Search results

  1. Yurri

    Ahmedy Ally: Yanga Sc wamepiga simu Azam media kuwa wafute interview ya Fiston kalala Mayele

    Sio kweli, Mayele aliagwa vzuri sana na Uongozi wa Yanga na mashabiki Feisal..... Kila tukikaribia mechi kubwa ya ligi alikuwa analeta drama,tuna shukuru "paka lilijificha ila kia lake lilionekana"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Azam companies ifike mahali wajue Kuna ukomo wa...
  2. Yurri

    Tunayopenda Tusahau

    Mzee wetu, Mohamed Said, kuna platform yeyote ilipo historia uliyoandika (documents, audio or visual) inayohusu Palestine na mzozo wake Middle East? Mimi natamani kujifunza, kama naweza kupata darasa lako nitashukuru, NB: Mimi ni mwanafunzi wako kwenye jukwaa hili,Asante!
  3. Yurri

    Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

    Haahahaga.... Nimecheka kinoma comment ako aisee
  4. Yurri

    Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Watu hatujui tu, moja ya mistake vijana tunaifanya ni kupuuzia mazoezi hasa ya jogging,, Unakuta hata pumzi ya kitandani inakata, unadhani unaupungufu wa nguvu za kiume kumbe ni mazoezi na kula vizuri umekosa...
  5. Yurri

    Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Kila kitu kinaweza kuwa na - impacts and + impacts, sikatai Jogging ni mazoezi yenye faida zaid (hamna kiungo cha mwili hakihusiki) kuliko negative impacts zake, hasa kipindi hiki ambapo ulaji wetu wa vyakula ni artificial. Sasa ukiona jambo linafaida zaid kuliko hasara, huwezi kuzungumzia...
  6. Yurri

    Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Daaah... Post ya ajabu zaidi kusoma jamii forums mwaka 2023 ni hii yako,,
  7. Yurri

    Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

    Hongera, Unaujua mpira mkuu....
  8. Yurri

    Matokeo ya viongozi dhaifu kuongoza nchi kubwa

    Sharing is caring.. . [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  9. Yurri

    Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Sio bahati mbaya, Hana akijuacho kwenye mpira mwambie ukweli tu, kwani atakupiga[emoji23][emoji23]
  10. Yurri

    Nikapime DNA au nikubali tu yaishe?

    Huyo Mtoto ni wako, Sema tu ulizaa na kichaa , pia naona wamekuona wewe mpole Sana au kiutani boya flan hivi siku akileta hizo pigo zake mtie makofi akae kwà adabu
  11. Yurri

    Makuwadi wa DP World wanatafuta kila namna kulifanya giza liwe nuru

    Ni kweli Kuna viongozi wanaweza kuifanyia hivi nchi Yao! Real..... Hata hofu ya Mungu hawana kabisa ukiachilia mbali uzalendo. Kinga ya rais iondolewe, ikibidi akitoka madarakani anyongwe kama sio kufungwa
  12. Yurri

    Waziri wa Elimu kaona tatizo sehemu tumsaidie kuboresha!

    Sahihi kabisa maslahi duni Kwa walimu ni sababu moja wapo ya mkwamo wa elimu yetu... Morale imeshuka sana
  13. Yurri

    Waziri wa Elimu kaona tatizo sehemu tumsaidie kuboresha!

    Awali ya yote nitoe pongezi kwa Prof: A Mkenda Kwa kuona moja ya tatizo hili katika mfumo wa elimu yetu... ( Ukiachilia mbali sera mbovu, mitaala isiyoeleweka na inayobadilika kutokana na utashi wa kisiasa wa serikali inayokuwa madarakani Kwa wakati husika, miundo mbinu duni ya kufundishia na...
  14. Yurri

    Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Uzi mzuri ila ingefaa uu post baada ya gemu kuisha badae , maana Mpira una matokeo ya kikatili sana. All the best Young Africans FC!
  15. Yurri

    Kwanini watu wanapinga BBT ya Bashe

    Binafsi ....Waziri Bashe ni moja viongozi wachache waliopo CCM ninaowakubali ( ni presidential material), mradi wa BBT afanye awezalo usiwe na dosari na usi fail ... Ni mradi utakao mwinua au kumdondosha kisiasa! All the best H.Bashe
  16. Yurri

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Rombo -Kilimanjaro (secondary- arts subjects) aje Njombe mji, makambako (Njombe) ,Mafinga mji, Mufindi (Iringa) Au Rungwe, Tunduma, Tukuyu (Mbeya)
  17. Yurri

    "Tutajitosa": Namna Nyerere alivyobishana na Babu kuhusu Biafra mwaka 1968

    Najaribu kuwaza, inaonekana Mwl-Nyerere balaza lake la mawaziri lilikuwa ruber stamp yake,yaani jambo lolote yeye personal anakuwa ashalifanyia maamuzi anaenda kwenye baraza huku maamuzi anayo mfukoni. Ni kama alikuwa anaongoza maiti hai! Huwa na tafakari Sana, namna alivobeba mfumo wa sera za...
  18. Yurri

    Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

    Nakubaliana na wewe, sisi Watanzania ni fools, ignorant and stupid never happened before ..... 1. Ripoti imetoka ,watu tupo tupo tu hatujui hata cha kufanya, ni bla bla tu na manung'uniko after few days tumesahau yote, tunasubili ripoti nyingine mwakani ya kupigwa tena. 2. Watanzania sisi...
  19. Yurri

    Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?

    Nadhani Mbele ni kuzito zaidi si Kuna engine...
Back
Top Bottom