:alien: mmmmmmmmmmmh.sema na wewe una matatizo yako bwana.siku nyingine utamshika housegirl useme umepitiwa.au sio wadau???????????????????????????????????????????
bila wivu hakuna upendo na bila upendo hakuna wivu.vyote vinategemeana.that is they depend on each other.i mean the existence of one variable lead to existence of the other.ie. the existence of love lead to existence of jealous without love no jealous and without jealous no love.
that...
jamani, kama mtu hatosheki si amng'ang'anie mwenzie hadi atosheke, paparax2 za nini? Jamani mabucha mengi nyama ile ile mwishowe mtaibuka na maradhi mbaki mnajuta
NAWEZA KUSEMA HUYU JAMAA NI MPUUZI TENA SANA.INAHUSU NINI KUKUTISHIA WAKATI MLISHAACHANA? AU HUYO ALIYEMUOA ANAMUONA MWANASESERE? KWANZA ANAONEKANA HANA REAL LOVE.ANGEKUWA NAYO ASIINGELEA KUHANGAIKA.<br>DAWA YAKE NI KAMA WALIVYO SUGGEST WENZANGU:<br>1. TOA TAARIFA POLISI INCASE OF...
Naweza kusema huyu jamaa ni mpuuzi tena sana.inahusu nini kukutishia wakati mlishaachana? Au huyo aliyemuoa anamuona mwanasesere? Kwanza anaonekana hana real love.angekuwa nayo asiingelea kuhangaika.
Dawa yake ni kama walivyo suggest wenzangu:
1. Toa taarifa polisi incase of anything
2...
Wanajamii wenzangu nisaidieni mawazo;
Mapenzi ni kitu gani?Kwanini watu wengi hushindwa kuwa waaminifu katika mapenzi????????????????????
ni kwamba hawapati wanachotaria kwa wenzi wao? au ni uroho tu? naomba michango yenu wandugu
Kwanza nampa pole sana huyo dada.
Pili nampa hongera kwa moyo wa huruma alionao wa kutotaka kuwaambukiza watu wengine kwani angeamua kufanya hivyo laana ya familia nyingi za wanaume wasio waaminifu zingemrudia. Mungu aendelee kumpa moyo huo huo.
Kuhusu akili za wanaume nadhani wote wanakuwaga...
MIMI NAKUMBUKA NIKIWA SHULE YA MSINGI NILIFUNDISHWA NA WALIMU WANGU KUWA "ASIYEFUNTHWA NA MAMAYE HUFUNTHWA NA ULIMWENGU" AU HIYO METHALI IMEBADILIKA WAJAMENI??????????????????????????????? NGOJA NIPERUZI KUJUA KAMA KUNA MABADILIKO KTK METHALI HII. :A S-coffee:
YES, YES SAY NO TO SECOND TERM.WATANZANIA TUMECHOKA KUBURUZWA:A S-confused1:. LAZIMA TUTAFUTE MABADILIKO LA SIVYO TUTAISHIA KUTESEKA HADI KIAMA. TZ BILA KIKWETE NA BILA CCM INAWEZEKANA. BYE BYE JMK:israel: KARIBU DR. WA UKWELI SLAA.
Nina imani yeyote anayetamka ccm in a positive way must have personal interest like you.... Jaribu kupiga simu siku hiyo nijue kuwa nawewe ni moja kati ya walioandaliwa
mweeeee!!!!!!!!!!!!!!! hata mimi nashangaa.hivi jamani mbona hawa watu wanajikanyagakanyaga hivi? "UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU.Hawa watu wanasahau waliyokwishayasema awali ndo maana tunatakiwa tuwasamehe bure.kukataliwa kubaya jamani.
hivi kweli kwa mtindo huu tutafika?Tanzania tuko dunia ya ngapi jamani na tunaelekea wapi. nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali ambazo zinaliwa na wanaojiita wajanja wa nchi hii kwa kufanya mikataba mibovu na wageni.kwa jina lingine tuwaite mafisadi papa mungu tusaidie ndo maana wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.