katibu mkuu kiongozi ndio mamlaka ya nidhamu kwa makatibu wakuu wote. Hivo pale jana Jakaya alivosema maswi anachunguzwa ndo alikua anamuagiza Sefue atekeleze
Serikalini mishahara na OC ni mafungu tofauti ya fedha na kila moja lina bajeti yake iloidhinishwa na bunge kwa matumizi yake. Hivi vitu haviingiliani na hata ukaguzi wake wa hesabu ni tofauti kutegemea na jinsi zilivoidhinishwa na zilivotumika! Mishahara inalipwa na hazina moja kwa moja kwa...
Mapovu ya nini aisee...!? Mbona jamaa kazungumza kitu kilichowazi sana, kwa ufupi hakuna jipya alosema kwani ndo hali halisi ya utaratibu uliopo (ukiachilia hilo la kusema faili lipo tayari linasubiri mhusika)! Ni vizuri kujielimisha juu ya ukweli kuliko kufata hisia
Jamani eleweni mfumo wa utawala ulivo. Mnyika ni mkurugenzi wa habari wa chama, ulitegemea aseme nini katika sakata kama hili?! Lazima akisemee chama kwani ndo kazi yake. Hawezi kwenda kinyume hata kama yeye binafsi kama mnyika hapendi uamuzi ulochukuliwa na chama. Huo ndo utaratibu. Mtamchukia...
Mnyika ni mkurugenzi wa habari wa chama. Lazima atoe taarifa ambayo cc imepitisha, yeye ndo chanzo cha mawasiliano rasmi (official communication) kati ya chama na umma. Unategemea atasema nini kwenye sakata kama hili!? Lazima aseme na kutetea nini chama kimesema hata kama yeye binafsi...
Mbona ka unajichanganya mkuu!? Amewasilisha utetezi wake ndani ya chama na vilevile amekata rufaa juu ya adhabu alopewa kwa baraza kuu (ambayo ndo ngazi ya juu kama ulivosema kwenye maoni yako). Mahakamani kaenda kuweka pingamizi juu ya kamati kuu kumjadili kwa adhabu ilokwishampa tayari ambayo...
Asante sana. Hii ndo Profesa Muhongo anasema kila siku kwamba, "watanzania ni wavivu wa kusoma na kufatilia mambo. Wanapenda stori za vijiweni tu". Sera ya serikali ni kumilikisha wananchi kupitia TPDC (hili ni shirika la umma-la watanzania ote)! Hao mabepari wao ndo wanataka kuaminisha wananchi...
Nakubaliana na wewe mkuu. Watanzania wengi wanaoenda kusikikiza maneno tu bila kufanya utafiti na kuongeza uelewa wa uhalisia wa mambo. Matokeo yake tunaishia kupiga stori za vijiweni!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.