Search results

  1. C

    Rais Magufuli kuibadilisha TANESCO

    Tanesco sio wafanya biashara, kukupa umeme wanaona kama wanakupa msaada. Wakati huo huo mwisho wa mwezi unalipa bill yao. Tanesco hawawezi kumsaidia Mh Raisi kwenye swala la kuongeza ajira, na hata swala la kuleta viwanda nchini. Bila kubadilisha mfumo wa biashara ya umeme, Muheshima ata awe...
  2. C

    Rais Magufuli kuibadilisha TANESCO

    Mkubwa hakuna kitu kisicho na hasara. And you know mataifa makubwa hawapendagi nchi masiki zifunguke macho. Watakupa misaada, ili kukufanya uwe tegemezi kila siku. They will even write articles kukukatisha tamaaa. Hivi, unajua kwanini walimuua Gadafi? Obama amefanikiwa kutengeneza ajira nyingi...
  3. C

    Rais Magufuli kuibadilisha TANESCO

    Mkuu, hapa hatuongelei kubinafsishwa, hapa tunaongelea tanesco ipunguziwe majukumu. Hii inaendana na tanesco isiwe monopoly kwenye nishati ya umeme pekee. Je, unafahamu haya? 1) mpaka sasa Tanesco inaogharimu nchi kiasi gani? Serikali inakopa hela world bank, ADB, European Union kuifadhili...
  4. C

    Rais Magufuli kuibadilisha TANESCO

    Ni aibu Bakhresa anataka MW10, tanesco inalala mpaka Mh Raisi aje atie mkwara. Tanesco haifanyi biashara, wao kukufungia umeme wanaona kama wanakufanyia favour flan. Sasa hizo reform ziko wapi? Kwa karne hii biashara ya kubembelezwa utawezaje kutengeneza pesa? kama hupigani kuongeza wateja...
  5. C

    Rais Magufuli kuibadilisha TANESCO

    mkuu hapa sijaongelea kuuzwa wala kubinafsisha. kwani Mh Mkapa aliporuhusu Mobitel na Tri-tel kutoa huduma za mawasiliano aliuza TTCL? cha kwanza alitambua serikali haikuwa na capacity ya kuwekeza kwenye mawasiliano, kulinganisha na kasi technologia inavyobadilika. Aliruhusu soko huria. Je...
  6. C

    Rais Magufuli kuibadilisha TANESCO

    Mkubwa hakuna kitu nyeti duniani kwenye swala la uchumi kwa sasa. Nchi zote unazijua wewe kama India, Malaysia, Australia, Singapore, Marekani, Japan etc. kuna watu binafsi ambao wanazalisha umeme na kusambaza umeme. Na nchi hizi hizi ndo wakuja kutubabaisha na misaada. Kati ya umeme na...
  7. C

    Rais Magufuli kuibadilisha TANESCO

    Na mwandishi wetu. Promoting private sector will be a permanent solution kwa uchumi wa Tanzania. Kwa vizazi hivi na vijavyo. MWANZO Hatuwezi kulilia viwanda vilete ajira. Wakati sector kama umeme na maji, zinaweza kutuletea ajira kubwa. Kuna hoja kubwa na za msingi kuzitumia (exploit) sector...
  8. C

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Nani alikuambia nchi yao imeendelea? Yani unavyoona video za kina p-square au davido unajua nigeria iko hivyo? Au unavyoangalia movie zao? Nakuhakishia Tanzania mtu anakaa kwa amani kuliko Lagos. Waliowahi fika wanajua hilo. Security is worst in nigeria, unatapeliwa au kuibiwa mchana...
  9. C

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    matajiri wa Nigeria wamempa yule jamaa aliyebwagwa na Idrissa kwenye fainali ya Big Brother Hotshot, dola 350000. Ili awe amepata pesa nyingi kuliko Idrissa. wanaamini wao wana akili na wana pesa kuliko Africa Mashariki yote..
  10. C

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Ndugu kumbe wewe unawajua wanigeria vizuri. Hawa watu always wamejaa dharau, majivuno, ujuaji. Sio wote, lakini 98% ya wanigeria wako hivyo. Infact, huwezi piga story na mnigeria masaa mawili,bila kupondea nchi yenu na nyumbani kwenu. As if kwao ni kama london. Wanajiona wako juu sana...
  11. C

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Hivi kwanini una justify tweet ya davido? Unaamini hawezi kukuponda we mtanzania au? Hukumbuki p-square walivyokuja bongo wakasema eti hawamjui diamond wala hawajawahi msikia. Wakati Obama "the world's president" alivyokuja bongo alimtaja hasheem thabit ambaye ata NBA hafanyi vizuri, just...
  12. C

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Acha kutetea ujinga wa kutojiamini na kujifariji . wewe Mtanzani na jamaa amekuponda. Angalia hiyo tweet na comments zake below. Kuweni realistic acheni kutetea wageni na kuwaogopa ata akikutukana http://viroba.blogspot.com/2014/12/davido-david-adedeji-adeleki-they.html?
  13. C

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Ndugu afadhali umeliona hilo. Wabongo tunapenda sana kujidharau. Daima hatujiamini, ata akija mgeni akitutkana sisi poa tu. Kisa, nchi ya amani. Baada ya ile tweet ya davido, wanigeria wenzake wametukana sana kuhusu Mtanzania kuchukua hiyo tuzo. Lakini watu hawaoni hilo, wako hapa kumtetea...
  14. C

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Wewe unayemtetea Davido huwajui wanigeria vizuri. Hao watu dharau zimejaa mpaka kwenye miguu. Ingia kwenye blog zao walivyotukana kwamba wao wana stahiri ushindi na sio nchi kama TZ ambayo haijui kuongea English. Tatizo wabongo tunapenda kuwaona watu wa nchi nyingine kama miungu ata kama...
  15. C

    universal moderm kwa Tshs 30,000 speed 3.75G

    Napokea simu nyingi kutoka mikoani. Wakubwa hii ni price ya ofisini kwangu. Kwenda mkoani nje ya Dar, kindly arrange your logistic ikufikie. either kama una ndugu Dar au rafiki akuchukulie kwa niaba. Au niagize nitume kwenye usafiri wa aina gani. This price is too low to cover transport charges...
  16. C

    universal moderm kwa Tshs 30,000 speed 3.75G

    Jipatie universal moderm kwa tsh 30,000 na zikiwa na speed ya 3.75G Mawasiliano 0655 338128
  17. C

    Sehemu wanapojaza wino wa printer

    0655 338128 Nipigie kama unataka kujaza wino
  18. C

    Sehemu wanapojaza wino wa printer

    Nipigie 0687 338128 Ninajaza wino
  19. C

    External HDD: Best in the Market na Bei zake

    ninauza WD 320gb 115,000 500gb 125,000 1tb . 175,000 1 year warranty. phone no. 0655 338128
  20. C

    Min Laptops Bei Gani?

    Dukani kwangu nauza mpya 420,000 Ukihitaji wasiliana na mimi 0655 338128
Back
Top Bottom