Search results

  1. K

    Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

    Lutenant Denis Urio kwa Sasa anateseka na pande mbili, upande wa Kwanza ni upande watetezi wa Mbowe na washitakiwa wenzake. Pia upande wa pili ambao unamtesa Leutenant Denis Urio ni upande wa wanaomshitaki Mbowe na wenzake. Nitaanza na upande wa pili Hawa iko hivi, kwa mtazamo wa nje Urio...
  2. K

    Wachambuzi wa siasa za kimataifa naomba mnijibu maswali yangu haya kuhusu taifa la USA

    Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin? Kwanini Marekani kashikia bango mgogoro huu? Kwanini Urusi anashauri NATO isiiunge Ukraine? Lakini kwa Nini Marekani...
  3. K

    Naomba kufahamishwa mchakato wa kusajili jina na kufungua akaunti ya pamoja BRELA

    Habari zenu wadau wa Biashara, Naomba kujua yafuatayo: Nimefungua biashara ndogo lengo langu ni ili ije kuwa kubwa. Ninashirikiana na mke wangu hivyo nataka tuwe na jina moja la biashara tofauti na majina yetu (kwa mfano kuunganisha majina, mfano Thomas na Catherine tuunganishe na iwe...
  4. K

    Ni muda mrefu kiasi gani uliwahi kutongoza na hukufanikiwa?

    Hallo Katika harakati za mapenzi Kuna kutongoza na katika kutongoza kuna kukubaliwa na kukataliwa. Swali langu ni uliwahi kutongoza kwa muda gani bila mafanikio Na Kisha ukaamua kuachia ngazi Wiki Mwezi Mwaka Miaka Ikumbukwe kwamba unaweza kuwa ulikua unapewa ahadi kila siku zisizotekelezeka...
  5. K

    Kosa la Magufuli ni lipi? Mbona huyu naye kapiga?

    Rais wa Urusi nae katika picha za kimapumziko kama marais wengine wafanyavyo. Rais yeyote ni binadamau pamoja na kazi nyingi pia hupenda kufanya mambo wafanyayo binadamu wengine.kufurahi na kupumziaka.Magufuli pia ni binadamu kupumzika ni muhimu.
  6. K

    Mrembo yeye, kiongozi yeye. Natalia Poklonskaya

    Natalia Poklonskaya Posted from: Natalia Poklonskaya is the talented, intelligent and beautiful Prosecutor. Natalia Poklonskaya is a former Ukrainian official who gained international fame online following her appointment as the chief prosecutor of the newly-created Autonomous Republic of Crimea...
  7. K

    Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

    Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi. Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi muda sio mrefu. S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya...
  8. K

    Simulizi: Mke Mrembo, Kiongozi, Tajiri na Mcha Mungu

    Sehemu ya Kwanza Nikiwa tayari nimekaa kwenye kiti changu ndani ya Basi, nasubiri muda ufike tuanze Safari kuelekea jijini Mwanza, tukitokea jiji la Dar es salaam. Natazama nje ya Basi naona abiria wakielekea maeneo tofauti tofauti hapa kituoni Ubungo kupanda mabasi mbalimbali yanayoelekea nje...
  9. K

    Tahadhari kwa wapenda kula matunda wote, juweni kuna homa ya ini

    Katika kula tunda, kuna kuanza kwa kula denda, kulamba chumvi, kulamba dushe, na hatimae kula tunda, na katika kula tunda kuna kutoka jasho, na mwisho kabisa kuna kumwaga majimaji kwa wote wawili. Tangazo ni hili, hivi sasa kuna homa ya INI, hii huambukizwa kwa kugusana ama kuachiana majimaji...
  10. K

    Utaratibu wa kufundishwa mambo, je ulianza lini, nani aliuanzisha, ulianzia wapi?

