Search results

  1. The dream

    Jinsi ya kufanya Memory card kuwa Internal Storage

    Kheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu. Baadhi ya simu za Android zimekuwa zikija na Internal Memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (Memory Card) ili kuweza kuongeza space lakini kumekuwa na utofauti wa Internal Memory na SD card Memory. Nikihitaji kuifanya memory labda yenye GB...
  2. The dream

    Msaada:Jinsi ya kuipata hii Boda Boda

    Habari za mida hii wana jamvi?? Nahitahitaji msaada wa haraka wa kimawazo juu ya jambo hili!! Mdogo wangu wa kike anasoma chuo cha Sokoine (SUA) -Morogoro na jana mida ya saa 1 jioni wakati anatoka kwenye vipindi pale pale chuoni akiwa anatembea na mabinti wenzie ghafla ilipita boda boda na...
  3. The dream

    Gbwhatsapp LatesT VersioN

    GBwhatsapp 5.70 V Racaty.com - Upload & Store Files Securely Racaty.com - Upload & Store Files Securely Racaty.com - Upload & Store Files Securely GBWA v5.70-2.17.146 @atnfas_hoak.apk GBWA v5.70-2.17.146 @atnfas_hoak.apk
  4. The dream

    Apk ya Dream League soccer 2017

    Habari wanajamvi na wapenzi wa games Mzigo wa DLS 2017 ushatoka kitambo,naomba msaada wa link yake ambayo ipo cracked tayari ili kupata unlimited coins.
  5. The dream

    Nyimbo za X-Mass

    Habari wana jamvi Ifikapo tarehe 25 ya mwezi huu wa Dec sehemu nyingi Duniani tutakua tunasheherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa YESU kristo kwa wale wa madhehebu ya kikiristo. Siku hii hujulikana maarufu kama KRISIMASI(Christmass day) Kuelekea siku hii hua kunakua na nyimbo maalumu kwa ajili ya...
  6. The dream

    Urafiki wa TCU na chuo cha St. Joseph

    Chuo cha st. Joseph (hasa kampasi za Songea na Arusha) kimekua kikikabiliwa na tatizo la migomo ya wanafunzi kwa muda mrefu sana, na baadhi ya madai ya wanafunzi ni haya; •Chuo kutokua na mazingira ya chuo kikuu •Chuo kutokua na walimu/lecturers wenye hadhi ya chuo(unqalified lecturers) •Chuo...
  7. The dream

    Jinsi ya kujiunga JKT-Wanafunzi waliomaliza form six

    Habari wakuu Naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa wanafunzi waliomaliza/wanaomaliza/watakaomaliza form six mwaka huu 2015
Back
Top Bottom