Search results

  1. Mnabuduhe

    Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

    Hongera sana Kiongozi kwa mada njema sana! Kwa Utangulizi ni muhimu kuyachunguza maandiko kwa umakini na kuuliza kama jinsi ambavyo wewe unafanya - Mtume Paulo Aliwasifia sana WABELOYA ambao hawakuridhika tu na kumsikia Paulo akihubiri na kufundisha bali waliyachunguza maandiko kwa Umakini...
  2. Mnabuduhe

    Uhuru wa Habari: Tuwakumbuke Mashujaa wa Habari waliopo na waliotangulia. Unawakumbuka kwa lipi?

    Aliyekuwa anaongoza kipindi cha KITIMOTO enzi hizo ITV. - Paschal Mayalla. Munga Tehenani na Wengine wengi - Mungu awabariki kwa kazi zao njema waliopo na waliotangulia mbele za haki. Uandishi wa Habari ni Taaluma iheshimiwe. Uandishi wa Habari ni Wito - Walionao Waitike Uandishi wa Habari ni...
  3. Mnabuduhe

    Leo nimetembelewa na TBC ili tufanye kipindi kuhusu Mzee Abeid Amani Karume

    Mzee Mohamed Said Heri ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mohamed Said ni Mjasiri na Msomi mzuri sana hasa katika Historia ya Tanganyika hilo halina mjadala. Nilipata kusoma Review ya Kitabu chake Cha Uamuzi wa Busara wa Tabora kwenye gazeti moja la nchini Kenya! Nikashangaa sana! Mbona...
  4. Mnabuduhe

    Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

    Habari za Jumapili wapendwa wangu ambao kwa uaminifu kabisa hamkupita bila kusema neno juu ya Mada niliyotuma hapa hivi karibuni.(Msaada-wa-jinsi-ya-kusamehe-na-kuachilia.) MREJESHO: Michango yenu imenipa maana sana ya Maisha : I hope now hakuna Mpumbavu ambaye atakatiza mbele yangu na fake...
  5. Mnabuduhe

    Je, wajua? Marekani waliwahi kupiga marufuku pombe

    David Nasaw Biographer wa Joseph Kennedy anadai alijaribu kutafuta vyanzo nyeti kuhusu hili lakini aligundua ni stori tu na umbea wa Wamarekani na kwamba Mzee Joseph Kennedy hakutajirika kwa sababu ya biashara ya pombe, ingawaje hili lilivuma sana marekani kuwa chanzo cha Utajiri wake ni...
  6. Mnabuduhe

    Je, wajua? Marekani waliwahi kupiga marufuku pombe

    BOOTLEG! Pombe ikawa bidhaa adimu! Bidhaa bora na ndio chanzo cha Wahalifu Wakubwa waliounda Familia 5 hatari za Uhalifu wa Kimafia (Mafia Crime Syndicates) kama Kina Charles Lucky Luciano,Al Capone,Babyface,Vincent Gigante na nk.
  7. Mnabuduhe

    Kulikuwa na uhalali gani kwa Chief Mkwawa kutambulika kama 'Shujaa?

    Infantry Soldier! Salute mkuu. Naomba nami pia nichangiepo tafadhali. MKWAWA MKWAVINYIKA BIN MUNYIGUMBA! SHUJAA AU MUOGA? Ushujaa haumaniishi kuwa Utaishi au Utakufa! Shujaa ni Matendo au Hiba ya Mtu aliyefanya jambo la Ujasiri na Uzalendo kwa Watu wake au Asili yake kwa gharama ambayo...
  8. Mnabuduhe

    Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

    Pole sana Jeeper Screeper! Mapenzi hayalazimishwi,mpe muda wa kufanya upumbavu wake(Penzi Jipya ),baadae atarudi normal kama ni wakurudi! Umemgharamia mambo mengi usiyahesabu,fanya kama ulimsaidia mpita njia. Jipe moyo mkuu - badilisha focus! Fanya Maombi,lipe muda jambo hili,Hebu concentrate...
  9. Mnabuduhe

    Kifo cha kweli cha Adolph Hitler: Hebu tuachane kwanza na ile ya kujiua kwa tindikali au kukimbilia kwake Argentina

    Hongera sana DA' VINCI XV kwa kufanya utafiti kuhusu taarifa za huyu Mwendawazimu wa karne ya Ishirini Adolf Hitler. Kutokana na taarifa hizi za karibuni hii inathibitisha utafiti wa Prof. Hugh Trevor Roper Mwanahistoria aliyezuru Ujerumani mapema baada ya vita vya pili vya dunia na...
  10. Mnabuduhe

    Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Hello Sir Ngabu! Sijasoma comments zote za wadau lakini kwa chache nilizopitia ninachokiona hapa ni Ushabiki usio na mantiki unaoletwa na wadau wanaompenda na kumwamini sana Tundu Lisu,Ukweli unabaki palepale Umejenga hoja nzuri sana kuhusu Mahojiano ya Shaka Ssali na Tundu Lisu. Nilichokiona...
  11. Mnabuduhe

    Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    The Best of Song I ever liked! Asante sana The Monk ,Ume - cement vema.
  12. Mnabuduhe

    Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  13. Mnabuduhe

    Mwandishi wa habari Johnson Mbwambo yuko wapi?

    Johnson Mbwambo - Mwandishi Mzuri sana na Alivuma sana na Msemo wake wa kumnukuu Pastor Martin Niemoller First they came for the socialists, and I did not speak out— Because I was not a socialist. Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— Because I was not a...
  14. Mnabuduhe

    KUMBUKIZI: Mada maalum ya kumuenzi Munga Tehnan na kazi zake

    Good Sana! Sir Mshana Jr. Munga Tehenan,Namkumbuka huyu Gwiji wa Habari,niliwahi msoma kwenye gazeti la RAI Nguvu ya Hoja. Makala zake zilikuwa za kipekee sana. Lakini nilikuja kununua kitabu chake ambacho nilijufunza kitu cha pekee sana! ambacho waandishi wengi hawafanyii kazi! Kuthibitisha...
  15. Mnabuduhe

    Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting

    Maana yako ni kuwa unapenda kusomea mambo ya habari na mawasiliano ya umma! vema. Kwa ngazi ya cheti vyuo viko vingi - lakini ni bora ukatafuta vyuo vyenye ithibati ili uweze kuendelea zaidi na masomo ya ngazi zingine utakapo hitaji. JARIBU VYUO VIFUATAVYO: SAUT/AMUCTA - Walikuwa wanatoa Cheti...
  16. Mnabuduhe

    Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

    AMEN! Kwa Yesu mbona nipo tangu zamani!.
  17. Mnabuduhe

    Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

    Nimeliona Kosa langu Kiongozi Asante sana.
  18. Mnabuduhe

    Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

    Ubarikiwe Kiongozi! Nafanyia kazi haya uliyoyasema immediately.
Back
Top Bottom