Search results

  1. Mutwale

    Ngeleja awalipua Upinzani

    Kawalipua wapi wewe! yeye ndo kaambiwa kwamba aliichafua nishati na madini! na huyu Muongo ndo anasafisha uozo wake pale wizarani
  2. Mutwale

    Mahakama Kuu yapeleka kesi ya Lwakatare 'chamber court'

    Ukiona hivyo huyo si Gaidi
  3. Mutwale

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Ukiangalia English alipata F, Civics is all about english, kwa hiyo ilikuwa lazima apate mzinga wa Civics, pia utakuta na degree zake ka soma kwa correspondece.
  4. Mutwale

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    Inawezekana vipi slip of Tongue katika sensitive issue ya Utaifa? binafsi hiyo speech sijaisikia lakini siwezi kukubalia na hiyo slip of tongue argument, kwa ,mtu kama yeye anyetoka chama kinacho amini katika, Muungano hiwezekani ukakosea katika hilo! atoe sababu nyingine! this has shown how...
  5. Mutwale

    Imedhihilika ccm ndio mabigwa wa udini

    Wanajanvi mtakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2010 na baada bwana wakati akikihutubia taifa alitangaza kuwepo kwa udini. Ijapokuwa hakuta ni akina nani wanaeneza udini, lakini wapambe wake alisema na kutamka wazi wazi kwamba CDM walikuwa na siasa za udini! Lililojitokeza Zanzibar, ambapo...
  6. Mutwale

    Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

    Mutwale I will be there!
  7. Mutwale

    Yanayojiri mitaa ya Jiji la Dar na vitongoji vyake kuelekea mkutano wa chadema Jangwani leo

    Leo kuna Mkutano wa CHADEMA na wala hakuna kiingilio, pia mkutano unaanza saa nane, baada ya watu kutafuta riziki, hivyo ndugu yetu Mr. emmy kama ulifikiria kuona foleni ya watu asubuhi asubuhi yote wakielekea jangwani umenoa, wewe kama unataka kuona M4C njoo pale saa tisa, utameza maneno yako...
  8. Mutwale

    Nini jipya litakalo fanywa na baraza la mawaziri litakalotangazwa?

    Ndugu wanajanvi, kunataarifa za uhakika kwamba leo Mkuu wa kaya atatangaza baraza jipya la mawaziri, lakini napata taabu sana kughamua jipya litakalo fanywa na hao wateule, maana, 1. kikwazo kikubwa ni mfumo wa utawala uliopo, hakika hautawapa wateule nafasi za kuonyesha umahiri wao. 2. Makundi...
  9. Mutwale

    Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

    Oscar Mukasa alikuwa mgombea ya Biharamulo, ailipinga ushindi wa Dr. Mbasa, wa CHADEMA, na sasa ameshindwa, amakweli kisichokuwa riziki akiliki.
  10. Mutwale

    Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

    People's Power, CDM yaibwaga CCM tena huko BIHARAMULO, baada ya madai yote nane kukosa mshiko!
  11. Mutwale

    Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

    CHADEMA wapata ushindi wa pili baada ya kesi ya kupinga matokeo iliyokuwa imefunguliwa na bwana Oscar Mukasa kutupiliwa mbali. PEOPLE'S POWER
  12. Mutwale

    Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    Usomaji wa hukumu bado unaendelea, Hoja nne kati ya nane zimepigwa chini, bado nne...............
  13. Mutwale

    Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    Habari za uhakika Hukumu imeanza kusomwa saa tisa Alasri na si saa saba!
  14. Mutwale

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Jamani nini kinaendelea huko?
  15. Mutwale

    Nape Nnauye: Madiwani wa CCM wanaoama wamekosa mvuto kwa wananchi

    Huyu sasa amekuwa kama El Safu aliyekuwa waziri wa habari wa Irak, anasema tumewaua askari wa Marekani, kumbe jamaa wameshateka nchi! Eti wamepoteza mvuto wakati chama kinabakia na Viongozi tu!
  16. Mutwale

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Kumbe source ni Gazeti la Uhuru!................................... What do you expect, hata ukweli utapindishwa! na haya ni magazeti ya kufungiwa kabisa maana yana didimiza nchi na kuzidisha uchochezi!
  17. Mutwale

    CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

    Kama wewe ni msafi na unamvuto kamwe huwezi kujificha ndani, ni haki CHADEMA kufanya mikutano kila siku kwani kwa kufanya hivyo wanaua ndege wawili kwa jiwe moja!, wanatoa elimu ya uraia, na utambuzi wa haki za raia, pili wana imarisha chama kwa kupata wanachama wapya. Kama unasema mikuta...
  18. Mutwale

    James milya amehama ccm.

    Jamani kwani Simanjiro ni jimbo huru? Kwani kule hakuna mbunge? Naomba mnijuze samahani!
  19. Mutwale

    As far as opportunity cost is concerned, CHADEMA kateni rufaa

    Yaani maamuzi haya, nadhani Mheshimiwa Jaji alipitiwa, haiwezekani atukanwe mwingine, kisha machungu asikie mtu baki! hii ni sawa nakuoga wewe na akatakata mwingine! Rufaa ni muhimu sana, maana huyo jaji amejichanganya ama amechanganywa! japo Arusha bado ni ya kwetu, hata uchaguzi ukirudiwa bora...
Back
Top Bottom