Search results

  1. bitebo7

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Nimepata chimbo ilo nachukua vicks lotion mkongo bei cheee mimi naziuza kwa buku tano Ukweli kwa siku napata hata zaidi ya 30k Wateja wengi huwa ni wa online
  2. bitebo7

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mmesusa
  3. bitebo7

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    🤣🤣🤣🤣🤣
  4. bitebo7

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hatutaki
  5. bitebo7

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mnamkumbuka kijana wa kuitwa Carlos vela
  6. bitebo7

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jose Antonio Reyes
  7. bitebo7

    Kudumu kwa ndoa za wanawake wa Kimasai

    Maisha yamebadirika, usikalili
  8. bitebo7

    Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Kwa ufupi niliichoka ile kazi niliyokuwa nikiifanya, pia kupitia changamoto za kuajiriwa nikasema sitaki tena kuajiriwa Kipindi naacha nilikua na laki nne tu ambayo ilidumu kwa mwezi mmoja tu, nimetaabika sana ila nimekuwa imara zaidi Ilipelekea nikaingia mtaani nikawa mzururaji mwenye faida...
  9. bitebo7

    Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Niliacha kazi muda yapata miaka miwili au mitatu na sina kazi ila na survive halafu safi tu
  10. bitebo7

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Mimi ni shuhuda wa hili pia 🙌
  11. bitebo7

    Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Mwigulu ndio kwanza linacheka eti
  12. bitebo7

    Hongera mtani mpira sio uadui

    Kuna wakati inapaswa tukubari tu
  13. bitebo7

    Hongera mtani mpira sio uadui

    Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na mmeongeza kitu zaidi Mwakani naamini chama langu SIMBA litafanya mabadiriko, nasi tutaonesha...
  14. bitebo7

    Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Kwanza Shirki zipo aina mbili; shirki kubwa na shirki ndogo. 1-Shirki kubwa inamtoa mtu nje ya Uislamu, ‘amali zake zote zinaporomoka, mwenye kumshirikisha Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwa shirki kubwa huwa ni halali damu na mali yake na ni mwenye kudumu Motoni ikiwa hatotubia kabla ya...
  15. bitebo7

    Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

    NASISITIZA KATAA NDOA
  16. bitebo7

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Ulimpata na kama haujampata je bado unauhitaji?
Back
Top Bottom