Search results

  1. Elizaa

    Cornwell Tanzania Naturopathic Clinic

    Description We are committed to provide the best natural health care solutions with our own manufactured Natural Medicine and food supplements. Our product are made out of natural substances and not artificial. Our clinical services include: Full body checkup/Body screening, to find the...
  2. Elizaa

    Cornwell Tanzania Naturopathic Clinic

    Ndio Clinic pekee ya NATUROPATHIC hapa Tanzania, tunatoa huduma za kitaalam na kwa kutumia herbs na food supplements, Naturopathic Doctors wetu watakufanyia body screening ili kujua chanzo cha tatizo lako kiafya , nutritional therapies, kwa pamoja tutatengeneza mfumo wa matibabu unaolingana na...
  3. Elizaa

    Natafuta pilipili

    Hata ndani lipo, mimi Narnia ndani. Nimeshaanza nahitaji kuongeza wigo
  4. Elizaa

    Natafuta pilipili

    Hahaha, tupo wote boss, tihamasishe kilimo cha pilipili na Vanilla kitawatoa watanzania maana masoko yake yapo tu.
  5. Elizaa

    Natafuta pilipili

    Hii ni biashara itakayoendelea, ndio maana nimeweka namba ya simu ili nikuelekeze uniletee sample kulingana na nahitaji with yetu
  6. Elizaa

    Natafuta pilipili

    0713306263 tuwasiliane.
  7. Elizaa

    Natafuta pilipili

    Hapana, nataka red
  8. Elizaa

    Natafuta pilipili

    Muuzaji si ndio anatoa bei, tukiona inalipa tutanunua
  9. Elizaa

    Natafuta pilipili

    Jamani tulime, huyu mzungu hauzii soko la ndani, wako wapi wakulima waipate hii opportunity, na mimi nahitaji sana, tena kwa wingi
  10. Elizaa

    Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

    Nahitaji hii pilipili ( Cayenne Pepper) kama wewe ni mkulima wasiliana nasi, CORNWELL TANZANIA tupo KIMBIJI Kigamboni, 0713306263 au 0763 578057
  11. Elizaa

    Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Asante sana. Nakiri kuwa mwalimu wangu was nasari aliniadhibu sana kwa kutumia kushoto
  12. Elizaa

    Tunahitaji msaada wako Mh Lukuvi

    Liliani Kileo ni tapeli namba moja wa viwanja. huku kimbiji ni shida.
  13. Elizaa

    Naombeni ushauri wenu, Mpenzi wangu amekutwa na maambukizi ya VVU

    Ushauri wangu, pima tena kituo kingine. Usichukue maamuzi yoyote kwanza. Simaanishi hao waliowapima hawajapima ipasavyo Bali upate second opinion from another hospital.
  14. Elizaa

    Siasa za nchi nchi hii zimeshagharimu maisha ya watanzania, soma hii uone kama uko salama

    TFDA wako kwa ajili ya kulinda makampuni fulani ya dawa. Siyo kulinda afya za watanzania.
  15. Elizaa

    Picha ZINAOGOFYA za mashambulizi Lamu -Kenya i

    Uuuwi binadamu ni wabaya kuliko wanyama
  16. Elizaa

    Nataka kufungua maabara ya kisasa, naomba ushauri

    Weka machine za kupima viral load. Tunalzimika kupeleka damu Nairobi na South Africa.
  17. Elizaa

    Nataka TV kwenye website ya alibaba.com, Naombeni ushauri

    Nimekuwa nikinunua vitu aliexpress.com ambayo company ya Alibaba kwa wanunuaji wa vitu rejareja kwa kutumia master card ya NBC na mizigi yangu inafika bila tatizo. Kumbuka gharama ya usafiri huwa ndio kubwa. Kwa hiyo ni muhimu kuielewa website Yao kabla ya kufanya malipo. Pia mzigo unapofika...
Back
Top Bottom