Search results

  1. HELA

    Muwekezaji/mshirika anahitajika

    Salamu wakuu, Muwekezaji au mshirika anahitajika kwenye biashara ya televisheni mtandaoni kwenye jukwaa la YouTube. Kituo kipo tayari chenye watazamaji zaidi ya laki moja na nusu waliojiandikisha. Kinachohitajika 1. Uzalishaji wa maudhui -Vifaa na nguvu kazi 2. Leseni ya Mamlaka ya mawasiliano...
  2. HELA

    Proved: Diamond Platnumz alipia Matangazo Youtube

    Leo kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa video wa Youtube nimeshuhudia tangazo la wimbo wa 'Zilipendwa' ambao umeimbwa na wasanii kutoka 'lebo' ya WCB wakiongozwa na msanii wa kimatatifa, Diamond Platnumz. Wimbo wa huo unajitokeza mwanzo unapofungua video kwenye mtandao huo kama tangazo ambalo...
  3. HELA

    Chakula Bora cha Mifugo yako Kinapatikana Hapa

    Tunauza Chakula cha mifugo (kuku,nguruwe,ng'ombe) chenye virutubisho mara tatu ya chakula cha kawaida na bei yake ni nafuu zaidi Kwawanaohitaji au maelezo zaidi Wasiliana nasi kuputia namba hizi Karibuni sana.
  4. HELA

    Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

    FBI wafungua uchunguzi juu ya email zake kuhusishwa na uchunguzi wa kesi ya maswala ya mapenzi ya Anthony Wiener ambae alikuwa ni mtu wa karibu wa Hillary kipindi akiwa secretary of the state pamoja na harakati zake za kuwanaia urasi wa marekani. Hatua hii imeongeza nguvu kwenye madai Trump...
  5. HELA

    Diamond Ampa Heshima Hii Alikiba

    Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records. Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za...
  6. HELA

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandikisha kupiga kura Kigoma Mjini

    Kiongozi Mkuu wa ACT, Zitto Kabwe akijiandikisha kwenye fomu maalumu ili aweze kuingizwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura katika Kituo cha Ottu, Mwanga mjini Kigoma. Picha na Anthony Kayanda-Cloudsfm on instagram Nadhani hili ni pigo jingine kwa sisiemu..
  7. HELA

    Picha hii ya JK na Kinana imenifanya nijiulize maswali mengi sana

    Wakuu mwenye kujua historia ya watu hawa hebu mtusaidie kujua hapa walikuwa wapi na ilikuwa lini. nani hapo anaonekana kuwa na cheo cha juu zaidi
Back
Top Bottom