Search results

  1. Omulasil

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

    Poleni marafiki nitakuwa mjini by jpl so busy. Kuna mambo yetu na Tayana-wog tunaweka sawa. New family😂😂
  2. Omulasil

    Waziri wa Usalama amwambia Netanyahu akisitisha vita bila kuivamia Rafah atakosa uhalali kuongoza Israel

    Nimesoma nao hawa Jews niulizeni notawaambia walivyo.. Hapo middle east kitanuka.
  3. Omulasil

    Uhamiaji Arusha kuambiwa na Makonda watoe pasipoti kwa siku saba: Tuna tatizo la siasa nchi hii…

    Taarifa zako unajaza Online Uhamiaji wanazi link na mifumo mingine.bkuna watu wanapata chini ya siku 2 kama mkoani kwako wame verify taarifa zako unataka tena ukae mwaka. Siku 7 zinatosha. Kama unaona chache kaa hata mwezi uende kuchukua shida iko wapi. Watu tunapenda taabu
  4. Omulasil

    Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

    Aidha rekebisha heading. Mwanaume habakwi. Labda hiyo kujihusisha kimapenzi na mtoto chini ya miaka 18. Kubakwa kuingiliwa pasipo hiari. Sasa huyo dogo si ilikiwa inasimama na inatema wazungu vzr. Usikute anaenda hata round 3 na kusikilizia kabisa. Hakimu kahukumu kwa mihemko tu
  5. Omulasil

    Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    Kuna mafuriko Kilombero. Je kwa ajilli ya Bwawa hilo pia? Land slide ya Hanang je UNESCO wanashauri nini?. Tuache ujuaji maandazi. Point niliyochukua ni kujenga kwa gharama ambako kulihitajika ili liwe imara Ninachojua na kuamini pasipo shaka ni kiwa Bwawa halizalishi maji hivyo maji hayo kwa...
  6. Omulasil

    Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Pole kwa kunywa chai ya moto. Kwani umeungua sana?😂
  7. Omulasil

    Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

    Andelea na maisha usitishwe sana. Kansa na kisukari ni hatari zaidi. Epuka mitindo ya maisha itakayokuingiza katika magonjwa ya mtindo wa maisha. CHUKUA TAHADHARIYA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
  8. Omulasil

    Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

    Sio RAHISI Mtu akiwa anatymia dawa Viralload huwa.ndogo kiasi kwamba gata uwezekano wa kuambukiza hupungua sana sana lkn unashauriwa kupima kujiridhisha na KUCHUKUA TAHADHARI. Hata hivyo kuwa na Matymaini kuwa pamoha na yote unaweza kuendelea kuishi kwa malengo yako ya maisha. Mwisho lkn si...
  9. Omulasil

    Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

    Asante JF kwa kunipa material woman by Nov tutapost mtoto wetu😂😂🏃‍♂️
  10. Omulasil

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Yule jamaa anachat naye akuoe pia
  11. Omulasil

    Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Watakisaidiawengine maan a tayari wewe uko kundi la watu wanaonena bila kitumia akili(akili hazina matunda). Kama ndio uamuzi wako ni hiari yako ila hakuna lugha zisizo na maana. Ungetumia kanani ya kuomba kwa roho na akili ungefaidika sana 15 Imekuwaje, basi? Nitaomba kwa roho, tena nitaomba...
  12. Omulasil

    Da kwamimi binafsi sijafurahishwa na mchezo.

    Kama unasema Mamelodi walikaa na mpira sek hadi 30 kwanini wasiende mbele. Yanga jana walicheza vzr wakiwa hawana wachezaji wao 3 muhimu. Sometime tujifunze kupongeza. Ubgesema walipoteza nafasi zile za goli kwa kukosa umakoni mbele ya lango la adui
  13. Omulasil

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Umefika wakati sasa Mama aniangalie maana nimeusoma mchezo huku nje najua pa kutokea. Aje PM
Back
Top Bottom