Search results

  1. Granton

    Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?

    Media za nje hazimdhalilishi huyu Mtukufu. Kauli zake ndizo zinamdhalilisha. Nadhani ungeshauri wasaidizi wa mtukufu wamshauri na kujielekeza katika kuboresha yale anayoongea mbele y'all media.
  2. Granton

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    Nakupongeza sana kwa Maneno mazuri, Umenena kweli mkuu, ila tatizo la hicho chama cha magamba si wasikivu. Usishangae haya wakaja kuona ukweli wake baada ya miaka kumi...
  3. Granton

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Maslahi ya taifa kwanza. Ushindi ni muhimu lakini si kwa kuimasikinisha nchi kwa kumuunga mkono spika asiyefaa.
Back
Top Bottom