Search results

  1. ibradebo

    Jinsi ya kutambumbua Samsung note 9 original

    Nataka ninunue Samsung note 9 Ila sijui namna ya kutambua original Na fake specs 8gb ram 512gb rom Na bei 380,000 inapouzwa ( marketplace) Facebook naombeni nisije ingia choo cha kike wakuu
  2. ibradebo

    Simu ya huawei p8 lite inakula sana bando

    Mwenye kufahamu jinsi ya kuzuia simu isile sana bando naingia na kuperuzi jamii lakini bando linaenda na hasa hii app jamiiforum inakula sana bando hadi naogopa kuweka bando
  3. ibradebo

    Nataka nisafiri leo usiku kutoka Dar kwenda Mbeya. Napata wapi magari?

    Nimepata dharula nataka nisafiri kutokea Dar kwenda Mbeya ila usiku, naweza kupata magari gani huo muda?
  4. ibradebo

    Kutopokea notification ya email baada ya kutuma maombi ya kazi ya sensa

    Nilipata changamoto kutopata email ambayo ina password yakuingia kwenye mfumo ili upakue fomu ya maombi ya kazi sensa. Hii ilitokea baadaya kukamikisha zoezi zima la ujazaji wa taarifa kufanikiwa kutuma lakini cha ajabu sikupa message yoyote iliyotuma kwenye email meseji zingine zinaingia ila...
  5. ibradebo

    Natafuta dvd player ya sony home theater system

    Natafuta dvd player yasony home theater system dz 350 1000w 5.1
  6. ibradebo

    Natafuta deki ya Sony DVD Home theatre 1000w

    Natafuta deki tajwa hapo yeyote ambaye anayo tuwasiliane tufanye biashara,
  7. ibradebo

    Nauza Mkaa

    Kwa yeyote anayehitaji mkaa kwa siku naweza kumuuzia gunia mbili ila awepo dar, bei 60,000 tu Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
  8. ibradebo

    Ni kweli hizi laptops zinauzwa kwa bei rahisi kiasi hiki?

    Hivi huyu jamaa ni kweli anauza hizi laptops zenye sifa za juu kwa bei hii! Au ni tapeli mwenye ushuhuda aliyenunua kwa bei hizo atuambue kama kweli. Tena fully boxed! Maana hii ni bei rahisi sana kwa sifa za laptops anazotuma kupatana labda kama pesa imepanda thamani kwa kasi hivi karibu...
  9. ibradebo

    Nitumie njia kucrack adobe acrobat reader

    Nilitumia adobe acrobat reader kwa muda siku walizonipa baada ya installation, sasa siwezi kuitumia tena kwakuwa muda wake umeisha, je kuna namna yeyote naweza kutumia ili niactivate niweze kutumia?
  10. ibradebo

    Vifaa vya ufundi simu vinaitajika

    Natarajia kufungua ofisi hivi karibuni Kwa yoyote anayeuza vifaa vya ufundi simu nanunua bei ni maelewano
  11. ibradebo

    Tozo ya kodi posta Tanzania unapoagiza bidhaa kutoka Aliexpress China

    Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza. Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu! Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
  12. ibradebo

    Naomba kujuzwa bei ya Projector aina sony 3LCD

    Habari za asubuhi wanajamii forum wenzangu, nina swali nataka niulize nina projector aina ya sony 3LCD nataka niuze ila sijajua thamani yake. Kama kuna yeyote anayejua bei za projector aniambie ili nikadirie bei ya kuuza, ni kama mpya imetumika vizuri haina mikwaruzo Sent using Jamii Forums...
  13. ibradebo

    Nauza volcano box not activated

    Nauza volcano box kwa ajili ya kuflashia simu not activated full boxed pamoja na cable zake zote bei 100k, kwa mawasiliano 0738253942, 0719152715 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ibradebo

    Natafuta Huawei Ascend Mate7 ya kununua

    Natafuta Huawei Ascend Mate 7 ambayo haiwaki ( mbovu) naitaka kama spare. Ya housing yake imechoka kwa mawasiliano 0738253942, 0719152715
  15. ibradebo

    Laptop 250 g4 inauzwa kama spare parts

    Nauza laptop aina ya 250 g4 kama kama spare parts haiwaki, ikiwa na vitu vifuatavyo vizima display, keyboard, ram 2gb, malango dvd rw, na body yake ikiwa katika hali nzuri bei kwa mawasiliano piga 0719152715, pia kuna battery ya laptop elite book nimeshindwa kuweka picha iko mbali na mimi kwa...
  16. ibradebo

    Watch dog 2 na FIFA 18 zinashindwa kucheza kwenye pc yangu

    Nimeinstal FIFA 18 inacheza kwa kunasanasa pia vichwa vichwa vya wachezaj havionekani, na watch dog 2 yenyewe inaleta msg 'unable to locate uplay pc, please reinstal uplay pc tafadhari msaada nimekwama nashindwa pa kuanzia, pc yangu specs hp envy i5, x360 4th gen,ram 8,windows 10,1000gb kwako mkwawa
  17. ibradebo

    Samsung flat screen HDTV led series 4 kushindwa kusoma external hdd

    Inashindwa kusoma external HDD umeme unaofika kwenye external HDD ni Mdogo ambao unashindwa kufungua external HDD inawasha taa na kuzima nahisi kama umeme unaofika kwenye external HDD ni mdogo. Je nawezaje kutatua hili tatizo?
  18. ibradebo

    Samsung flat screen led HDTV 32 4 series inashindwa inashindwa kufungua external HDD

    Habari za jioni, nimenunulia tangu ina miezi 1 tangu ninunua tatizo inashindwa kusoma external hdd, tatizo nini yeyote anayehamu nawasilisha
Back
Top Bottom