Search results

  1. Iwilliam

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Airtel hawana vifurushi kama hivyo
  2. Iwilliam

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Hii ndio kawaida yao kama upo fine endelea ila mimi Tsh55 kwa 37GB hapana
  3. Iwilliam

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vodacom jichanganye na speed zao kama hapo US 1GB kwa dk 3
  4. Iwilliam

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Ni vizuri ukauliza kwa makini sana maana mitandao hapa Tz wakikwambia Unlimited wanamaanisha ku browse tu, ku download inkuwa limited either 50GB au 40GB nk
  5. Iwilliam

    For JamiiForums Mobile users

    (Color=red)nyekundu(/color)
  6. Iwilliam

    WHATSAPP FACEBOOK NA INSTAGRAM hazifanyi kazi kwa upande wa picha video na audio

    Hii ni dunia nzima Facebook Instagram na WhatsApp
  7. Iwilliam

    Hatimae Juma Jux ashusha ndinga nyeupe

    Ndio maana yake yupo pembeni hapo
  8. Iwilliam

    Hatimae Juma Jux ashusha ndinga nyeupe

    Hii itakuwa nyimbo bwana
  9. Iwilliam

    What's App

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1602688/
  10. Iwilliam

    WHATSAPP FACEBOOK NA INSTAGRAM hazifanyi kazi kwa upande wa picha video na audio

    Shida kubwa ni hizi app hazitambui images videos na audio na hii ni 100% security issue sijui kama ni *haking* au *update za security*
  11. Iwilliam

    Njombe, Kilimanjaro, na Dar Vinara kwa kiwango kidogo cha umaskini

    Hizi takwim umezitoa wapi na kwanini uguja na pemba hazipo?
  12. Iwilliam

    USA vs N.Korea Military Power

    Angalia hii ndio utajua Tanzania hatupo hata 20 bora kwenye nguvu za kijeshi na tunaweza kutekwa na kutawaliwa na wa Africa wenzetu maana maswala ya kijeshi sio kujisifu tu Top 20 Most Powerful Militaries In Africa 2016
  13. Iwilliam

    USA vs N.Korea Military Power

    wewe jidanganye tu kununua kivuko shida meli za kawaida huna ya kijeshi hufikirii vifaru vyenyewe vya 80's wanajeshi wapo vizuri kiasi leo karne ya 21 ukapigane na usa wakati Tanzania haipo 20 bora kwa vifaa vya kijeshi Africa, ndio we are not in top 20 in Africa based on military weapon
  14. Iwilliam

    Serikali yalaani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF)

    sijui tunaelekea wapi maana matukio makubwa tena kwa silaa halafu hamna hatua kali zinachukuliwa juu yao tunapo elekea ?
  15. Iwilliam

    Series (Special thread)

    Agent x imesitishwa? niliihisi tu maana series nzuri zote zina kuwa na vitabu vyake harry potter, the Vampire diaries nk
  16. Iwilliam

    Series (Special thread)

    Hizo ndiyo series nilizifuatilia na ninazofatilia the Vampire diaries /imeisha the walking dead s7 the original s3 last ship s3 Arrow s5 24 /imeisha under the doom prison break /imeisha the fash s3 scorpion s3
  17. Iwilliam

    Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

    Hivi kwanini hii nchi mambo muhimu mpaka migomo, kwanini kila mtu asisimame kwa nafasi yake, kwanini mashirika yasi fanye maamuzi sahihi bila kushinikizwa?
Back
Top Bottom