Search results

  1. Dragonfire

    Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

    Mimi mwenyewe nasugua Benchi mwaka sasa Ila Niko poa Sana Tu, wenzangu wote waliojipendekeza wanakula kuku Ila ukiwaona hawana furaha[emoji16][emoji16][emoji16]. Moyo Una Amani na ngozi imejaa mafuta. Kuna mtu alicoment Kwa kidhungu "Uwepo usiwepo Nitashaini Tu, unipende usinipende huwezi...
  2. Dragonfire

    Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

    Mbaya sana Moyo kuendeshwa na Mahitaji ya Mwili, siku zote Mwili unaachia vidonda Moyo then vidonda vya vinarudisha madhara mwilini.
  3. Dragonfire

    Ogopa kuwa msomi halafu masikini katika jamii inayokuzunguka

    Napata shida kuona jamaa anashambuliwa kiasi hiki, tuna mifano mikubwa tu ya wasomi tena wamepitia kwenye vyeo vikubwa lakini walipoenguliwa tu, walilalama. Wengine wametoka majalalani juzi tu hapa. Wengine waliwaji ondolewa pale Morogoro Hadi wakasali sala ya Bikira Maria Kiufupi ukizungukwa...
  4. Dragonfire

    FFARS: Changamoto na majibu yake

    Huwezi Leta Mada inayohusu mtandao wa Serikali tena unaohusu pesa, unataka mtandao udukuliwe? Kutaja udhaifu Ni kutoa mwanya Kwa wale wasio na nia njema wapi wanaweza kufikia Uzoefu na Changamoto zinatatuliwa kwenye semina elekezi
  5. Dragonfire

    Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

    Umeongea point Sana KIONGOZI, Ile kitu lazima usome kweli kweli Kwa sababu unaenda kufanya kazi na high Intelligent people a.k.a Market Maker. Huwezi. Pata. Pesa bila kunua Marke Marker Methods. Kiufupi Mimi napenda na nilichukua miezi Sita kusoma tu bila kufanya chochote, nilipoanza Mengi...
  6. Dragonfire

    Unajisikiaje unapoona classmet wako ni kiongozi mkubwa Serikalini na mwenye maamuzi wakati wewe upo upo tu?

    Kwenye maisha unatakiwa upigane na malengo yako, usiishi Kwa target za mtu
  7. Dragonfire

    Kwanini wanaume wazuri wengi wenu mna mipele na makovu kwenye makalio yenu?

    Ushasema mwanaume tayari, tako laini la nini sasa, kuwa na tako laini ili iweje sasa
  8. Dragonfire

    MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

    Prado ni gari ya kike, Harrier ndo kiumeni zaidi, kama vipi chukua mzigo wa Toyota FJ, kama huijui igoogle.
  9. Dragonfire

    Yuko wapi Polepole, katibu wa itikadi na uenezi CCM?

    Kwanza kabisa naomba nijulikane sipo upande wowote wa kisiasa, Ila naomba nimwelezee pole pole kidogo kulingana na upeo wangu mdogo Pole pole ni MTU wa kupiga kazi kimya kimya hasa kwa siku za hivi karibuni hasa baada ya kupata UDC Ubungo, alikuwa anapenda kufanya mambo kimya kimya pasipo...
  10. Dragonfire

    Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

    Unaigumiaje mwenyewe, zaidi zaidi ni kwa kukojolea mkojo tu, hapa panazungumziwa kupewa raha ili watoto wazaliwe
  11. Dragonfire

    Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

    Somo zuri sana kwa wale wenye dushe kubwa, kwa wenzagu na mie wa vibamia, Laaah
  12. Dragonfire

    Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

    Kitu kingine, wanaume tujitahidi kusimamia kucha, haya mambo ya kula kuku asiye na baba, matokeo yake ndo haya Ukiona mwanamke anachepuka, basi ujue kuna shida kwa dume lake, ni Mara chache sana mwanamke kuchepuka wakati ndani anapewa dozi safi na mshindo anafika. Piga kaziii
  13. Dragonfire

    Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

    Nakupa Tano, pale ninapokojolea Mimi , mwingine akijoleee halafu nijue na kuomba ushauri, Noooo, Natupa kule na kusahau kabisa. Mwanaume unaonekana fala sana kutombewa
  14. Dragonfire

    Amemuachisha kazi mumewe kawa baba wa nyumbani

    Acha mfumo dume wewe , mama anamlea dume lake wewe unataka kutia kokoro, Fanya yako na wao waache waendelee na yao, kwanza akipika msosi na kukuna Nazi wewe kinakuuma nini Acha umbea
  15. Dragonfire

    Wanaume mnaojisifia mnajua mambo sita kwa sita mnaboa sana

    Nipm mrembo, umenijibu vyema sana, nakwenda kule now
  16. Dragonfire

    Wanaume mnaojisifia mnajua mambo sita kwa sita mnaboa sana

    Iwapo kama waafrica wangetumia nguvu nyingi kutafuta pesa kama wanavyosimuliana hivi, hili bara lingekuwa mbaaaali sana Nguvu, akili, weledi ni ngono tu, Mungu saidia kizazi hiki
  17. Dragonfire

    Kuvaa saa enzi hizi za dijitali ni mbwembwe au usharobaro?

    Watu waliona mbali sana, kutengeneza Simu za Digital ili uweze kumaliza kila kitu ndani ya simu yako, on a soko la Internet Cafe lilivyokufa kifo cha Mende, hakuna haja ya kuvaa SAA kwa kipindi hiki, kwa kuliona hilo kwa sasa hata watengeneza SAA wanaumiza kichwa ili kurudisha hadhi ya SAA...
Back
Top Bottom