Search results

  1. MADAM T

    Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

    Sasa sijui itakuwaje kama mke mwenyewe ana hela!
  2. MADAM T

    Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    Umekaa kukomalia picha badala ya ukweli wa taarifa. Lione kwanza!
  3. MADAM T

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Wewe ulikuwa unamsikiliza ukiwa kama nan!? Hoja ya misukule iliingiaje!?
  4. MADAM T

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Kwa hiyo wewe huwa unamuangalia ukiwa kama nani!?
  5. MADAM T

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Tena mimi nikiwa naoga ndio huwa unanijia sana huu wimbo.
  6. MADAM T

    Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Yaani wewe itakuwa unaandika tokea Mars. Vinginevyo mbinguni huendi!
  7. MADAM T

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson ashinde Urais wa IPU

    Nikuelezee wewe!? Unaakili ya kutosha kunielewa kweli!?
  8. MADAM T

    Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Thibitisha! Au unafikiri kelele ndio kupambana!
  9. MADAM T

    Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Atamjulia wapi na Bashite alishaiba jina lake!
  10. MADAM T

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson ashinde Urais wa IPU

    Hata wewe una roho mbaya kwasababu hata wewe kuna watu huwa hupendi washinde!
  11. MADAM T

    Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

    Huyu huyu lialia wa vyeti au mwingine!?
Back
Top Bottom