Search results

  1. G

    Msisikitike, kuna njia ingine

    REVOLUTIONALISTS NEVER GIVE UP NO MATTER WHAT.Movement ya kuipinga hiyo rasimu ili isipite ni muhimu iwekewe mikakati ya kutosha kuanzia sasa.ALUTA CONTINUA.
  2. G

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Ni wazi Anne Makinda si spika mwenye uwezo wa kuongoza bunge la kizazi hiki kilicho ndani ya multiparty democracy.She has always striven to indiscriminately defend interests of her party (CCM) even at the expense of national interest.History will judge her, let us wait and see, it is only a...
  3. G

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    NAPE ANACHEZA NGOMA ASIYOIELEWA VIZURI, NI MUONGEAJI TU BUT I'm convinced that he is not a learned person, too novice to deal with advanced politics of the country.Na kumpa nafasi hiyo ya uenezi it is a mockery kwa sababu it needs mtu ambaye ni highly educated to build strong arguments and...
  4. G

    Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

    YOUR post is excellent sir, but in the future try as much as possible to put few words, go straight to the point. Succintly, you need to be precise and concise in your presentation. This is important because very few people, particularly those with moderate intelligent, are interested to read...
  5. G

    Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

    I think there is nothing new at all. All those are just words, and many people here in Tanzania are used to hear good words from our the political leaders, but at the end, the implementation is just at zero ground. GOOD LEADERS are pragmatic in the sense that they deal with practical...
  6. G

    Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

    The guy is tough, commited and diligent katika masuala hayo aliyopewa tuzo.I think he deserves the award, and we need to conglatulate Mr Tundu Lissu for that.
  7. G

    Masha Lawrence yu wapi wadau?

    THE GUY WAS FULL OF ARROGANCE, POMPOSITY.He erraneous thought that he is the most educated and intelligent person, and that he has an absolute power to teach Tanzanians about civilization.In short, that guy known as Lawrence Masha had no leadership qualities, and he simply became a politician...
  8. G

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    Nape is too juniour in high level politics. Ni vyena kijana huyu akakumbuka usemi usemao, mfupa uliomshinda fisi hauwezi kutafunwa na nguruwe.
  9. G

    SIYO Jukumu la CHADEMA kuikosoa CCM ili ijisahihishe na kutawala Vizuri

    NDUGU MWANAKIJIJI nakusifu kwa kuandika a very longer article.Lakini kwenye articles yako kuna dosari nyingi sana za kimantiki, maana and kifalsafa.Pegine I will just cite a few of such flaws.Kwanza ni vizuri ukawa na knowlege ya political science based on contemporary studies, particularly...
  10. G

    Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

    That news story is highly distorted, and doesn't reflect the truth.After all, who is that called Nape Mnauye? He is too juniour, novice in high level politics of the country, and above all he has no any reliable and credible image in the Tanzania public.
  11. G

    Hapa ndipo pa kuwatambua wabunge wenye kufahamu wajibu wao bungeni.

    wabunge wengi wameenda kwa ajili ya ulaji na siyo kuwatumikia kiukweli wananchi wa Tanzania.This explains why wanajipangia posho na marupurupu makubwa sana.Everything has got its own end, ninaamini si muda mrefu bungeni wataanza kuingia watu wengi wenye uchungu na matatizo ya raia wa nchi hii.
  12. G

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    Godbless lema seems to be patriotic, intelligent enough, strong, tough, persuasive character and a good public speaker. Si msemaji tu, bali anaonekana ni mtu wa vitendo.mimi namkubali sana, na nadhani tungekuwa na wabunge vijana angalao 20 tu wenye character kama yake, nadhani spika annie...
  13. G

    Namwagiza Anna Makinda Kufunga Bunge Sasa Hivi, Haraka sana

    Bunge lako limepotoka kabisa. Kwamba halitupatii ufumbuzi wowote wa matatizo yanayotukabili wananchi. Badala yake limejikita kwenye siasa za unazi, unafiki, kupakana matope, uongo, kuropoka, kupeana mipasho, kudharauliana, na kukomoana. Tulitegemea bunge hili litutatulie matatizo yetu ya umeme...
  14. G

    Sura ya chadema kitaifa

    Is a mob party, emotional in decisions, likes violence, pessimistic, few ring leaders not national, uses force, influences gang, acts like adolescent who all time feels not free. Likes to provoke. Ndugu yangu ijapokuwa hizo sifa ulizozipa CHADEMA ni za kuchakachua, ila ndugu lugha ya watu...
  15. G

    Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

    Ndugu jesuit don't be naive, pale msheshimiwa godbless aliposema funga mlango tupigana that was simply a political rhetoric, and hence hakuwa na maana hiyo uliyoitafsiri wewe.pole sana kwa kutoelewa rhetorics za kisiasa.
  16. G

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    FOR sure President Benjamin Mkapa wa an intelligent person, more focused, pragmatic and with clear vision.During his leadership the national economy prospered, he controled economic shocks such as inflation.And above all, President Mkapa maintained a highest level of discpline within his...
  17. G

    Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

    TBC1 YA MAANA ILIKUWA NI ILE YA ENZI YA TIDO MHANDO, LAKINI TBC1 YA SASA NI WAZI KWAMBA INAELEKEA KUFAFANANA NA RTD YA ZAMANI AMBAYO ILIKUWA UNPOPULAR KWA AUDIENCE WENGI, HUSUSANI VIJANA NA INTELLECTUALS.I would cordially appeal to the TBC1 reporters that they have to adhere to professional...
  18. G

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    Mapendekezo na resolutions hizo ni nzuri sana, but kinachotakiwa ni utekelezaji ambao kwa maoni yangu utekelezaji huo unahitaji, watu ambao ni intelligent, diligent, highly committed, not selfsh, high degree of integrity na viongozi wenye kujali watu na wenye uchungu wa kutatua kwa dhati...
  19. G

    Maswali muhimu kwa JK baada ya kujivua gamba!

    It is too early to make a conclusion.let us wait and see if the envisaged reforms will be really pragmatic or just empty political slogans which has always been politics of the day here in tanzania.
  20. G

    How do you rate performance of National Assembly Speaker?

    I respect very much mama Annie Makinda, the speaker of the National Assembly.But I would for sure categorically say that she seems unfit, irrelevant and a polarising figure in leading contempolary Bunge sessions.I'm saying this by simply comparing her performance with that of Sitta's era.Kwa...
Back
Top Bottom