Sijaona salamu za rambirambi toka CCM kwahiyo ili uone mpira wa kona unaogeuzwa penalty sikiliza maudhui ya MC ataitaja CCM invalid katika ngozi ya chatu. Eti wamesahau kwamba walishasema Lowassa anajinyea, DHAMBI SANA.
Huo ndiyo uozo wa serikali hasa katika mihimili. Mahakimu wako standby kudhulumu haki za raia wanyonge ili tu Mh Rais awaone katika uteuzi. Shame on you mahakama.
Halafu nyie UWT siyo kwamba mmeshinda bali UCCM umetumika hata Judge ametengua hukumu kisiasa. Wapo wengi wako jela kwa kuonewa namna...
Huyu Dr muongo sana. Kwa hiyo wanawake wanaokunywa pombe wana hormones za kiume. Angesema kwamba wanaokunywa pombe wanasababisha kuwa na hormone za kike labda ningefikiria kwa undani. Lakini siyo kwa shortcut evaluation kama hizi.
Na wewe muache njia panda kwa kumwambia " Yaani nashukuru kuyajua haya mambo ulidhani sitajua. Kisha chukua simu yako jipigie kwenye simu nyingne bila yeye kujua. Kata simu lakini jifanye unaongea na mtu tena wakike, halafu jifanye unamsisitizia kuwa umkute pale pale. Kisha badili nguo yako...
Naungama na wewe, haya MAHAMAS yamesahau kuwa kila siku asubuhi Wapalestina huvuka mipaka kwenda Israel kufanya kazi wakapata riziki zao. Leo hii raia wa kigeni wanauawa kwa kupigwa risasi vichwani at close range. Kwa kweli Joshua amauawa kinyama sana R I P Joshua and Clemence.
Sasaalikutumiaje sms bila kukufahamu maana unasema baada ya kukutumia sms alikwambia ujitambulishe.
Hao walioweka kikao nyuma yako walitumwa na huyo jamaa. Usishangae wanaojulikana ndiyo wasiojulikana.
Ibrahim alikuwepo kabla ya Yesu Kristo kuzaliwa, Mtume Muhammad alizaliwa miaka 570 baada ya Yesu Kristo. Dini ya Kiislamu ilianzishwa na Mtume Muhammad aliposhushiwa Quran Tukufu. Sasa iweje Ibrahim awe Muislamu wakati huo hii dini ilikuwa haipo kabisa. Huo Msikiti lilikuwa ni Hekalu. Waislamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.