Search results

  1. gwagu

    Kigogo TCAA ang'ang'ania Ofisi

    Kweli mambo huenda yakabadilika, huyu jamaa alikataa kuwaongezea mikataba watumishi wengi kama alikua Clark of works, msemaji wa mamlaka, madereva wawili ila mmoja mahakama ilimrudishaa, IT Manager. Sasa yeye kama aliona mazuri why hataki kuzika a. Na ana kibaraka wake Rube Luhongole alikua...
  2. gwagu

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Pole sana hayo Mapu.... tuaita Korodani, paka mafuta ya mzaituni (olive oil) inasaidia sana, pia hakikisha kabla kuvaa chupi unakausha vizuri maeneo hayo, pia zingatia usafi wa taulo, na utafute chupi za cotton sio zilizoandikwa Arsenal zile za mpira zinaleta joto sana
  3. gwagu

    Na CEO wenu ni kama huyu wetu?

    Huyo atakuwa anatkea upareni
  4. gwagu

    'Rais adhibitiwe katika uteuzi'

    Ni kweli hasa katika Mamlaka za Serikali kuna uozo
  5. gwagu

    Alaaniwe huyu bosi

    Tena kwa taalifa zaidi inasemekana alipokuwepo mkulugenzi mkuu aliestaafu mama myagi alikua jamaa hatikisiki lakini toka ameondoka anafanya madudu na huyo mama ilikua ni heli watu wa wizala wakose lakini yatima na wajane lazima kipindi hiki wapate zawadi za sikukuu zote idi na klismas
  6. gwagu

    Alaaniwe huyu bosi

    Kunabosi mmoja katika taasisi inayohusiana na usimamizi katka safali za anga ambae ni mkulugenzi wa utumishi ametoa ya mwaka kwa kukataa kutoa zawadi za noel na mwaka mpya kwa vituo vya watoto yatima na wajane badala yake akaamulu zawadi hizo wapelekewe maofisa wa wizala ya uchukuzi na hazina...
  7. gwagu

    Picha ya Mwaka 2010

    Duu hiyo ni hatari uso nyang'anyang'a
  8. gwagu

    Mtangazaji wa clouds afanywa kitu mbaya mkwajuni!!!

    Jamaa mwingine alivalishwa kiroba halafu wanachofanya wanaondoka na suruali wanakuacha mtupu
  9. gwagu

    Mtu mweusi alitoka wapi?

    Alitoka kwa Mungu
  10. gwagu

    Namie nipo,nipokeeni wandugu

    Nipokeeni wanduhu
Back
Top Bottom