Search results

  1. MTOKAJASHO

    Jairo alizuia mikataba ya madini Ludwa?

    Nimekopi kwa salas hapo na mimi pia nimepata ujumbe kama huo
  2. MTOKAJASHO

    Jairo alizuia mikataba ya madini Ludwa?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa pale wanamapinduzi wakweli walipo amua kutumia njia ya Passive resistance kufikisha ujumbe kwa jamii yote ya Tanzania. Hamna mtu atakaye andamana ila watavaa nguo nyeusi siku hiyo ya jumatatu kulaani mambo mengi yanayotendeka na hii serikali likiwemo , kukosekana kwa...
  3. MTOKAJASHO

    Elections 2010 Kigoma yakombolewa kutoka mikononi mwa mafisadi.

    Kuanzia kigoma kaskazini sasa ni Kisalu, kibondo na kigoma mjini yaenda mikononi mwa the so called upinzani (wanaharakati wa maendeleo)
  4. MTOKAJASHO

    Peter Selukamba wa Kigoma mjini asusia kusaini matokeo!

    Mgombea wa ubunge wa kigoma mjini haamini anachokiona kwenye matokeo na kugomea kusaini. mwaka huu mimi nasema mpaka kieleweke tu.
  5. MTOKAJASHO

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kigoma

    Kweli ule usemi sauti ya watu ni sauti ya Mungu unaanza kushika hatamu jinsi muda unavyo zidi kuyoyoma... Chadema yapeta Kasulu kiti cha ubunge.... ngojea nicheki yanayojiri Kibondo.
  6. MTOKAJASHO

    Elections 2010 Chadema yatetea jimbo la Karatu

    Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.
  7. MTOKAJASHO

    Elections 2010 Ni Mgombea yupi atapoteza maisha kabla ya Jumapili?

    Kwani sheikh yahaya alipokuwa anayasema haya alijua hali itakavyokuwa wewe hutaki kuuamini ni ndugu yangu Agustino. Huhitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kuliona hilo limetimia.
  8. MTOKAJASHO

    Elections 2010 Ni Mgombea yupi atapoteza maisha kabla ya Jumapili?

    Katika hali ya kusikitisha na kustaajabu umma wa Watanzania aliyotabiri sheikh Yahaya yanaelekea kutimia. Mnajimu huyu ambaye anafahamika na wengi Tanzania na Afrika kutokana na utabiri wake unahisiwa huwa unatimia na wengi. Hali ya Rais wa sasa wa Tanzania inazidi kudorora na wataalam wa...
Back
Top Bottom