Search results

  1. M

    Mifuko ya Plastiki na Ujinga wa watanzania nani alaumiwe?

    Juzi nilinunua camera duka la TOP SHOP Kariakoo,wakanifungia bidhaa yangu kwenye mfuko wa plastic(Lambo) nikaanza kumtukana yule mhindi nikitaka anijuze sababu za kufunga bidhaa hiyo kwenye plastic badalla ya mfuko wa kaki.Nikamwambia Nchi ya Rwanda ungeweza kufungwa ,yeye alinijibu ifuatavyo:-...
  2. M

    Sababu ya Miji yetu kuwa michafu nini?

    Nimetembelea miji mingi ya tanzania lakini watu wake wana tabia ya Kuenzi uchafu.Dar-es-Salaam mtu mtanashati anaendesha gari anakunywa maji anatupa chupa barabarani.Mtu haoni aibu anatupa takatakata na watu wanamwangalia,Ukifika kigari kwa tabia ya watanzania mtafungwa kule kila jumanne...
  3. M

    Hivi Twiga cement nao ni wezi?

    Jamani Ndugu zangu wana JF sijui nikimbilie wapi.Nilinunua Hisa za Tanga cement mwaka 2003 ,niliweza kupata Gawio mara tatu baada ya hapo sikupata tena.Mwanzoni ulikuwa unatakiwa kutoa acount yako ya bank baadaye wakabadilisha wakawa wanatuma posta na unalipiwa huko.Baada ya hapo sijui ni kitu...
Back
Top Bottom