Search results

  1. M

    Tutangaze mgogoro wa kisiasa na Edward Ngoyai Lowassa

    kuelekea 2005. Nilikuwa na usongo sana na mnafiki huyu. Wamezidi kutufanya kichwa cha chizi.
  2. M

    Tutangaze mgogoro wa kisiasa na Edward Ngoyai Lowassa

    . Huyu jamaa ni ndumilakuwili na inaonekana ana usongo na uprezidaa vibaya mno. Anasahau kwamba alianzia ujana na kuzeekea akiwa katika chama cha magamba. Suddenly baara ya kutoswa uwaziri mkuu anajifanya kama ni MMMMMPYAAAA. ANAFIKIRI UKOSEFU WA AJIRA UMEONGEZEKA KUTOKANA NA KUTOKUWEPO KWAKE...
  3. M

    Waziri anaposhiriki kwenye kampeni, je ni sawa?

    ukitaka kujua kwamba hawa mawaziri wa ccm ni wendawazimu fuatilia mikutano yao ya hadhara igunga. Utajua nchi imekwisha. Pumbaz pumbaz pumbaz.
  4. M

    Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    hiyo ya ccm na wanachama wapya kawe ni uongo mtupu,jana nilikuwepo eneo lile,walikuja na watu wao kumi ,sijui hata walitoka wapi na kuwapa kadi. Na kama kawaida yao walikuja na mabasi lukuki yaliyojaa watu na magwanda yao ya kijani. Kwa ufupu wamechemsha kweli kweli, na hizo pikipiki vijana...
  5. M

    Mbowe ndani ya Bunge

    acha uongo wewe,hata sie tunafuatilia kwa tv za betri.
  6. M

    Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

    alikuwa anajaribu kupunguza kasi ya ukali wa maneno. Aliona chama chake kinavyovuliwa nguo. Na sio hayo tu,leo asubuhi mbunge wa nkasi nae amempasha ngeleja kwamba kwenye kitabu wanaonyesha kwamba kuna nguzo zimesambazwa,wakati katika uhalisia. Hakuna hata nguzo moja. Ngeleja na CCM yake usanii...
  7. M

    Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

    Kwani kaka alikuwa na matamanio ya kujumuishwa kwenye baraza la JK? acheni fitna wajameni...
  8. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    ujenzi- barabara na viwanja vya ndege.... hakika kipele kimepata mkunaji--- mwakyembe na magufuli ni majembe!
  9. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    sitta angebaki back bencher ingekuwa safi sana.....
  10. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    sitta?? bonge la demotion...
  11. M

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    mwakyembe - unaibu waziri............
  12. M

    Msemakweli;yuko tayari kuhamia chadema

    NCCR nacho Chama? ......labda wamtimue mbatia....mamluki mkubwa! nawaonea huruma sana madogo...wanapoteza muda wao kwenye chama kisicho na dira!
  13. M

    Majina ya Waliopendekezwa Viti Maalum na hoja za Leticia Musore

    Kilikuwa kirusi hatari sana Chadema....wanakimbia mmoja mmoja...bora waende watuachie chadema yetu....na bado wengine watamfuata. ametangulizwa tu huyo!
  14. M

    Young Swedish women more likely to have sex with each other: study

    kwa mujibu wa watafiti wa masuala ya ngono, more than 70% ya wanaume hahawaridhishi wapenzi wao...yawezekana inachangia ongezeko hili.. Yasemekana pia jinsia za aina moja zinatambua kwa ufasaha maeneo 'yao' sensitive....ndio maana usiombe mkeo atongozwe na msagaji na kwenda kujaribu, wakati weye...
  15. M

    Uvumi/Tetesi: Mtoto wa Kikwete (8) kugombea Uenyekiti Chipukizi?

    Issue sio 'kuwa mtoto wa Rais'....apimwe kwa uwezo wake! kama anafaa kwa mujibu wa vigezo vya chipukizi wa UVCCM...well and good!
  16. M

    Mke wa Lowassa azindua kitabu

    Akizungumza katika uzinduzi huo, Kardinali Pengo, bila kufafanua, aliwataka Watanzania waache tabia ya kusulubiana. “Yesu alikuja duniani, akasulubiwa na hadi leo watu wanaendelea kusulubiana. Tuache mchezo huo,” alisema. Hii ni kauli ya hatari sana kutoka kwa kiongozi wa kidini. Kwa literal...
  17. M

    Baada ya kutaka EAC kuwa Nairobi, sasa lake Victoria kuwa bila mipaka

    Wako wapi hao watz? .....tatizo letu wabongo ni kujipa matumaini, tena wala usiseme kuhusu unaowaita kizazi cha sasa hivi...vijana wa tanzania ndio worse,wakishapata kazi yenye kamshahara cha kumtosheleza yeye na familia yake na kagari kamkopo ameridhika...tunachozungumza hapa ni kushiriki moja...
  18. M

    Baada ya kutaka EAC kuwa Nairobi, sasa lake Victoria kuwa bila mipaka

    mimi nakubaliana kabisa na hofu ya ubungoubungo...lakini na sisi watanzania tumezidi kuwa walalamikaji badala ya kufanya kazi , ndio maana kila siku wenzetu wanatupiga bao tukiwa macho....tuanze na mlima kilimanjaro,si uko Tanzania? lakini kila siku jamaa wetu wakenya wanapromote sector yao ya...
Back
Top Bottom