Search results

  1. D

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    kwa kijana uliechangia hapa ikishaanzishwa hiyo mahakama then what? unahisi kunaulazima wakushinikizwa kwenda kuandamana? je ikiwa chini ya dola wewe inakusaidia nini? ANGAZA NJIA PANGA SAFARI ZAKO KATAFUTE MKATE WAKO WA KILASIKU. Nawasilisha
  2. D

    WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

    Watanzania mnawindwa kuweni makini
  3. D

    Frame za miwani bomba za macho zinauzwa ujumla na rejareja- from france

    WAKUU heri ya sikukuu ya eid natumaini mmeshiba vya kutosha. HAPA NAWALETEA MALI MPYA TENA YA FRAME ZA MIWANI UNAWEZA KWENDA KUJIONEA TENA. BEI NI ILEILE ASANTENI
  4. D

    Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

    Umefika wakati kwa wa africa kujua kuwa tunatumiwa. Kwahiyo kwasasa tusonge mbele nchi zote zenye mapenzi mema na africa zikatae wito wowote wa hao jamaa wezi wa rasilimali zetu. Nimeipenda hii ya zuma kwa upande wangu huu ni mwanzo tu na anahaki yakukataa wito baada ya kufumbuka macho sasa...
  5. D

    Frame za miwani bomba za macho zinauzwa ujumla na rejareja- from france

    kivipi mkuu, biashara haiko kienyeji cha muhimu nikukidhi mahitaji ya wahitaji. usisite kuwasiliana namimi moja kwa moja kwenye email yangu hapo juu
  6. D

    Frame za miwani bomba za macho zinauzwa ujumla na rejareja- from france

    Jamani zimebaki siku 6 kwa mauzo ya frame za miwani hizi kwa bei iliyotajwa hapo juu kwahiyo fanya juu chini kuwai kama unahitaji. Ilikuwa tumepewa muda wa siku 61 au miezi miwili
  7. D

    China kugeuka adui namba moja wa Marekani?

    mmarekani kafilisika, anaishi na madeni ya mchina tu. hapa uchina atakopa mpaka ashangae pesa china haiishi wakubwa hapa kila sekunde pesa inaingia. namchina hana miaka miwili anakuwa wakwanza duniani kiuchumi. wakati mmarekani anaongeza maadui mchina anaongeza marafiki .
  8. D

    Muamar Gadafi mmiliki wa Bahari Beach Hotel?

    Africa tunagawanywa NA KUPELEKEA kuchUkiana wenyewe kwa wenyewe maana tunapenda tuishi kama marekani ngoja tuvune tunachopandikizwa hapa. Leo hii nchi za africa zitaogopa kuwekeza kwakuogopa kuwa coloni la UN. Kwani ni nchi inayowekeza au ni raisi? Nchi za magharibi hazimpendi gaddaf sasa...
  9. D

    Nimfanye nn shemeji yangu huyu?

    unajua umetenda kosa? then no comment
  10. D

    Jamani mmeyasikia haya!!!!!?

    chamuhimu jiandae siku sii nyingi is almost done. take care na umuombe mungu sana
  11. D

    Picha za Wanataarabu wa 5 Stars waliokufa Morogoro!

    mmmh nothing to say ila nasi niwakati wakujitafakari, nakujileta karibu na Mungu maana kifo kinakuja kama mwizi. MWENYEZI MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI. AMINA
  12. D

    Huduma ya internet ya bei nafuu zaidi tz 2500 tu!

    mimi niko hapa china ninalipa tsh.2000 kwa 10GB na average kwa mwezi nahitaji kama 15-18GB ili kukidhi mahitaji yangu sasa jamani bado tunaongelea mambo ya MB tena karne hii? mimi nahisa mb hazitoshi unatakiwa ufikirie kununua package kubwa , na tofauti iliyopo sisi tunalipa kwa mwezi na kwa...
  13. D

    Colonel Gaddafi's son 'killed in kamikaze pilot attack on Tripoli barracks'

    IRAN LEADER WARNS WEST AGAINST LIBYAN INTERVENTION MADRID (AFP) - Iran's President Mahmoud Ahmadinejad warned Western powers Tuesday against imposing a no-fly zone or taking other military action in Libya. Ahmadinejad renewed his condemnation of Libyan leader Moamer Kadhafi's bombardment...
  14. D

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    watu naona hamuelewi tunakoelekea, nafikiri baadhi ya nchi za africa na UCHINA wanajua tunapoelekea na siyo kila sehemu inabidi tutumie nguvu ya hoja ya mmoja mmoja. Ngoja nianze na hili MIMI binafsi na pinga kuwa na uraia wa nchi mbili japokuwa niko nje yanchi. Kuwa na uraia wa nchi mbili...
  15. D

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    nimesoma post zenu hapo juu nimeona nyote mnawafurahia wamagharibi, dah siamini ninayoyasoma ya karne hii ya mwisho. lnamaana mnafurahia vita? inamaana unaona hao mnaowafuraia ndiyo wakombozi wa bala lenu? wameacha mabara yao wanakuja kuuwa ndege kwenye mashamba yao kweli siamini ninachokiona...
  16. D

    Card reader and bluetooth zikosokoni

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=24354&d=1299249745&thumb=1&stc=1 TUPO MUDA WOTE ORDER YOYOTE INAKARIBISHWA BEI NI NZURI KABISA KWA UJUMLA NA REJAREJA. SEND EMAIL HAPA honestaugustine@yahoo.com
  17. D

    Magufuli: Nitabomoa hata majengo ya CCM

    go go go magufufuli tunahitaji sheria zilizotungwa zifanye kazi.
  18. D

    TCRA inatambua wizi huu wa makampuni ya simu?

    Swali langu makampuni yasimu yameruhusiwa kufanya biashara yoyote kwenye zaidi ya mawasiliano? Je kamari au kwa neno la bahatinasibu ni halali tanzania? Je tra inachukua ushuru hapo? Je mbona hatupewi makusanyo yanayotoka kwenye mchezo wa wizi(kamari/bahati nasibu)?
  19. D

    Avi to dvd coverter

    unataka vyawatu for free vyakwako unataka kuprotect? kama ni hivyo toa ela kupata software hizo tunazo.
  20. D

    Ni wakati sasa kukopa viongozi kutoka ng'ambo!

    Nilishauri na nashauri tena tumeshakuwa koloni chini ya utawala wa ccm sasa kama tunataka kujiokoa kutoka katika makucha hayo adui wetu ni mmoja tu ambaye ni ccm ukishaipiga chini hapojuu patakuwa vizuri namaaniasha raisi makini na kwajinsi hiyo basi tutaweza kufufuka upya na kuanza kujikomboa...
Back
Top Bottom