    Sababu za kuuza: Maamuzi tu ndugu yangu! Inapatikana wapi?: Kwa sasa ipo Iringa ila inaweza kwenda Dar muda wowote na saa yoyote kulingana na mahiji ya mteja. Accident record: No any significant accident record Odometer: 70,000Kms.
  7. raybse

    Toyota ist inauzwa 8,500,000tzs

    Toyota IST Inauzwa 8,500,000TZS,ni ya mwaka 2003! Ipo vizuri! Service ya mara kwa mara! Cheki Picha hapa chini! Kwa maulizo na manunuzi nicheki kupitia 0759-966623.
  8. raybse

    Dr.Godbless Charles won his Appeal against Medical Council of Tanganyika(MCT)

    Hongera sana kaka!! Mungu akutie Nguvu katika mapambano haya naamini huu ni mwanzo tu wa vitu vingi sana unavyoweza fanyia jamii yetu hii iliyozungukwa na dhuluma ya kila aina! Binafsi nakufahamu kama moja ya azina chache ya vijana wa Taifa hili ambao wanaweza kusimamia wanachokiamini kwa...
  9. raybse

    M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

    Mimi nipo Tabata Kimanga stand muda huu na wala hakuna dalili za mkutano leo nadhani tarehe zimechanganywa nasikia huo mkutano ni Kesho, 11/8/2013 ! Kama kuna mtu ana taarifa za Uhakika atuwekee hapa.
  10. raybse

    Mkosamali on fire in the Parliament

    mi nilijua anaungua na moto bungeni si ndo nikashangaaaa hakuna zima moto bungeni??!!Hahahhahahahahah hii lugha ya kikiristo hajawahi kuwa rahisi kwa waumini wake hata siku moja!!
  11. raybse

    Tunapokea kero ambazo ungependa ziwasilishwe bungeni na wabunge wa CHADEMA

    Naomba Kiongozi mkuu wa Kambi ya Upinzani(Freeman Mbowe) amuulize waziri mkuu kwenye maswali ya papo kwa papo siku ya Alhamisi nini kuhusu HATIMA ya kesi ya Dr.Stephen Ulimboka kwani serikali ilijitamba sana kwamba ukweli utajulikana na sasa ni miezi kibao imepita umma Haujulishwi kinachoendelea...
  12. raybse

    Prof Chinua Achebe is dead

    RIP Proffessor! You will always be remembered for your outstanding and magnificent work on African culture!! Your GREATEST as far as the AFRICAN culture is concerned!!
  13. raybse

    CHADEMA yatuma ujumbe mzito kwa Rais Kikwete, Bosi wa UWT na IGP kuhusu Mwigulu

    Kijana yoyote mwenye akili timamu kushabikia ccm kwa sababu yoyote ile anayoijua yeye ni ujuha na upunguani ulipita kiwango cha kibinadamu!!
  14. raybse

    Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    Listen to your heart and go for it!! Mimi nimesoma PCB na sasa ni daktari ila siku katazi kuja huku wala kwenda kule!! Just do what u think you want to do and give it your BEST mengine yatafuta!!
  15. raybse

    Audio: Heche alivyobaka demokrasia kwa kukimbia katiba ya chama dhidi ya Habib Mchange

    Kaka nakushauri endelea tu na maisha yako!! Siasa siyo taaluma!! Fanya kazi tunza familia yako! Kuna maisha pia nje ya siasa!!
  16. raybse

    Hongera Zitto kwa kuwa msomaji wa vitabu; only that will shape you!!!.

    salute to all those who read books!!
  17. raybse

    Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

    Silence is also a comment!!
Back
Top Bottom