Search results

  1. Nestory Westone

    Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo

    Moja kwa moja kwenye mada husika. Mwenye kiwanja kuanzia Ubungo hadi Mbezi Louis au kuanzia Mbezi Beach hadi Bunju B au kuanzia Mbezi Beach hadi Mbezi Louis kupitia Goba aweke taarifa hapa nitamcheki. Zingatia: (i) Kiwanja kisiwe umbali wa zaidi ya mita 200 kutoka barabara kuu ya lami. (ii)...
  2. Nestory Westone

    Tofauti ya hali ya hewa ya Dar es Salaam na Makete

    Habari wana Jamiiforums. Mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuna baridi wakati huo huo mkazi wa Makete anaona kawaida.
  3. Nestory Westone

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe na Msumi, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam

    Kwa wanaohitaji viwanja ndani ya Dar es Salaam karibu Mbezi Makabe na Msumi. 1.Mbezi Msumi eneo limekatwa viwanja kadhaa kwa ukubwa tofauti kama ifuatavyo: Mita 16*16 bei ni Tsh5,500,000/= Mita 20*20 bei ni Tsh8,500,000/= 2.Mbezi Makabe eneo limekatwa kwa vipimo tofauti kama ifuatavyo: Mita...
  4. Nestory Westone

    Phone4Sale Simu hizi zinauzwa bei nafuu njoo utoe pesa na kuendelea kutumia

    Kuna Itel tatu, moja ni smartphone ya laini mbili na mbili ni simu ndongo za laini tatu kila moja, pia kuna Tecno ina laini tatu. Simu ndogo bei ni Tsh15,000/= kila moja na Smartphone bei ni Tsh35,000/=. Bei haipungui ukiona hazikufai haina haja kuchafua tangazo. Simu zote zimetumika siku...
  5. Nestory Westone

    Nahitaji frame(fremu) kwa ajili ya kufungua biashara ya kuuza nafaka(duka la kawaida).

    (A)Kuhusu frame 1.Mji>Dar es Salaam(Priority ni Ubungo,Kinondoni na Ilala). 2.Eneo liwe limechangamka(watu wengi) 3.Pawe panafikika kwa urahisi(Barabara nzuri/Bitumen standard). 4.Bajeti yangu haivuki Tsh100,000(kodi) kwa mwezi ============================================================...
  6. Nestory Westone

    Kiwanja kinauzwa Ukonga Dar es Salaam.

    Sold
  7. Nestory Westone

    Kama una chumba cha kupanga maeneo yaliyo karibu na Muhimbili(MUHAS) pitia hapa.

    1.Chumba kiwe kizuri,huduma mhimu ziwepo. 2.Weka bei na mawasiliano au njoo PM kwa mazungumzo zaidi. 3.Hata kama ni Hostel za kukaa mtu mmoja kila chumba nitafute tujadili.
  8. Nestory Westone

    Wanaompinga Rais Magufuli kila analofanya au mawazo yake wanahitaji nini?

    Habari za muda huu wana Jamii. Mimi ni Mtanzania,raia wa kawaida ambae nimeweza kutambua kama sio kuona jitihada za Mheshimiwa Rais kwa kipindi alicho ongoza tangu alipo apishwa kuwa kiongozi wa JMT. Sioni haja ya kuorodhesha hapa mambo mazuri yaliyofanyika awamu ya tano,kwasababu kila mtu...
  9. Nestory Westone

    Msaada wa kuelimishwa juu ya utaratibu na mahitaji ya kusajili kampuni.

    Habari za muda huu wana jamii. Mimi ni mkazi wa Dar Es Salaam naomba kupewa elimu inayohusu kusajili kampuni.
  10. Nestory Westone

    Used Refrigerator,Flatscreen TV,Dressing table and Subwoofer for sale at Dar Es Salaam City.

    Sold 26/07/2017 ============================================================
Back
Top Bottom