Search results

  1. king's lawyer

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Naamini ni ile KUKOMAA KWAMBA YULE NA HUYU NI WAMOJA,wakati yule tunamuangalia Kwa picha mbovu sana,halafu kutaka kuwajibujibu "WAZEE",Wazee ni dawa,huwezi kushindananao!.
  2. king's lawyer

    Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    Tafuta hela wewe,acha umarioo,Bimkubwa anakuambia imezeeka anakuwa kisaikolokia ili awe anatoka na dogo,Na wewe unananata na biti,Pala black,piga scrub mwilizima utarudi
  3. king's lawyer

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    Haina Akaunti hapa Tanzania?Nani anatoa hela humor tumkamue kienyeji kwa kuua Mama zetu kwa kukosa dawa,kujaribu magari yetu kwa barabara za vumbi,nk
  4. king's lawyer

    Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

    Hana lugha ya staha,hajui kuchagua maneno,hajakomaa wala hakomai, eti "ulitakiwa"badala ya "ukihitajika",,
  5. king's lawyer

    Natafuta mke wa kuoa

    Pambania katika Kwanza
  6. king's lawyer

    Picha: Msaada tatizo sehemu za siri

    Rest in peace in advance
  7. king's lawyer

    Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

    Makomeo alifanya anavyotaka na miaka iliisha
  8. king's lawyer

    Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

    Mchawi kama kukuganga au kukuroga,uchawi unaaminiwa na mtu aliyetokea familia lozilozi,kama wewe wanao lazima wawe vigagula maana unamwambia mtu anaejijua mwenyewe kuwa"ACHA KUTUDANGANYA",inaonekana imani yako ni haba kwa muumba.
  9. king's lawyer

    Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

    Niliwahi kuwa na rafi yangu tulipokuwa tnajifunza maisha,kila tukianzisha dili anasema twende kwa mganga,nilikataa tokea miaka hiyo,sikuwahi kwenda kwa mganga wala kuchanjwa mpaka hapa nilipofika na nina nafuu ya maisha.
  10. king's lawyer

    Tukubali tu Kiingereza sio lugha yetu katika masuala mazito, tusiwe watumwa

    Lugha,ulafi na kukosa uzalendo kwa pamoja,hata wanapoambiwa na inasomeka HAWATAKI kwa sababu ya matumbo,tuombe Mungu uumbaji wake mpya awake migongo miwili na ikiwezekana viungo vya uzazi vibadilishe au mfumo wenyewe. Vyote hivi ni tatizo.
  11. king's lawyer

    Tukubali tu Kiingereza sio lugha yetu katika masuala mazito, tusiwe watumwa

    Chochote inachowaambia,hata mkataba wenyewe au kifungu fulani kibovu"wanakuwa hivyo hivyo,na wanasema wakutafutie mtu wa kukuelimisha,wakati wenyewe hawajaelewa.
  12. king's lawyer

    Tukubali tu Kiingereza sio lugha yetu katika masuala mazito, tusiwe watumwa

    Kabisa kabisa,lakini wanafanya makusudi kwaajili ya migao yao,one bwanamdogo"anavyomtukana prof",halafu tatizo hata wakiambiwa mapema kuwa "mkataba huu mbovu,hawataki,wala wakiambiwa kifungu hiki kibovu,hawataki"tumetoa wapi wataalamu hawa?
  13. king's lawyer

    Wabunge walishindwa kung'amua ile IGA ya Bandari Waliyoiridhia ina HGA ndani yake, ndio sasa Wanatofautiana ni Makubaliano au Mkataba!

    Wewe Paskali nae unaongopa aununakosea,Serikali imeingia mkataba na DUBAI siyo UAE(UNITED ARAB EMIRATES),nyoosha,huo sasa ndiyo upotoshaji
  14. king's lawyer

    Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    Mwanzo wa mkataba ni lini,mwisho ni lini,maslahi ya Taifa ni yapi,ya mwekezaji ni yapi?lini tutafanya mapitio kuona hali ya wakati huo kama tunahitaji kubadili baadhi ya mambo? Wewe na Prof. Shivji, Jaji Warioba nani anafahamu sheria kuliko mwingine na kuwa na uzoefu wa kuzitumia unaompa muda...
  15. king's lawyer

    Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Yaani tubadili sheria tuishi kikoloni kwenye nchi yetu kwaajili ya kumfaidisha nani?viongozi wafanye mbo yenye maslahi kwa Taifa zima kwakuwa wao siyo wamiliki wa nchi,wao ndiyo wanafanya mambo ya kuudhi halafu hatua achukuliwe anaelalamika Mali yake ina dalili za kupotea?wanaohusika WAJIBU HOJA...
  16. king's lawyer

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Wasukuma bana,tokea yule mwizi awape nguvu basi munaona lugha yenu nzuri sana,hadi magari munayaita kwa kilugha
  17. king's lawyer

    Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Tuambieni kwamba munawashtaki,miti tunapanda kwa kujitolea,tunamwagilia kwa vidumu kama wanafunzi wa kata,leo wao wanakata bila kupanda mbadala,tena hata mbadala wanapaswa wasubiri ikue au wapande mikubwa waipepelee,ebo!.
  18. king's lawyer

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Utafukuzwa wewe na dada yako,kwanza unakaaje kwa shemeji wewe boya.
  19. king's lawyer

    Leo nimejua kwanini Hayati Magufuli alipendwa na watu masikini

    Ndiyo maana JOHN amewapiga sana,Rais anapata wapi hela ya kutembeanayo akigawa?hata antenatal ni bora atoe kwa vikongwe visivyoweza kufanyakazi na walemavu. Yaani akagawe hela kwa mtu aliyechagua starehe halafu mazuzu mum uone anahuruma au mpenda maskini,hamna akili wapumbavu.
Back
Top Bottom