Wenzetu chaguzi zao ziko huru zaidi na haki kuliko chaguzi zetu zilizojaa usanii na wizi wa hali ya juu ili kung'ang'ania kubaki madarakani.
BBC News - Partial Ivory Coast election results show tight race
Huyu mzee ana busara za hali ya juu. Tunasubiri kusikia toka kwako kwa hamu kubwa. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na maisha marefu. Tanzania bila mafisadi na thithiem inawezekana kabisa.
Mimi pia niko mbioni kuzifahamu taratibu za kuomba uanachama chadema ili nitume maombi ya kuwa mwanachama wa chama hicho.
Mimi naamini kabisa kuna uchakachuaji wa hali ya juu uliofanywa kwa kutumia form za uwongo katika matokeo mengi ya Madiwani, Ubunge na Urais na pia kutumia IT kama ambavyo...
Wakati utata ulipokuwa ukiendelea kuhusu Wabunge wa thithiem walioanguka na kuyakataa matokeo na pia kutia saini kwenye form za matokeo, NEC walikuwa wanayachakachua matokeo ya urais na wabunge wengine wa thithiem ili kuhakikisha thithiem kutoadhirika zaidi.
Mungu amekuepusha na huu ugonjwa (kama utaendelea kuwa negative) na inabidi umshukuru sana. Kwa ushauri wangu pamoja na kuwa bado unampenda lakini inabidi ujiepushe naye sana hasa ukitilia maanani kwamba ameshakutamkia kwamba ni lazima akuue.
Hukustushwa na vitendo vya mafisadi kuiba mabilioni ya pesa za walipa kodi! iweje leo ustushwe na kitendo cha Watanzania kufuatilia mustakabali wa nchi yao baada ya uchaguzi mkuu? acha usanii!
Thithiem inaleta usanii kwa kuyakataa matokeo na hivyo kutosaini. Tume ya uchaguzi iliyosimamia uchaguzi imechaguliwa na thithiem hivyo kamwe haiwezi kuchakachua ili thithiem ianguke. Wazee mbali mbali nchi hii ndani ya thithiem akina SAS, Warioba na wengineo inabidi watoe kauli haraka sana ya...
Walikuwa mstari wa mbele kuwashinikiza wapinzani wawe tayari kuyakubali matokeo, na kujisahau wao wenyewe pia wawe tayari kuyakubali, sasa inaelekea kokote kule ambako thithiem imeanguka basi mkakati ni kuyakataa matokeo na kugoma kusaini forms za matokeo.
Inaelekea thithiem wameamua/wamekubaliana kung'ang'ania kubaki madarakani kwa kuyakataa matokeo na hivyo kutosaini form ya matokeo. Inaelekea kuna trend hapa maana Masha, Diallo na Batilda wameshayakataa matokeo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.