    Kitendo cha kufundisha kipo toka enzi na enzi,kila mzazi ama mtu mzima huwafundisha watoto ama wadogo zao jinsi ya kutenda ,kufanya ama kutekeleza jambo fulani kwa utaratibu uleule. Sasa je ,ni nani aligundua utaratibu wa kuwakusanya watu wazima ama watotot wadogo na kuanza kuwafundisha mambo...
  11. K

    HATIMAE UTURUKI YAANZA KUPOKEA MZIGO WA SILAHA ISIYOPENDWA NA MAREKANI S400

    Uturuki imeanza kupokea silaha kutoka Urusi aina ya S400,silaha hii ilipingwa sana na Marekani kwa Uturuki kuinunua kutoka Urusi.Uturuki ni mwanachama wa NATO, na ana makubaliano ya kununua ndege hatari sana kutoka USA aina ya F 35. -Marekani ametishia kusitisha kuiuzia Uturuki ndege hiyo iwapo...
  12. K

    Malaika alipodondoka,pengine alichoka kupaa

    picha ya malaika aliyedondoka kutoka juu,huko London ,miaka ya nyuma kidogo Binadamu wakimshangaa Malaika aliyedondoka toka juu.
  13. K

    Hatimaye Kim Jong Un wa Korea Kaskazini awasili Urusi kwa treni kukutana na Rais Vladimir Putin

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewasili katika mji wa bandari wa Vladivostok nchini Urusi kwa mkutano wake wa kwanza kabisa na Rais Vladimir Putin. Kremlin imesema kuwa viongozi hao watakutana mjinii Vladivostok siku ya Alhamisi na watazungumzia masuala ya usalama katika rasi ya Korea...
  14. K

    NAOMBA KUJUA POSTGRADUATE DIPLOMA IN ACCOUNTANCY NI SAWA NA LEVEL GANI YA NBAA?

    Kwa wataalamu mnaofahamu mambo ya mipangilio ya vyeti vya NBAA, je? ni cheti gani cha Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi ,yaani NBAA kinacholingana na Postgraduate diploma in accountancy, PGDA kwa mtu aliyeipata kupitia chuo cha TIA au vyuo vingine hapa nchini Naomba kufahamu.
  15. K

    Wapi nitapata tiles za Spain kwa bei nafuu?

    Nataufa tiles za kutoka Spain kwa bei nafuu. Ni maduka gani nawezaa kupata kwa Dar es salaam? Ninaposema bei nafuu sisemi tiles za hovyo bali najua wafanyabiashara wanatofautia bei. Wapi wanauza angalau kwa bei nzuri? Asanteni.
  16. K

    Wapi hapa Tanzania naweza kupata sehemu ya kuchapa kitabu changu

    Kwa muda mrefu sana nimekua nikitafuta mahali pa kupublish ama kuchapa kitabu changu kwa hapa Tanzania. Natafuta wachapishaji (publishers)wazuri wa vitabu,nimeandika kitabu cha hadithi. Naomba msaada tafadhari.
  17. K

    Naomba mamlaka zinazohusika zibadilishe majina haya

    Nomba mamlaka zinazohusika zibadilishe majina haya yasiyipendeza kwa nchi nzima.Kwenye mitaa,vijiji,vitongoji,kata,tarafa n.k kwa sababu yana ukakasi hayapendezi na mengine yasikitisha ,tunaweza kuja namajina yenye maana nzuri, machache kwa Dar na Zanzibar ni haya: -kwa mfuga mbwa -kibanda cha...
  18. K

    Je, kuna vyakula ama vinywaji vinavyofaa kutumiwa na wapenzi muda mfupi kabla ya kushiriki katika tendo?

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika, natafuta kujua kama kuna vyakula ama vinywaji ,vinavyofaa kutumiwa na wapenzi muda mfupi kabla ya kushiriki katika tendo la "mapenzi",au "mahaba"ikiwa vyakula ama vinywaji hivyo vyaweza,kuboresha,kunogesha kuongeza hamu ya kufanya mapenzia au mahaba...
  19. K

    Natafuta gari aina ya ist kwa bei nafuu sana

    Sina hela ya kununua gari kutoka Japan,wala kwenye maduka ya magari hapa nchini,nina shs 3000000,natamani kumiliki ist ambayo haijatumika sana,najua wapo watu,wanamagari ya aina mbalimbali pamoja na ya aina hii wanaoyatumia vizuri na wako tayari kuuza kwa bei niliyoitaja,naomba tuwasiliane.
  20. K

    DSTV kwanini hamuonyesi channel yeyote ya Urusi?

    Wasalaam, Wafuatiliaji wa ving'amuzi naomba kujua ni kwanini DSTV hawaoneshi channel yeyote ya Urusi? Au kama wanonesha ni channel gani ama inaitwaje? Je inawezekana DSTV inamilikiwa na wa Marekani? Kiasi kwamba hawataki kutangaza vipindi au taarifa zinazorushwa na channel za Russia...
Back
Top Bottom