Search results

  1. Ukwaju

    Njiapanda: Mzee anataka turudi kijijini wakati mama anataka tubaki mjini

    Mjini shule, huko kijijini ni kuandaa kaburi lake, Mama yupo sahihi, nje ya myumba aweke mkaa, ice cream nyanya ni hela tu, kijijini kuni, nyanya, na kandili
  2. Ukwaju

    Mama Mkwe wangu ananivunjia heshima

    huyu mama mkwe atakuwa single mother anatafuta yake, mm kidume ningeuza shamba lote na nyumba sikubali udhalilishaji wa kushare chumba
  3. Ukwaju

    Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    basi mm hapo Azam tv ndio nililala kabisa niliamshwa magoli yalipoingia na pale waliposifia maua lkn ningejua Upwete yupo TBC ningehamia huko nisingelala
  4. Ukwaju

    Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    huyu jamaa nimempenda sana, ingawa si mwarabu wala sio wa Dini hiyo, lkn anachangamsha, ningeshauri achaneni na station za bure km TBC tafuteni Channel za kulipia ambapo unachagua lugha mwenyewe, mm jana fainali nilikuwa Azam kiswahili mpaka nikalala mtangazaji kapoa mpaka muwe zaidi ya wawili...
  5. Ukwaju

    Wanawake kuishi unyumba vyuoni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    acha hasira basi, km hutaki wasomi jaribu wa kijijini wasiomsliza la 7 upate amani, hao unaowananga ni mama zako waliokuzaa, ni manesi, mawaziri, usimtazame bata kuharisha kwake, ukikua utaacha, sisi wahenga tumetoka huko hebu nitafutie mwanachuo km ww kakukataa
  6. Ukwaju

    DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

    Ok umeeleweka, acha wakikua wataacha tu Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  7. Ukwaju

    Kampuni Kutoka China Kujenga Daraja la Dar- Zanzibar

    kisiwa cha Uingereza kimeunganishwa kwa daraja la chini kwa chinj, meli hazitaingiliwa njia zake, wanaweza fika hapo wakaweka hata daraja refu zaidi km myo Themes huko London Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  8. Ukwaju

    Mkuu wa Wilaya Nikki wa Pili aaga Kisarawe, aacha historia kubwa. Viongozi wenzake wamlilia

    nina wasiwasi hata huku DNA umejiandikia mwenyewe utupe attentation
  9. Ukwaju

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Mkuu asante kwa ushauri, Steam wamenibana hadi leo nililipia hata nlipopata PC nikawaona hao, naona ni address zangu, ipo local C naona ndio sababu nikaichukia, je niki delete hi Steam naweza kurudi mchezoni?
  10. Ukwaju

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    ni kweli Mkuu nilipotea karibia mwaka sasa, na sijui mmefikia wapi, PC yangu waliikwapua vibaka
  11. Ukwaju

    Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

    kumbe hii story ni ya miaka 8 iliyopita (oktoba 2014) na Pamela kaachwa na wote, sijui km Prado lipo
  12. Ukwaju

    Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

    wewe utakua ndio Pamela, maana umetetea ufuska na umalaya hata wa huyo Nabii, sasa mtoto wako keshatoa ushahidi ndoa imevunjika na hupati kitu
  13. Ukwaju

    Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Mwanamke akijua yupo peke yake kwenye usukani, basi atakushusha popote (mchezo hupewi) na anaweza hata tafuta kiserengeti au kibopa. Mwekee wanawake /mwenzake au usimuoneshe mali zako, lazima atazidisha kukupa penzi lote. Fuatilia Delillah wa Samson hakua mchoyo alimloga jamaa. judithkaunda hapo...
  14. Ukwaju

    Yanga na Simba unazi wa zamani: Kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru

    Nakuunga mkono MAHAMED Said kiswahili fasaha ni kutuza, na ni kweli kabisa timu zetu enzi zetu zilitumia majina ya timu za bara Ulaya, Dodoma tulikua na timu inaitwa Dundee na ilivuma kote Nchini miaka ya 1976
  15. Ukwaju

    Car4Sale Harrier New Model

    YOM 2015 ODO 23670
  16. Ukwaju

    Car4Sale Harrier New Model

    hivyo vuteni subira ndio maana nikaweka namba zake 0754-394195 ni jamaa anayetaka kwa haraka na bei ni maellewano.
  17. Ukwaju

    Car4Sale Harrier New Model

    Mimi dalali tu Mkuu na hizo namba ni zake kaniomba nimtangazie, Labda ningesema mwenye namba hizo anauza gari kapata safari za nje haraka blah blah na nauli ya ndege. Wakati wa kujibu angalia masharti ya jukwaa Admini kasemaje? Namna ya kutangaza matangazo haya.
  18. Ukwaju

    Car4Sale Harrier New Model

    Gari ya kisasa Harrier New model inauzwa ni nzima kabisa. Piga 0754-394195 chap uichukue bei 65m maelewano yapo, Year of manufacture 2015 Odometer km 23670
  19. Ukwaju

    Naiona Yanga ikifuzu makundi

    Jitafakari kabla ya kwenda kujifunza ujinga? Utopolo keshapigwa 2-1 unataka elimu gani?
Back
Top Bottom