Search results

  1. Acha Dhambi

    Travel Partner Bus jalini wateja wenu

    Gari ilikuwa service
  2. Acha Dhambi

    Travel Partner Bus jalini wateja wenu

    Nimekataa tiketi ya Mwanza kuandikiwa muda wa kuanza safari ni saa kumi na kuripoti ni saa tisa na nusu ila mpaka saa kumi na mbili bus halijaingia Mbezi yaani ni shida na usumbufu mwingi na hakuna anayeshughulika na sisi yani kama watoto yatima
  3. Acha Dhambi

    Photocopy ir 2520

    Weka mawasiliano
  4. Acha Dhambi

    Photocopy ir 2520

    bei zake zikoje
  5. Acha Dhambi

    Photocopy ir 2520

    we unapendekeza ipi?
  6. Acha Dhambi

    Photocopy ir 2520

    niko mkoani
  7. Acha Dhambi

    Photocopy ir 2520

    Nahitaji mashine ya copy aina ya canon IR2520 wauzaji tuwasiliane NB si used nataka mpya
  8. Acha Dhambi

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    kabla ya kumlaumu MUNGU ni vyema ukamshukuru hata kwa akili,maarifa ,uzima, utashi, ufahamu n.k alivyokujalia vinavyokupa kibuli, jeuri ghazabu, chuki n.k. Si kila mwanadamu ana akili/ufahamu/utashi/ufahamu n.k kama zako je wewe ungekuwa kama wao ingekuwaje. yako maswali ambayo sisi binadamu...
  9. Acha Dhambi

    Recycled paper

    Natafuat recycled paper kwa ajili kutoa copy za mitihani nahitaji kwa katoni. Hii ni baada ya bei ya karatasi za kawaida kuwa juu kiasi cha kushinda kuendesha biashara hii. Aina ya karatasi ni A4 plain pia kama una ushauri wowote wa upatikanaji wa karatasi nisaidie na uwezo wangu ni mdogo kwa...
  10. Acha Dhambi

    Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    je wewe kwanini umepost leo, kwanini hukupost wakati aliosema? umesubiri KAKOBE awe gunzo ndiyo upost? pia tambua kuwa watu wanaokoment wako wanaofikiri kasema hivi karibuni pia angalia mwelekeo wa post, je zinajenga hau zinabomoa? wako wanaomsifu, wako wanaomkashifu au kutukana nayote haya ni...
  11. Acha Dhambi

    Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    ndugu hiki unachokifanya ni udanganyifu hii uliyoweka ni ya miaka ya nyuma na unapoiweka leo lengo lako si zuri vinginevyo taja hii ni ya lini maana kila siku anayohubiri KAKOBE kunarekodiwa na rekodi zote zipi. ACHA KUTAFUTA UMAHARUFU pia TUBU MAANA HAPA UMETENDA DHAMBI
  12. Acha Dhambi

    Wanachadema, Hivi hili asemalo Dr Godwin Mollel ni Kweli?

    ninavyo fahamu mimi kila chama kinakaguliwa na CAG vile vile vyama vyingi (vyenye wakilishi Bungeni) vinapata RUZUKU na sijawahi ona humu kukitolewa ufafanuzi juu ya matumizi yake. Ni vizuri kama una hoja ya msingi peleka kwa CAG Naamini ataifanyia kazi hasa zama hizi za hapa kazi tu vinginevyo...
  13. Acha Dhambi

    kamera mzuri inahitajika

    nahitaji kamera full ikiwa na mashine ya kutengeneza picha pamoja na passport nitafute leo hii kwa post au pm
  14. Acha Dhambi

    Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

    katika hili mimi namuunga mkono rais wa marekani hata kama nchi yangu itekataa
  15. Acha Dhambi

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    mimi nimelipia ada ya maombi shilingi 30,000/- kwa M-PESA na kupokea meseji "4H81RUM0T3 IMETHIBITISHWATsh 30,000.00 imetumwa kwa HESLB kwenye akaunti namba 991110005264 tarehe 8/8/2017 saa 10:45 AM. lakini nilipojaribu kujiunga sikufanikiwa naambiwa sijalipa kama ujumbe unavyosema hapo chini...
  16. Acha Dhambi

    Nimepoteza iphone 5 naomba msaada jinsi ya kuipata

    nimepotezea simu dar nilikuwa nasafiri kwenda RUANGWA
  17. Acha Dhambi

    Nimepoteza iphone 5 naomba msaada jinsi ya kuipata

    Nimepoteza iphone 5 naomba msaada jinsi ya kuipata nimetumia siku tatu tu na pia icloud nilifungua nina serial number na IMEI nifanye nini kuipata?
  18. Acha Dhambi

    Msaada wa Photoshop software japo CS6 hata 5

    Mi natafuta wakunifundisha
Back
Top Bottom