Search results

  1. Mantrex

    Swali la KIZUSHI: Kwa nini hakuna cheti kwa Divisheni Ziro?

    Je mtu aliye pata division 0 anaweza kuwa na elimu ndogo kama ya darasa la saba? Au atafanana na darasa la saba! Kielimu? Kwangu Mimi Miata minne ya kusoma sec. na kitoka na. Sifur hakuwezi linganishwa na mtu aliye ishia la saba
  2. Mantrex

    Ndugai amueleza Dk Shoo ugumu wa kuwa Spika

    Jiuzulu! Kuna watu kibao wanao mudu! Ukiona kazi yoyote inakuwa ngumu jua bas kuwa huna uwezo nayo, achia watu watakao mudu
  3. Mantrex

    Askofu Shoo ukiendeleza Siasa madhabahuni utaabika tu

    Umetoa wap pumba! Kama huna chakueleza watu kaa kimya! Kama kuna Aliyeona Shoo kaongea sivyo mbona hawakujibu? Mawazo yako ni bora ukivaki nayo kichwani kwani hayana msaada kwa jamii
  4. Mantrex

    R.I.P. Mengi.Lakini mbona Hadi sasa hatuambiwi hadi sasa kafa nini?

    Nadhani ni baada ya msiba watasoma! Wasifu wa marehemu
  5. Mantrex

    Inawezekanaje fingerprints zisiendane na za mtu mwingine??

    Kama vile kuna kitu hapa! Ila nadhani ni vema tukingoja wataalamu!!
  6. Mantrex

    TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    Boss baadhi ya watu wanadai ni ITV imeriport ila sina uhakika
  7. Mantrex

    Barua kwa Mfanyakazi wa Tanzania, Mei Mosi 2019

    Mei Mosi 2019: Wafanyakazi wa Tanzania MTAVUMILIA mpaka lini? Barua yangu kwa Mfanyakazi wa Tanzania, Kesho ni Mei Mosi. Kwa niaba ya Wanachama wa Chama Cha ACT Wazalendo natoa salaam za pongezi kwa kazi kubwa ya kujenga nchi ambayo wewe Mfanyakazi wa Tanzania unafanya licha ya mazingira...
  8. Mantrex

    Huyu baba ni majanga

    Dogo inatakiwa asepe mbele na kademu kake!! Aachane na Inz🤣
  9. Mantrex

    Kwanini bongo Fenicha za ndani zinauzwa bei kubwa namna hii kuliko mataifa mengine? Tuna matatizo gani?

    Vyanzo vichache vya mapato! Vinavyotumika wakati nchi hii ina mali za kutosha! Hata uvunjifu wa sheria za usalama barabarani kitu kinachotokana na ukosefu ya elimu husika kwa bongo ni chanzo cha mapato Pili , wanasiasa kumiliki biashara mbalimbali! Hilo nalo ni tatizo! Control ya bei inakuwa...
  10. Mantrex

    Maajabu ya mwanamke yaliyowashinda hata wanafalsafa kuelewa

    MAAJABU YA WANAWAKE YALIYOWASHINDA HATA WANA FALSAFA KUELEWA *Naomba msipanick walimu,[emoji1373]* *Ukinipinga pinga kwa hoja.* Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake wote...
  11. Mantrex

    Kama hauko tayari kwa haya usioe / kuolewa

    Kuoa kwa upande wako ni kumlala mkeo tu! Ukiamka nijuze
  12. Mantrex

    Kama hauko tayari kwa haya usioe / kuolewa

    Raha ya ngoma ingia ucheze! Sio lazima tkubaliane leo muda wako ukifika taratibu utakubaliana nami kimy kimy
  13. Mantrex

    Kama hauko tayari kwa haya usioe / kuolewa

    Kila jambo lina faida na hasara! Kama katika biashara tunajipanga kwa faida AMA hasara kadhalika katika nahusiano. Tena katika biashara kujipanga kwa faida au hasara ni jambo endelevu! Kama Leo hukupata hasara basi kesho huwezi jua itakuwaje . Katika mapenz Hakuna uaminifu kwa asilimia mia! Kwa...
  14. Mantrex

    Natafuta mume

    Njoo inbo
Back
Top Bottom