Search results

  1. Bubu Msemaovyo

    Dkt. Remmy alifanya uchochezi?

    Haya ndugu zangu hapo ni Mwanamziki nguli akiimba wimbo trna wakati Nyerere mwenyewe akiwa hai. Waliokubali kukosolewa waliongoza vema. Nikisema vema siyo kwa kunyamaza nyamaza kwenye masuala ya msingi. Waliongoza bila kufanya mauzo kwa nchi yao. Nyerere hakuwahi kuuza sehemu yoyote ya ardhi...
  2. Bubu Msemaovyo

    Baada ya DP World, tukumbuke kipande cha Loliondo

    Nimetafakari sana haya nauzo ya ardhi za Tanganyika, Hapo mwanzo kulikuwako Tanganyika ikatawaliwa na Julius K Nyerere akang'atuka akamrithisha Ally Hassan Mwinyi nchi ikiwa haina tobo wala kiraka. Ikawa jioni ikawa asubuhi Mwinyi akawa madarakani. Mwinyi akatawala akiwa ni mtoa ruksa, tukawa...
  3. Bubu Msemaovyo

    Wazuri hawafi " Mapema" maana yake nini?

    Mzee Makamba siyo utelezi ni kusudi kabisa kwasababu kama ni utelezi mbona kuna kauli uliirekebisha papo hapo. " Wazuri hawafi mapema, ndiyo maana Kikwete yupo, Kinana yupo" MADA " WAZURI HAWAFI MAPEMA" Kumbe hawa waliokufa walikufa mapema yaani kabla ya muda wao. Kama ilikuwa ni kwasababu ya...
  4. Bubu Msemaovyo

    StarTime kwanini mmefunga Channel za Bure

    Nasikitika sana hawa StarTine wamenifungia Channel zote isipokuwa TBC tu. ITV hakuna STAR TV hakuna Channel Ten hakuna na nyingine Nilipowapigia wakaniambia wanafanya ukarabati kisha watarejesha baadaye ila tu naweza kulipia kiasi ili niweze kuziona Channel hizo. Ujumbe huu ukanifanya nielewe...
  5. Bubu Msemaovyo

    Rais Magufuli mkemee RC Makonda kuhusu janga la COVID 19

    Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Shikamoo!!! Mh. Rais naandika ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana kwa baadhi ya watendaji wako kukiuka maelekezo yako kwa makusudi kabisa. Mh. Rais sasa hivi...
  6. Bubu Msemaovyo

    Ukweli kuhusu coronavirus kuua zaidi Ulaya na Marekani

    Ndugu zangu wana JF Kwa muda wa siku tatu mfululizo nimetokewa na malaika katika ndoto alinieleza chanzo na sababu ya Coronavirus KUUA zaidi jamii ya hawa wenzetu wanaojiita bora zaidi kuliko sisi waafrika. Kuna mambo mawili muhimu ya kuzingatia; 1. Sababu ya kimazingira 2. Sababu za kibiolojia...
  7. Bubu Msemaovyo

    Shule ya Sekondari Kimanga si muafaka kuwa shule

    Shule ya Sekondari Kimanga inapatikana maeneo ya Tabata Mawenzi. Ukipanda daladala za Kimanga unateremkia kituo kinaitwa Shiba. Unavuka barabara na kupelekea upande wa Kaskazini. Shule hii ina vidato vitatu hadi sasa. Imekuwa ikichukua vijana wanaopata ufaulu mzuri sana walio wengi ni wale...
  8. Bubu Msemaovyo

    2020 tudumishe amani tuache uchochezi

    Hakuna mwaka ninaouchukia kama huu uliopita 2019 mwaka ambao mambo mengi ya kujumuisha. Nisingependa kuorodhesha matukio yote kwani sipendi kuandika haya kichochezi. 1. Kumekuwa na matukio ya watu kutoweka katika majumba yao. Mwaka huu tunataka yasitokee hayo. Kila mmoja awajibike mahala pake...
  9. Bubu Msemaovyo

    Kwanini " Ametekwa" Isiwe " Amekamatwa na Polisi"

    Kutekwa na Kukamatwa na Polisi Maneno hayo mawili hapo juu yapo tofauti sana. 1. Kutekwa ni tukio linalompata mhanga bila taarifa. Kukamatwa na Polisi ni jambo linalokuja na kumpata mhanga kwa njia ambayo kila mwanajamii anakuwa na taarifa nalo. 2. Kutekwa silaha hutumika lakini Kukamatwa na...
  10. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums is the best social media in Tanzania

    Wana JF, Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita. Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF. Ni media ambayo hufichua maovu...
  11. Bubu Msemaovyo

    Pre - Corruption ndiyo inatawala dunia

    JF Members Salam kwenu nyote: Mada yangu kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna ukweli mkubwa ndani yake na watekelezaji wa hili ni wapiganaji wenyewe. Wengi wao wametenda hayo bila kujua kama ni kosa. 'Pre' maana yake kabla ya. Hii ni tafsiri rahisi. Pre - Corruption ni maandalizi ya aidha...
  12. Bubu Msemaovyo

    DDT nitaipataje?

