Search results

  1. Nima Imma

    Kwa ugumu wa maisha nilionao, michango inayoendelea inanifikirisha sana

    Hellow poleni na majukumu. Ni jioni tulivu namshukuru Mungu nina afya tele Tumeona hukumu ya viongozi wa CHADEMA na faini za Mamilioni ya mapesa. Basi ile sijakaa sawa nikaona kwenye mitandao hamasa ya michango, namba zikatolewa za kutosha. Basi giza tororo likazidi na joto likanizidia mana...
  2. Nima Imma

    TV imechora mstari kubwa mno kati kati naomba msaada

    Poleni na majukumu wapendwa, Naomba msaada Tv yangu inch 43 Lg LED imechora mstari mnene mno kati kati Shida ni siku moja tukiangakia tv iliweka tu kiza ikawa haionyeshi kitu , basi tukaizima tukaicha Sasa nikampata fundi akaja kuichek nyumbani akaitengeneza kidogo ikawaka mwanga mweupe bila...
  3. Nima Imma

    Usihuzunike, haupo peke yako

    Hellow wapendwa , Poleni na majukumu Leo nimejisikia tu vyema kuandika hili jambo mana huenda kuna anayelia lia huko akidhani yuko peke yake /dunia imemtenga Jibu ni HAPANA , amka , hauko peke yako wewe dada mwenye miaka 33 ambaye hauna mtoto Hauko peke yako ww uliyeambiwa hauna uwezo wa...
  4. Nima Imma

    Wapi wanaposajili wazo la biashara?

    Hellow Jf, Nina wazo jipya la biashara kulingana na kipato changu sitaweza kulifanyia kazi na pia sihitaji kuliacha lipoteee Naomba kujua ni wapi naweza lisajili kisha nikaliuza kwa gharama nafuu tu ili lifanyiwe kazi na vijana wetu wapate ajira Je? Hapo napoenda kusajili hilo wazo hawawezi...
  5. Nima Imma

    Organic chia seed kutoka karagwe

    Hellow ,karibuni sana organic chia seed kutoka karagwe ni safi haina mchanga hata kidogo Tumezingatia ubora kuanzia kulima mpka kuvuna Karibuni sana mzigo upo wa kutosha jumla na reja reja hapa hapa dar, Kilo moja elfu 9 Kilo 50 utajipatia kwa 5500 tu Kilo 100 utapata kwa 5000 Karibun sana...
  6. Nima Imma

    Tatizo la kuvimba miguu

    Hellow Kuna jambo linanitatiza. Nilisafiri October last year nilitoka Dar kwenda Moshi nilipofika asubuhi miguu ikawa imevimba (kwa chini si mguu wote) wakaniambia ni safari itakaa sawa ndio mara ya kwanza kuvimba mguu. Juzi kwenye mkesha wa mwaka mpya kanisani ,asubuhi naona miguu imevimba...
  7. Nima Imma

    Kuna maisha baada ya kutalikiana

    Wapendwa katika Bwana, poleni na majukumu Yangu ni machache kwa leo. Huenda nikipata kibali mbele za bwana siku za mbeleni nikaja kuandika zaidi ila kwa leo nawasihi: Mnapoona mapenzi yamefika mwisho msilazimishe, achaneni kwa wema Huku kila mmoja akiwa hana hasira wala kinyongo na mwenzie...
  8. Nima Imma

    Siri ya mbegu za maboga na usingizi

    Hellow ,, Tunaelekea kufunga mwaka ,niwatakieni kila la kheri Ninaomba ushauri ,nimekuwa napenda kutafuna mbegu za maboga nyakati za usiku(kama mlo) na nikitafuna saa 1 saa 2:30 nakuwa nasinzia fofofo Basi nikawa nadhani ni uchovu tu nisipotafuna wala silali mapema Sasa nikafanya majaribio kama...
  9. Nima Imma

    Maisha haya, kuna wakati kila kitu kinapotea

    Kuna muda tu unafika unajikuta kila ulichokuwa nacho kinapotea. Wazazi wote wanafariki. Mume/mke mnaachana. Mtoto anafariki. Kazi/biashara unaachishwa/ kufilisika. Marafiki wanakukimbia. Na hata ndugu wanakuona mzigo wanakutenga. Mshauri jambo lolote aliyefikwa na haya yote. Kwa imani yako...
  10. Nima Imma

