Search results

  1. mchakachuaji192

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Time frame yenu inasema lini sasa at least nikae najua baada ya mwezi au miezi miwili!
  2. mchakachuaji192

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipia umeme tangu tarehe 29 september lakini hadi leo hii sijaunganishiwa umeme, na pale hapahitaji nguzo kabisa, naomba msaada wenu jamani
  3. mchakachuaji192

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jamani TANESCO naomba msaada hiyo remote imeandika sleep tu nafanyaje hapo nataka kuweka umeme nashindwa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mchakachuaji192

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Master of the game Mkuu nahitaji mtungi wa kuhifadhia maji ya waiper Aina ya gari ni Nissan xtrail Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mchakachuaji192

    Naomba kuelekezwa

    0762 311 700 mpigie huyo mtu wao wa masoko Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mchakachuaji192

    Car4Sale Toyota brevis for sale

    4.5 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mchakachuaji192

    DAR: Kiwanda cha Superdoll chateketea kwa moto...

    Nimepita maeneo ya Mtava muda si mrefu nimeona magari ya fire yanaelekea huko.. =========== Later on.. DAR: Moto mkubwa unawaka katika kiwanda cha matairi cha Super Doll kilichopo barabara ya Nyerere. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na juhudi za kuuzima zinaendelea. Taarifa zaidi...
  8. mchakachuaji192

    Faini za Traffic Polisi

    Nadhan kuna maboresho/marekebisho yanafanyika kwa sasa, maana hata ile mikeka ya kukusanyia madeni haionekani barabarani sasahivi. Kuna uwezekano mfumo wao ulikuwa linked na TRA maana toka kufutwa kwa hii kitu sijaona tena wakiweka na mikeka yao, naiman kuna marekebisho yanakuja Sent using...
  9. mchakachuaji192

    Je, Mawaziri wa Magufuli wataanza kujiuzulu baada ya kuwaita ni wapumbavu?

    Ngoja tuone! Lakini si hata Mh.Benjamin Mkapa alituita watanzania ni wapumbavu! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mchakachuaji192

    Msaada mtambo wa kuchonga barabara

    Jaribu kuwacheki catapila kuna wakati walikuwa wanauza hiyo mitambo kwa mkopo sina uhakika kama bado wanaendelea na utaratibu huo
  11. mchakachuaji192

    Nakshi nyumba yako na Tanga stone

    Hongera mdau kwa kazi nzuri
  12. mchakachuaji192

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mnatakiwa kujirekebisha kwa kweli! Mm nimelipia gharama ya kufungiwa umeme nyumbani kwangu tangu december mwaka jana hadi leo hii kila nikienda ofisini kwenu napigwa kiswahili tu kuwa nguzo hakuna na wanahudumiwa watu wa miezi ya nyuma kwanza...eneo langu linahitaji nguzo mbili
Back
Top Bottom