Na mimi nilikuwa nazungumzia hizo tarehe. Mchungaji amesema ni tarehe 26/6 ambayo siyo siku ya jpili kama ulivyoainisha - Lakini haichangaji. Ndiyo maana nikakwambia kwamba siyo lazima iwe jpili kwa sababu pale kuna huduma muda wote. Labda hujaelewa maana ya huduma - ni kwamba wakati wote ni...
Siku moja jioni nilikuwa nikiangalia televisheni nikaona mbunge mmoja anachangia kwamba hata tukiwapa bendera yetu kuitumia kuna ubaya kwani na sisi ni watanzania tuna haki ya kutumia bendera ya Tanzania. Sikuelewa vizuri. Leo nimeelewa sasa.
Inawezekana utakuwa na nguvu za giza zinakufuatilia ili usiwe na mahusiano yoyote na wanaume. Jitahidi kushughulikia tatizo hili. Kama ni mkristo nenda kanisani kwa ajili ya ushauri na maombi.
Inashauriwa tujitahidi kufuatilia maisha yetu ya huko nyuma toka hujazaliwa, makuzi yako, matatizo mbalimbali tuliyopitia na kadhalika. Kumbukumbu hizi hubaki ndani na matokeo ni kwamba tunapata maumivu ya ndani japo hatuwezi kuyaona au kuyasikia.
Ukiipata histotoria ya maisha yako nenda kwa...
Kumuita majina yaliyosababishwa na ugonjwa aliokuwa akiugua si sawa jamani. Jina lake linajulikana kwa nini hatumu'address' kwa jina lake?
Mlitaka asifanye mabadiliko huo uchunguzi ungefanyikaje wakati wanaochunguzwa bado wako vitini? Mbona Kigoda amefanya mabadiliko hamkuongea. Acheni...
Acheni uchonganishi! Kwa nini mnataka kuendeleza mambo kwa kujibishana? Ikulu kaeni kimya ni bora kuliko kujibishana ili sijui iweje? Never argue with................ Msitafute mshindi.
Mapishi ya Samaki Wabichi Chukuchuku
Samaki wabishi wawili
Kitunguu saumu kimoja
Kitunguu maji kimoja
Nyanya mbili kubwa
Tangawizi kidogo
Ndimu mbili
Pilipili ndefu (nyekundu) moja
Chumvi half teasp
Maji vikombe vitatu
Safisha samaki vizuri na kama ni wakubwa kata vipande viwili
Menya kitunguu...
Hizi pesa zimelipwa na ofisi ya Bunge kama masurufu. Masurufu baada ya kutumiwa huwa unaretire/settle kwa risiti. Kama wafanyakazi wa Bunge au hata wabunge wamepewa masurufu hayo ofisi ya Bunge ndiyo inatakiwa iwakumbushe ku'retire'/settle masurufu yao kutokana na risiti zinazoonyesha matumizi...
Sijui kama Immigration na Labour Office zinafanyakazi. Wanatakiwa wawe na valid Work Permits na pia Labour wajiridhishe kwamba hakuna mtanzania anayeweza kufanya kazi hizo. Mkifuatilia wanaingia tu na kuanza kazi kiholela. Ni wachache ndiyo wenye documents husika.
Wewe unataka wapeleke polisi kwenda kusearch kule ofisini sasa. Wanaweza pia wakatuma watu kuchoma moto. Mnaficha hizo documents ofisini hamuoni ni hatari? Chchote kinaweza kufanyika.
Hongereni CDM, lakini mjue CCCM wataendeleza vikao ili kubaini makosa yao yalikuwa wapi na kuyarekebisha.
Toka lini wakajirekebisha. Jeuri ya pesa mbaya sana. Wanashauriwa lakini hawataki kusikia. Wenzao CDM wanawafuata wataalam wa siasa (wasomi) kutafuta ushauri na kuona wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.