Search results

  1. S

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Wadau tuache kujidanganya sisi wenyewe, kifupi Arusha Watu walikua nyomi. Inaonekana Dr. Magufuli anakubalika zaidi. Kinachomsaidia magufuli ama kinachombeba ni record yake ya utendaji uliotukuka ktk miaka 20 aliyokua serikalini.
  2. S

    Wanachama wa CCM wana roho ngumu sijapata kuona

    wiseboy Sorry kwa kusema hivi. Wewe maskini unajiita wiseboy...instead you are dull. Huwezi shangaa ati wana ccm wanavaa sare zao za chama kisha wahuni barabarani ama sokoni kariakoo wanazomea kisha iwe ni hoja kwa mwana ccm aogope kuvaa tena sare yake ya chama. Kama ninyi ukawa mnafikiri muko...
  3. S

    Tanzia: Capt. Chekingo wa ATCL afariki dunia

    R.I.P Check n go. he was good guy for sure!
  4. S

    Why Did Nyerere Support Biafra?

    Yeah mzee tenga you're very right, if we compare biafra (Nigeria) and Ogaden (Somalia) are almost the same, but Nyerere supported Biafra to be independent from mother land while kept a blind eye to Ogaden that's ridiculous! This is where the inconsistency of Mwl.Nyerere found on this matter, i...
  5. S

    JK anapotabasamu kwenye msiba wa Elvis Musiba!!!

    Tujaribu kuwa makini sana tunapotaka kujadili jambo, sisi hatujui nature ya mazungumzo yaliyokua yanaongelewa so we can't judge the him. kama unataka kushangaa zaidi si mngemjadili yule aliye nyuma ya mama salma ktk picha far left katinga suti nyeusi amekenua meno yoooote. Stop childish thinking...
  6. S

    Angalizo. Si lazima kuamini nyaraka hii, lakini si ya kupuuza hata kidogo

    Ndugu zangu huu ni uchakachuaji wa habari, hii barua km utaitazama kwa makini haina reference no, no rubber stamp ni ajabu tupu. Nikifikiri kwa haraka haraka labda chadema they jst want to save their face coz wameshindwa. si ajabu kushindwa wameonyesha upinzani mzuri sana no body expected at al...
  7. S

    Elections 2010 Hali ya baadaye ya dr. Slaa kisiasa.

    Hali ya baadae ya DK. Slaa ndio amepotea katika jukwaa la siasa ndugu yangu. inahitaji uwe na uwoni wa mbali ndio unaweza ku foresee.
Back
Top Bottom