    Jamani kutoka na kizazi cha mbu kukithiri naomba muongozo nitapataje dawa ya DDT ili niue mbu jamani tunakuta kwa mbu.
  13. Bubu Msemaovyo

    Donald Trump: African's bodies are fertile for diseases

    DONALD TRUMP'S SPEECH ON "RISE UP AFRICANS". They are good at nothing else but making noise, dancing, marrying many wives, alcoholism, witchcraft, indulging in sex, pretending in church, jealousy, fighting and complaining of bad leadership; but, yet refuse to take a decisive action and protest...
  14. Bubu Msemaovyo

    Msaada wa kisheria

    Nina ndugu yangu alikuwa na kesi alishitakiwa kwa wizi wa matunda toka shambani. Aliyemshtaki ni mvamizi katika shamba hilo. Huyu ndugu yangu alikuwa anachunga matunda yake. Mvamizi huyu wa shamba ambaye anadai shamba na matunda ni vyake alienda mahakamani. Kesi imeendeshwa na kumpa ushindi huyu...
  15. Bubu Msemaovyo

    Msaada wa kisheria

    Nina ndugu yangu alikuwa na kesi alishitakiwa kwa wizi wa matunda toka shambani. Aliyemshtaki ni mvamizi katika shamba hilo. Huyu ndugu yangu alikuwa anachunga matunda yake. Mvamizi huyu wa shamba ambaye anadai shamba na matunda ni vyake alienda mahakamani. Kesi imeendeshwa na kumpa ushindi...
  16. Bubu Msemaovyo

    Vibaka wa Mshindi wa uchaguzi wameanza kazi

    Mtaa wa Twiga juzi tumerudia kumchagua mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti Serikali za Mitaa hapa Tabata Kimanga Mtaa wa Twiga. Kwa mara nyingine ushindi umemkuta kijana yule yule mwendesha bodaboda. Jana watu wameingia kulala mapema kuliko kawaida yao kwasababu vijana hawa walikuwa mitaani...
  17. Bubu Msemaovyo

    Kituo cha afya Tabata A huduma ni mbovu ajabu

    Imebidi kuweka kichwa cha habari hapo juu ili ikiwezekana wasaidizi au Mh Rais mwenyewe asome taarifa hii. KITUO CHA AFYA TABATA "A" HAPA TABATA SHULE HUDUMA NI MBOVU AJABU. Mh Rais wewe ni Rais wa wanyonge. Kituo cha afya hapa Tabata Shule kijulikanacho kama TABATA "A" Kimekuwa na huduma...
  18. Bubu Msemaovyo

    Mh Kangi Lugora Rushwa yaTrafic Police hapa Kamata umeoona

    Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, Leo nimeweza kuona kwa macho yangu " operation kusanywa pesa za daladala za Mbagala " inayofanywa na Trafic Police waliopo makutano ya Kamata ukielekea BP hadi hapa junction au round about zinqpotundikwa bendera za nchi mbalimbali kupelekea...
  19. Bubu Msemaovyo

    Be proud of your Country Tanzania

    Last week, I took a trip from my work routine at Pulse Live Kenya to cool off in Tanzania. A close friend has been working as an expatriate in Dar es Salaam for a couple of months and we decided to surprise him with a visit as we took time to recharge from our respective work stations. It was...
  20. Bubu Msemaovyo

    Magufuli ni chaguo la Mungu soma hapa ujue kwanini Kikwete kasema hayo

    John Pombe Joseph Magufuli si jina geni kwa Watanzania. Tunatambua uchapaji kazi wake akiwa Waziri wa Ujenzi awamu ya kwanza ambapo kasi ya ujenzi ilikuwa ya hali ya juu sana. Mh Rais J Kikwete sijui alikuwa na nia gani pale alipopangua baraza la mawaziri kisha kumteua Shukuru Kawambwa kuwa...
Back
Top Bottom