Search results

  1. G

    Ukiona mwanasiasa anakupa siku 14,90,au miezi 6 ujue ni VITISHO TU

    Mara nyingi nimezoea kusikia nakupa siku3,14 nk ...kama kitisho kwa muhusika akiri kosa au aombe msamaha Kwa hiyo basi tusishange siku14 za ZZK kuwajibika,siku90 za Mangula kuwafukuza mafisadi na wala rushwa,hata katiba mashakani... Lazima uwe mwanasiasa kuahidi vitu ambavyo havitekelezeki ...
  2. G

    Mh.Zitto abaki CHADEMA lakini Mbowe na Lissu wafukuzwe CHADEMA ili demokrasia ifanye kazi

    Napenda kuwasilisha maoni kwa wapenzi na wanachama halisi wa CHADEMA kuhakikisha MBOWE na LISSU wanatimuliwa mara moja ndani ya CHADEMA ili kuondoa u-dictator ndani ya chama.Yakifanyika hayo basi chama kitapona laana ya ubaguzi na ukabila.....hapo hata wana CCM wataendelea kuwapigia kura wabunge...
  3. G

    WAASI wa M23 waliokimbilia UGANDA wajisalimishe TANZANIA ilikuhakikisha hawatarudi TENA !!

    Kwanza kabisa napenda kuwapongenza wanajeshi wa CONGO kwa kazi nzuri chini ya kikosi maalum cha SADEC.... Rai yangu,hao akina Col.Sultani Makenge wajisalimishe TANZANIA ili kuhakikisha hakuna janja ya NYANI ya kurudi msituni. RWANDA na UGANDA haziwezi kuwabana hawa waasi,wanaweza rudi tena na...
  4. G

    CHADEMA ni kivuli cha mafisadi,wakihamia huko ndipo mtajua

    Wait ! Time will tell ! Wanaona kiza kinene ndani ya CCM,bado mauzauza kama watatoswa au lah ! Wakitoswa wanapanga kuhamia CDM ambako wameshapeleka mapandikiza toka muda RAIS ajaye ni JIBU la matatizo ya WATANZANIA ! Mh.RAIS kafungua milango ya haki itendeke bila kuoneana haya,ndiyo maana...
  5. G

    Dr.Mwakyembe hachafuliwi kwa Propaganda za kambi ya mafisadi

    Dr.Mwakyembe ni matunda ya Watanzania wote waliomba apone aje aokoe TANZANIA....Mateso aliyopata yalikuwa ni kwa upendo na uzalendo wake kuvuruga wahuni na mafisadi. Leo anasimama tena kuiokoa TANZANIA ktk JANGA la MADAWA ya KULEVYA....hakika mafisadi watakoma,maana anaziba kote kote ! Hii ni...
  6. G

    Wizara ya Mambo ya Ndani imemshinda Nchimbi, apewe Sitta!

    Naona umuhimu wa Mh.Sitta kupelekwa wizara ya mambo ya ndani,Nchimbi apelekwe Afrika Mashariki. Hizi baadhi ya sababu za msingi; - Mh.Sitta atamudu kurejesha nidhamu ndani ya jeshi la polisi,uhalifu utapungua kwa kiwango kikubwa. - Atashiriki kikamilifu kutokomeza mtandao wa madawa ya kulevya...
  7. G

    Ipo siku tutawaelewa akina Dr. Mwakyembe, Sitta, Sumaye, Nape, Membe, Prof. Mwandosya, Prof. Muhongo

    Naona kuna giza na ukungu machoni mwa Watanzania,tunapenda unafiki na ushabiki wa vyama bila kujali maslahi ya nchi. Mathalani, tunawadharau wanapambana na ufisadi kwa vitendo lakini tunawashangilia waropokaji kwenye maandamano ambao dhamira yao ni kutafuta umaarufu tu. Wanashusha hadhi ya...
  8. G

    Tanzania bila wahisani inawezekana...tukubali kulipa tsh.1000 kwenye simu ili umeme usambazwe vijiji

    Ni vema serikali ikasimamia maamuzi yake bila kuyumbishwa na wanasiasa,maendeleo ya taifa letu yasitemee misaada....kuongeza kasi ya usambasaji wa umeme vijijini ni jambo zuri ambalo kila mwananchi lazima ashiriki kwa kuchangia kupitia tozo la SIMU kwa mwezi(Tsh.1000/-). Tukumbuke jinsi misitu...
  9. G

    Open letter to my president Kikwete: Madawa ya kulevya ni janga la taifa

    Mh.RAIS,naomba usome waraka huu kwa makini na uchukue hatua mara moja. Nakumbushia report ya mtandao wa wafanyabiashara ya MADAWA ya KULEVYA aliyokupa marehemu Amina Chifupa ambayo umekaa kimya bila kuishughulikia. Taifa linayumba, aibu inatukumba vijana kwa kufa ovyo na kunyongwa...
  10. G

    Dr.SLAA kujiunga na BIG FOUR ANTI-CORRUPTION ya Mh.SITTA?