    Barabara ya Mivumoni ni janga

    Nisiwachoshe enyi viongozi mtambue tu mwaka unaanza ni wa uchaguzi. Hii barabara ya Madale Mivumoni imeshakuwa ni kero isiyohimilika. Acheni kuweka akili zenu kiburi mnaiona na wala hamtujali kwa kuwa nyie wenzetu mna magari makubwa? Kiukweli ni kero, bughudha na karaha. Mgonjwa na hata...
  11. Nima Imma

    Jipatie Chia Seed kutoka Karagwe

    Hellow wapendwa poleni majukumu, Karibuni chia seed kwa sh.elfu 9 tu kwa kilo moja Chia seed ni safi na ndio imevunwa muda sio mrefu , Napatikana dar es salaam tegeta na popote pale utaletewe (utachangia usafiri) Chia ipo nyingi na ya kutosha NAWAKARIBISHENI SANA KWA ODA Kiasi chochote...
  12. Nima Imma

    Bei ya makadirio ya full body ya toyota premio old model

    Helloow ... Naomba mwenye kujua walau bei ya makadirio ya full body toyota premio old model husimamia bei gan na wapi zinakopatikana nzuri ... Niko dar
  13. Nima Imma

    "What goes around comes around"

    Wamama/wadada mpo ???? Leo nataka kusema na nyinyi kidogo sana Hivi kipindi wewe ni msichana unatembea na mume wa mtu unasababisha ile familia inalala njaa ,,watoto wanakosa ada,, mke anaonekana kazeeka hafai kwa ajili yako si uliona sawa kabisa kiasi ukaamua kutafuta na namba ya huyo mke wa...
  14. Nima Imma

    Dah Ban inauma aisee! Nimempa rafiki yangu simu aperuzi JF akasababisha nipigwe ban

    Poleni na majukumu jana bwana niko kazini akatokea rafiki yangu simu yake imeharibika akaniomba akasome yanayojiri jamii forum na huwa si log out mm sikuwa mchoyo basi alivyomaliza akanirejeshea simu. Imefika jion niko nyumban nataka kujua na mimi yaliyojiri baada ya kazi nyingi duh kila...
  15. Nima Imma

    Msaada: Kusimama kwa hedhi ghafla

    Habari wadau wa jf doctor Naombeni msaada kwani nakata tamaa kabisa ya kupata mtoto baada ya kusimama kwa hedhi yangu ...iko hiv nilibeba mimba mwaka 2015 kwa bahati mbaya mimba ilivyofikisha miezi mitano(5) mtoto akawa hakui tena(kiumbe kimefariki) basi nikatolewa na kusafishwa vyema...
  16. Nima Imma

    Fundi tv msaada tafadhali

    Nina tv yangu led lg 43" nikiwasha ilikuwa inakata kata sauti kisha sasa hiv inawaka tu standby ila kioo hakidisplay chochote kile na ukifanikiwa kuona picha basi kioo n clear hakina mistari Je shida ni nn?? Na kama ni tatizo siwez litatua mwenyewe pls ufundi gharama yake n bei gan??
  17. Nima Imma

    Tumia mbinu hii kupata chai inayonukia vizuri na yenye ladha

    ,.........habarini wana jf...... Kila mmoja anajua kuchemsha chai ila ni wachache wanajua kupika chai [emoji626] Chai n pishi kama pishi nyingine ,,,lakini tunavyoliandaa wengi wetu hukosea Kama unapenda chai ya majani basi hakikisha unaweka majan ya chai pale tu unapobandika jikon ,,funika...
  18. Nima Imma

    Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi

    ..,.........habarini wadau,,,,,,, Naimana kuna mahali ushawahi kupita ukasikia wali unanukia vizuri sana(achana na harufu ya wali wa msituni [emoji23] ) [emoji626] hakikisha pale unapopika wali wako usichemshe maji "yaani usitumie maji yaliyochemshwa kupikia wali pikia maji baridi" .. Kama...
  19. Nima Imma

    Garlic peeler machine ,,msaada wa kuipata

    Habarini wadau, Nahitaji mashine ya kumenya vitunguu saumu naomba mwenye kujua sehemu nitakapo ipata anijulishe tafadhali. Asante
  20. Nima Imma

    Mbinu za kupunguza sugu kwa wanaojichubua

    Habari za leo Tuende moja kwa moja kwenye hii mada fupi Sipendi kuona wanawake wenzangu wakijichubua (japo na wanaume wengi nao wanashika kasi) Ila siwez kulaumu hata siku moja kwanini wanajichubua na ndio maana leo ninazo mbinu za kuwasaidia kupunguza zile sugu Eheee wamama ....ni hivi...
Back
Top Bottom