Search results

  1. NATA

    Rais Magufuli na Balozi wa Ujerumani, wapanga kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Lindi

    HIVI NA KAMPUNI YETU YA MBOLEA BADO IPO?
  2. NATA

    Ngabu Chronicles: Part I

    Part II inatoka lini?
  3. NATA

    Ngabu Chronicles: Part I

    Nyaniii!
  4. NATA

    Hoja na fikra za Dr. Ulimboka bado ziko wazi, Rais ni shuhuda

    Yupo wapi DR? Hata kuwa yule yule kile kipigo kilikuwa hatariiii!
  5. NATA

    Lowassa ahoji maswali matatu kwa Magufuli

    . Raia inabidi tuhoji ahadi tulizo ahidia na hii tutaisaidia sana serikali kutekeleza.
  6. NATA

    Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    GENDER BALANCE HAIJZINGAWA KTK LIST YAKO The Boss
  7. NATA

    Hesabu hazidanganyi: UKAWA wabunge 22% halafu eti wameibiwa kura za URAIS inakuja kweli?

    Ndio palepale tunapoona zoezi Zima ni la mazingaombwe kata kibao zichague ukawa mbunge ccm. Hesabu za TZ SIZENYEWE!
  8. NATA

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Wamepolwa nguvu ya kikatio
  9. NATA

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Mh inaonyesha ni kiasi gani wamechakachua sasa wanajaribu kufuta maushahidi. Shame!
  10. NATA

    Matokeo ya Jimbo la Bumbuli yana Utata

    inaskitisha sana pale ambapo watu wanasumbulia kwenda kupiga kura halafu wanaona madudu kama haya
  11. NATA

    Tetesi: Viongozi UKAWA kukutana na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja

    amepata umaarufu zaidi ukawa baada ya kuknusha richmond!
  12. NATA

    Kafulila aliangusha serikali #ESCROW ufisadi, Lembeli #TOKOMEZA. Yamewakuta! Hawa ndio watanzania!

    Kafulila apewe kiti maalum bungeni jamani. Itakuwa na tija!
  13. NATA

    Zitto: Kufuta matokeo Zanzibar ni chanzo cha vurugu nchini

    Hawana uchungu na resources za nchi. Huu ni ubinafsi mkubwa. Uchaguzi ni gharama sana!
  14. NATA

    Lowassa, mwanasiasa laghai anayetaka kwenda Ikulu kijanja ujanja

    Wangesoma matokeo kama yalivyo patikana vituoni ingesaidia kujua nani anataka ikulu kiujanja!
  15. NATA

    Kagasheki achukua ambulance yake baada ya kushindwa uchaguzi

    Shame !unampaje mtu kitu halafu unachukua tena. Sasa wasitupe tena hivyo vimsaada njaa vyao. Yaani hata wakiwa wabaya wachaguliwe tu kwa sababau ya virushwa!
  16. NATA

    Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Sasa kwanini watusumbue kumbe walisha mpitisha mapema? So bad! Na huku nikuwachezea wananchi na kuchezea resource za nchi!
  17. NATA

    Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

    kwa ku tally tu? Hata ukifanya tihani nahesabu marks zako na kurdi kwa mwal kama amekupunja. Hebu vaa viatu vyao!
  18. NATA

    Wazazi: Tuwe makini na shule za kulala watoto wa kiume pekee, yamemkuta mzazi mwenzenu

    Huko boarding kuna mambo sana, watoto wengi wameharibiwa. Patron analala kule vijana wanafanya mambo yao. So kumpeleka mtoto mdogo bording tusipende sana . Awe wa kike au wakiume . Wazazi wengi siku hizi wako busy na kutafuta pesa malezi ya watoto wao wamewaachia walimu na walezi wa shule na...
  19. NATA

    Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

    So sad vijana wamebambikiwa kosa!
Back
Top Bottom