    Niwakati mwaafaka kwa Dr.Slaa kuomba urafiki katika timu makini ya CCM yenye uhakika wa kushinda kiti cha urais hapo 2015,atapata japo wizara nyeti serikalini ili kuongeza mapambano ya ufisadi..... My take:CCM inasambaratika na kuundwa upya baada ya makundi kufa.....pia kunauwezekano wa...
  11. G

    Tatizo la maji jijini Dar litaondolewa na wananchi wenyewe

    Kutoka na kukithiri kwa hujuma ktk miundombinu ya maji,tatizo la MAJI litaisha pale tu wananchi wa DSM kushirikiana na serikali ktk kulinda mifumo ya maji. MAJI ni haki ya kila mwananchi kupata kwa gharama nafuu,lakini tumewaruhusu wanaohujumu mifumo ya maji waendelee kutunyonya kwa kutuuzi maji...
  12. G

    Haiwezekani wanafunzi wafaulu kwa 100%

    Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR,kama kuna vijana wamepata division one,two,three & Four na hao wa Zeros ni haki yao pia. Kuna watu wanapenda kuleta siasa kwenye masuala ya elimu,wazazi wanawajibika moja kwa moja kwa malezi duni ya watoto wao hasa hawa mabinti wanaoshinda guest na...
  13. G

    Kwa nini shule zinazosimamiwa na DINI zinatoza ADA kubwa?

    Naombeni tujadili hii maada ili tutoe mapendekezo kwenye JUMUIYA za KIDINI na SERIKALI namna yakuokoa ELIMU ya WATANZANIA wote. Ni kweli ubora unazingatiwa lakini imefika mahali TUJIMULIKE na KIOO uhalali wa kulipa ADA kubwa katika shule hizi ambazo zingekuwa mfano kwa SHULE BINAFSI...
  14. G

    Ndg.Mangula ,kaza buti hii ni penati ya mwisho kwa CCM ya Ushindi !

    WanaCCM tupo pamoja ktk mapambano ya UFISADI na Mapandikizi yao ya Vyama Vya Upinzani kama CDM nk.usihofu kelele za Dr.Slaa anayepiga mayowe unaponoa kisu cha kuangamiza mtandao wa Mafisadi ndani ya CCM na Serikali kwa ujumla....wanajaribu kukuchokoza ili wajue kama ni kweli ama unatishia tu...
  15. G

    Ukitaka kujua CHADEMA inamuogopa Mr.NAPE NAUYE na MWIGULU NCHEMBA soma HAPA !

    Kila siku wapembe wa CHADOMO wanamkejeli ndg.NAPE Nauye kwa kazi yake nzuri ndani ya CHAMA kana kwamba anapokemea ufisadi ndani ya vyama vyote kwa sera za UZALENDO KWANZA basi wakereketwa wa CHADEMA wanatetemeka na kumshambulia kila kona,je CHADEMA sera yake ni ipi?..au ndio kuvaa gwanda...
  16. G

    Secretariat kuu ya CCM chukueni hatua sasa...!

    Napenda kutoa rai yangu kwa SECRETARIAT KUU ya CCM ichukue hatua juu ya maazimio ya kujivua gamba yaliyoafikiwa mwezi wa sita! Nyinyi ni watendaji wakuu ndani ya chama ambao mnatakiwa muwe wabunifu katika kuendesha chama, acheni kupambana na CHADEMA,tafuteni sera nzuri zinazoweza kutekelezwa...
  17. G

    CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

    Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA; Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati...
  18. G

    Sabodo unatakiwa kumuiga Dr Mengi ili upewe sifa sahihi !!!!

    Pongezi za dhati kwa Dr.MENGI kwa kujikita katika kusaidia jamii bila ubaguzi wa kidini,kisiasa,kikabila na kikanda ndiyo maana leo hii unatambuliwa na asasi mbalmbali za kimataifa na kupewa tunzo stahiki kwa mchango wako. Napenda ndugu SABODO aige mfano huo kama kweli anamapenzi ya dhati...
  19. G

    Habari njema kwa mkoa wa Njombe na wana CCM wote !!!!!

    Nifuraha ya kipekee kuona Mkoa Mpya wa NJOMBE ni unapaa katika medali za kisiasa na kiuchumi baada yakuwa na WABUNGE MAKINI kutoka CCM wenye taaluma na uzoefu uliotukuka katika kuhamasisha maendeleo.Ukizingatia tuna MKUU wa MKOA mchapakazi asiyependa porojo hakika NJOMBE itapaa sana katika...
  20. G

    Waraka kwa wabunge wote-- sasa ni wakati wa kung'ata siyo kubweka

    Waraka kwa wabunge wote-- sasa ni wakati wa kung'ata siyo kubweka Salute kwa Wabunge wote ! Naomba niwakumbushe wabunge la JMT kuwa sasa ni wakati wa kung'ata na siyo kubweka kama mbwa koko,kwani baadhi ya mawaziri ni viziwi kwa kelele mnazopiga hapo mjengoni,wanamtandao wa kufanya umafia kwa...
Back
Top Bottom