Search results

  1. Nestory Westone

    Natafuta kiwanja Kibaha maili moja

    Ndio, karibu
  2. Nestory Westone

    Natafuta kiwanja Kibaha maili moja

    Mbezi Makabe/Msakuzi huhitaji?
  3. Nestory Westone

    Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo

    Low-minded. Kila mpango una masharti yake, huwezi masharti acha tangazo kama lilivyo. Mbona wewe unapost matangazo yako mimi nasoma na siandiki chochote kwasababu ya masharti yako.
  4. Nestory Westone

    Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo

    Wapi? Weka taarifa kamili.
  5. Nestory Westone

    Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo

    Moja kwa moja kwenye mada husika. Mwenye kiwanja kuanzia Ubungo hadi Mbezi Louis au kuanzia Mbezi Beach hadi Bunju B au kuanzia Mbezi Beach hadi Mbezi Louis kupitia Goba aweke taarifa hapa nitamcheki. Zingatia: (i) Kiwanja kisiwe umbali wa zaidi ya mita 200 kutoka barabara kuu ya lami. (ii)...
  6. Nestory Westone

    Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Mkuu kama unafanya kazi maeneo ya Ubungo nipe mawasiliano yako tutajadili kuhusu kiwanja maeneo ya Msumi na MpigiMagoe. Mimi kituo changu cha kazi ni karibu sana na Ubungo.
  7. Nestory Westone

    Tofauti ya hali ya hewa ya Dar es Salaam na Makete

    Habari wana Jamiiforums. Mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuna baridi wakati huo huo mkazi wa Makete anaona kawaida.
  8. Nestory Westone

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe na Msumi, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam

    Wateja karibuni kwenye biashara, kesho hadi Jumatatu muda upo wa kutosha.
  9. Nestory Westone

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe na Msumi, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam

    Bora nikuache tu naona napoteza muda wangu kwa mtu ambaye huwezi kuelewa, kazi yako ni kulaumu watu wengine.
  10. Nestory Westone

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe na Msumi, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam

    1.Sio lazima kununua kiwanja kidogo kwasababu vikubwa vipo. 2.Unaweza kuunganisha zaidi ya kimoja ukapata kiwanja kikubwa. 3.Sio watu wote wana pesa za kununua kiwanja kikubwa. 4.Mahali vilipo viwanja vidogo pametengwa kwahio ukinunua vikubwa hakuna uhusiano na vidogo. 5.Mawazo yako ni ya...
  11. Nestory Westone

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe na Msumi, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam

    Mteja mwenye uhitaji wa ukubwa zaidi ya uliopimwa anaweza kuunganisha viwanja viwili au vitatu au zaidi kulingana na mahitaji.
  12. Nestory Westone

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Makabe na Msumi, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam

    Kwa wanaohitaji viwanja ndani ya Dar es Salaam karibu Mbezi Makabe na Msumi. 1.Mbezi Msumi eneo limekatwa viwanja kadhaa kwa ukubwa tofauti kama ifuatavyo: Mita 16*16 bei ni Tsh5,500,000/= Mita 20*20 bei ni Tsh8,500,000/= 2.Mbezi Makabe eneo limekatwa kwa vipimo tofauti kama ifuatavyo: Mita...
  13. Nestory Westone

    Phone4Sale Simu hizi zinauzwa bei nafuu njoo utoe pesa na kuendelea kutumia

    Mkopo upo sana kwasababu simu hazina matumizi kwasasa, nicheki tu.
Back
Top Bottom