Search results

  1. Yurri

    Waziri wa Elimu kaona tatizo sehemu tumsaidie kuboresha!

    Awali ya yote nitoe pongezi kwa Prof: A Mkenda Kwa kuona moja ya tatizo hili katika mfumo wa elimu yetu... ( Ukiachilia mbali sera mbovu, mitaala isiyoeleweka na inayobadilika kutokana na utashi wa kisiasa wa serikali inayokuwa madarakani Kwa wakati husika, miundo mbinu duni ya kufundishia na...
  2. Yurri

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu chama kipya cha kutetea walimu (CHAKUHAWATA)

    Nina ufinyu wa uelewa juu ya chama hiki kipya cha walimu CHAKUHAWATA ( Chama cha kutetea Haki za Walimu Tanzania) ambapo ni chama mwenza cha CWT. Natamani kujuzwa. Mosi: katiba yao inapatikanaje? Pili: Nafahamu ni chama kipya, sio rahisi Sana kuwa na ofisi kila wilaya kwa sasa, vipi kuhusu...
  3. Yurri

    Msaada: Simu yangu aina ya SamSung GT-19220 (galaxy note), nikiwasha data inajilistart.

    Salaamu... kama kichwa cha habari kinavyojitanabaisha, kwa wataalamu wa soft ware mnisaidie. Simu yangu nikiwasha data tu inajilistart, nimei format na kufanya restoration mara kadhaa lakini still tatizo lipo palepale.Naomba msaada wa mawazo tatizo nini na linatatuliwaje wakuu.
Back
Top Bottom