Search results

  1. richb

    Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

    Usiogope nenda mhimbili au indumandali watakueleza jinsi ya kufubaza virus wa hepatitis B. Kama haijatengeneza kansa hautakufa Leo wala kesho. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. richb

    Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

    Huwezi kufa Leo wala kesho, si kila hepatitis B inaweza kukuua, zingine upotea mwilini ila kama imetengeneza kansa kwenye INI uwa ni shida. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. richb

    Nafasi mbili za kazi zilizotangazwa na benki ya CRDB | Mwisho wa kutuma maombi 1st Aprili 2019

    CRDB Ni bangi nyingi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. richb

    Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Itatumika nguvu ya umma kulipitisha hilo basi kutufikia chadema Sent using Jamii Forums mobile app
  5. richb

    Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

    Dodoma no bata una make money mpaka unatoboa kama unanawa. New city Sent using Jamii Forums mobile app
  6. richb

    Ripoti zinasema wagonjwa wengi wa akili wanapatikana Uru mkoani Kilimanjaro

    Kweli ile milima ya Uru inavichaa wengi sana. Haina haja ya kupinga hili. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. richb

    Kuitwa kwenye usaili walioomba nafasi za kazi TRA - 2019

    Serikali ya wanyonge hiyo inazidi kuwatapeli vijana' nauli, malazi na chakula mjini. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. richb

    Ripoti zinasema wagonjwa wengi wa akili wanapatikana Uru mkoani Kilimanjaro

    Kweli Moshi kunawagonjwa wengi Wa akili Sent using Jamii Forums mobile app
  9. richb

    Ulokole umekuwa ajira rasmi?! Serikali mpo wapi?

    Aisee kweli matapeli wameongezeka kila siku. Serikali inawaangalia tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. richb

    Siri nzito ya 'muccob's" hii hapa.

    muco inatisha world wide.
  11. richb

    Vyuo halisi tanzania...... Angalizo la vyuo feki tanzania.

    WEWE KWELI UMECHEMKA SASA MUCCOBS HAIPO,MZUMBE,UDOM KWELI WEWE STUPID.KUWA MAKINI.:angry::angry::eek2:
  12. richb

    Leo nimemfumania mke wangu, sijui nifanyaje?

    acha umalaya mwanaume.
  13. richb

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Lukuvi lugha chafu, huwa anapaniki sana bungeni na changamoto za maswali.
  14. richb

    5th round tcu

    tusubiri leo sikukuu ya magufuri.
  15. richb

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    food iko poa, family consumer unaishia kutandika vitanda.
  16. richb

    Mwenzenu majanga

    man of the year ni fara sana,MTU anaomba msaada yeye analeta usenge. ma
  17. richb

    TCU waweka round ya nne!

    BRN form six Matokeo ya kubebwa wajazana vyuoni na vichwa vyao vibovu,tuliofaulu ni sisi wa enzi za nyuma ninyi ampaswi kujisifu bumbavu.
  18. richb

    Third round application

    YANI NACTE HAKUNA KITU,HOVYO TUPU,MIMI NIMECHOKA.HIVI WANATAMBUA KAMA WATU PIA WANAHITAJI MUDA WA MAANDALIZI?:mad2:
Back
Top Bottom